Simulizi: Milango ya mafanikio

Simulizi: Milango ya mafanikio

Story ya Samson ndo imetokomea kusikojulikana??

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Mkuu usijali subiri hii hii sikukuu ya mapinduzi iishe, Kila kitu kitakuwa poa . Kikubwa bando lako tu.

Setup ya mwaka mpya nayo inanisonga utulivu hakuna, majukumu ni mengi mno. Tusameheane
Na subira ni muhimu pia.
 
Daaaaah mkuu na leo kimya
 
Daaaaah mkuu na leo kimya
Kaka huyo mtunzi ni Mfanyakazi tena ni Engineer na hiyo kazi yake ni ngumu na inachosha sana akipata nafasi ataweka kuwa na subira brother na kama unataka maarifa nenda kwa majukwaa ya Elimu, Biashara na Uchumi utapata mawazo ya kukukwamua hii story ukiisoma utaburudika tu na haiwezi kukuletea kitu kwenye maisha yako.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
SEHEMU YA AROBAINI NA NNE

Ilikuwa ni siku ya jumamosi, wakati ambao Samson alikuwa nyumbani tu, akifanya kazi kwa bidii lengo ni kujiweka kwenye uaminifu ili mambo yasijekuwa kama zamani,alifagia na kuanza kukatakata maua fulani ambayo yalikuwa yashaanza kuzonga zonga ile fence.

Hujambo Samson,alisalimia mama Kulwa.

Sijambo mama, samahani naweza kupata ule mkasi ambao huwa mnautumua kupunguzia haya maua?
aliuliza Samson.

Ndiyo upo mwanangu, lakini njoo upate kifungua kinywa Kwanza Kisha utaendelea na kazi zako, alijibu Kwa ukarimu na upole mama Kulwa.

Samson kusikia vile alifurahi moyoni mwake huku, akiingia ndani na kukuta breakfast ya nguvu kabisa, huku baba yake Mzee Mgaya akiwa anamalizia kula.

Wakasalimiana Kisha Samson akaendelea kumimina chai yake.

Samson,
Wewe umechangia kwa kiasi kikubwa kutokea kwa malumbano kadhaa Kati ya mimi na wake zangu, huyu mama yako, najua unafahamu fika matatizo baina yako na yeye hadi kupelekea ukahamia kwa Tausi,
Sasa basi jitahidi ufuate yale maelekezo unayopewa ili uishi kwa amani, najua wazi mke wangu mama Kulwa hakupendi hata kidogo ila ni nguvu ya kaka yako Jose ndiyo imechangia wewe kurudi hapa.

Lakini pia mama yako mdogo Tausi hakupendi, hakupendi, Tena hakutaki ni Mimi tu ndiyo huwa namliwaza na kupunguza hasira zake vinginevyo angekutimua kama mbwa. alisema Mzee Mgaya huku akiinuka na kutoka nje akiwa haoneshi masikhara kwa anayoyasema.

Mmmmh huyu mzee sijui nimuiteje, mbona kama ayasemayo anayazua, nikimuita muongo nitakuwa namkosea adabu,
Ni kweli mamkubwa (Mama Kulwa) tulipishana sana kipindi Cha kwanza ila siku hizi kabadilika sana, anaonekana mwenye kujali na upendo usio wa kinafiki na kizuri zaidi, huyu mama ukionesha umemkosea anakuchana makavu huwa hana subira kabisa.

Na kuhusu Mzee Mgaya kusema Tausi ananichukiaaaaah,
ananichukaje? Huyu si nimetoka kum...... Wakati Samson yupo kwenye mawazo yale mama Kulwa aliingia.

Heeee mwanangu mbona umejiinamia tu, Mimi nikajua umeshamaliza kula, fanya haraka baba yako anakuita huko nje sijui Kuna Nini. aliongea mama Kulwa huku Samson akifakamia msosi kwa pupa, Kisha akatoka nje aliko Mzee Mgaya amsikilize anataka kumtuma Nini.

Unajua mwanangu hili gari linanisumbua sana, yaani halina nguvu kabisa, speed imepungua na pia inazimazima Kila wakati, yaani inanitia aibu we acha tu, Kuna siku imezima katikati ya barabara nikatukanwa matusi yote ya Duniani kutokana na foleni niliyosababisha.
aliongea Mzee Mgaya huku akionesha kuikatia tamaa gari yake.

Sasa Samson nenda store kachukue toolbox nzima ya spana nataka niangalie plugs zote, lakini pia pump nayo nitaicheck na vitu vingine. aliongea kwa Tambo Mzee Mgaya.

Baba jose hiyo kazi ya ufundi umeanza lini? Ujue hilo gari unazidi kuliua tu ni bora ukapeleka garage kuliko kutengeneza wewe, kwanza kwanini usibadilishe gari mume wangu, gari hili ni la kizamani mno, gari hili limekaa kikoloni sana bwana, aliongea kwa kumaanisha mama Kulwa

(Mzee Mgaya akaguna kwanza)
Yaani mke wangu tangu umiliki gari lako jipya Sasa unaona Kila kitu unakijua siyo, kwanza nikwambie tu kuwa sikupenda kitendo cha wewe kununua kifaa kikubwa kama hicho bila kunishirikisha , ni dharau kubwa sana ulionesha ila shukuru mwanao Jose niliongea naye, my son akanielewesha vitu vingi na kunikumbusha mambo mengi sana vingi nevyo ningeachana na wewe,
Eti ninunue gari, kwani nilikwambia Sina uwezo wa kumiliki Gari ? Mimi Nina mambo mengi sana, Kuna malengo sijatimiza , hata watoto wangu walioolewa huko, bado nawaona ni wenye maisha magumu, nahitaji kuwatengenezea mitaji ili waishi maisha mazuri zaidi

Nina Karakana yangu, bado Kuna vifaa vya kisasa zaidi sijanunua kwani biashara ile sipaswi kuifanya kizamani, lazima nifanye kwa kuendana na wakati, Sasa nikwambie acha kuiponda gari yangu , kwakuwa inarahisisha mambo yangu mengi ni poa tu, siwezi kushindana na watu wa hapa mjini wakati hujui mtu ana ukwasi kiasi gani maisha yenyewe ya kudunduliza tu haya, unadhani ningekuwa na hela hiyo hata huyu Samson mngegombana, ni umasikini tu huu . aliongea kwa uchungu Mzee Mgaya.

Baba Jose huwa nakushangaa sana, nimeuliza swali dogo, na nimeshauri jambo dogo tu, ilikuwa ni kiasi Cha kunijibu kwa kifupi tu lakini unaongeeeeeaaa sijui ili iweje. Mama Kulwa mke wa mzee Mgaya asiyependab kushindwa jambo lolote aliingia ndani kwa hasira akiwaacha Samson na mume wake wakihangaika na gari.

Halafu mwanangu Sam kuwa makini, ohooooh ukifanya masikhara jua lote litaishia hapo, ukijiona umechoka tu, pumzika.
Huyo namjua akianza kazi zake kama mtumwa hata kula hali, asivyosikia njaa yeye anadhani na wenzake ni hivyo hivyo ohooo. alisisitiza Mama Kulwa.

Wee huyo achana naye anajifanya ana huruma na wewe, lakini nadhani unamfahamu, hapa anajifanya mwema kwakuwa ananiponda Mimi, Sasa ipo siku tu, utakumbuka maneno yangu, jambo zuri zaidi unamfahamu si mgeni kwako.
alizidi kutahadharisha Mzee Mgaya.

Samson na Mzee Mgaya waliendelea na kuifungua injini ya gari Kila walipohisi huenda ndipo kwenye tatizo, lakini Hadi inafikia muda wa saa nzima Mzee Mgaya hakuwa amegundua tatizo , achilia mbali Samson ambaye yeye hakujua kitu chochote.

Mama Kulwa alikuja kwa Mara nyingine huku akitikisa kichwa kwa masikitiko akionesha Hana Imani na ufundi wa mzee Mgaya,

Baba Jose, Kuna jambo kila mara nasahau kukwambia, ni kuhusu dada wa kazi, tangu aondoke hapa yule wa kwanza hatukulijadili hili, lakini pia Mimi muda mwingi nipo kwenye biashara zangu, Samson anakuwa shule, enheee na wewe ndiyo hivyo tena makazi mengi, hivyo tunamuhitaji dada wa kazi Kuna vitu vinanielemea. aliweka kituo mama Kulwa.

Miaka yote wamepita wasaidizi kadhaa hapa, je ni lini niliwahi kumtafuta dada wa kazi Mimi, si huwa unawatafuta, mwenyewe wewe vipi bwana. Mzee Mgaya alijibu kiukali kiasi Cha hata Samson kushangaa mbona Mzee wake ana kuwa mkali kwenye vitu vidogo.

Mimi najua kinachokufanya uwe mkali, sijakwambia umtafute huyo mtu Bali nakwambia ili ukimuona mtu mgeni, usimshangae, Sasa ukali wa Nini umelitibua gari, linakushinda halafu unaleta hasira kwa wengine, we vipi bwana. mama Kulwa aliongea kwa kujiamini.

Wakati wanaendelea kubishana geti liligongwa, Samson akaenda kufungua mlango mdogo akakutana na Rahma, akiwa na uso uliosawajika sana.

Wewe Binti vipi mbona kama unalia Kuna Nini , na vipi na Hilo begi wapi tena? aliuliza maswali bila hata salamu.

Mama mdogo Tausi kanifukuza kasema hataki kuniona, hivyo Sina pa kwenda nimeamua kuja huku, maana Sina ndugu mwingine hapa mjini. alijieleza Kwa kifupi Rahma.

Hivi Tausi utoto sijui ataacha lini, na kama Kuna kosa huyu Binti kafanya, ameshindwa kunalizana naye? unamfukuza Binti , mtoto wa kike akikutana na wahaharamu wakamfanyia vitu visivyostahili? haoni kama yeye atakuwa ndiye chanzo. aliongea Mzee Mgaya huku akimwangalia mama Kulwa.

Mwanangu lete Hilo begi pia karibu ndani twende ukanieleze, mwanamke mwenzio ni nini, kimefanya mdogo wangu Tausi akufukuze. aliongea mama Kulwa huku wakiingia ndani.

Samson Elias Mgaya kama alivyojulikana, kengele za hatari zililia, alijaribu kuvuta picha akajua chanzo Cha ugomvi wa Rahma na mama yake Tausi ni Nini.
Moyo ulianza kumuenda mbio, furaha ilipotea ghafla.

Hadi kufikia kufukuzana, inaonekana Rahma kasema ukweli fulani, vipi kama ukijulikana kwa mzee Mgaya, itakuwaje? alijiuliza Samson.

Samson kijana aliyetokea familia masikini, ambaye anasomeshwa na baba yake mkubwa , hatimaye anajikuta anachanganya mapenzi na masomo, je itakuwaje?
Usikose sehemu inayofuata.

Itaendelea........................
 
Shukrani Mkuu umepunguza arosto
 
... tuleteee vitu Jack Daniel
 
SEHEMU YA AROBAINI NA TANO

Kusanya spana zote weka kwenye gari tool box ingiza ndani, na hivi vifaa vilivyofunguliwa viache hapo hapo. Kuna kuna fundi wangu yupo kule Temeke, nitafanya mawasiliano naye atakuja kufanya hii kazi.
mzee Mgaya alimuamrisha Samson huku yeye akikaa kwenye kiti akishusha pumzi ndefu za uchovu.

Sasa baba, Kuna haja gani ya kupeleka spana ndani, ikiwa yeye fundi atakuja, naona ni afadhali tuache hapahapa ili akija zimsaidie.
alishauri Samson.

Weeeh hebu acha ujinga, peleka vifaa ndani yule atakuja na vifaa vyake, halafu mbona na kuona kama una Presha sana, nini kinasababisha?
Kwamba hili joto kinakufanya usweat kiasi hicho.peleka spana, halafu njoo tumsikilize huyu Binti anasemaje maana hatuwezi kumpokea bila kujua Nini kafanya pengine kaua mtu.
aliongea Mzee Mgaya huku akitumbukiza mikono kwenye beseni lenye diesel ili kutakatisha mikono, iliyochafuka kwa oil.

Jamani baba Jose, naomba unisaidie naona huyu Binti simuelewi maana Kila nikijaribu kumuuliza Nini kimetokea, haniambii! anazidisha kulia tu, aliweka kituo mama Kulwa.

Weeee Binti kama matatizo yako unashindwa kumweleza mwanamke mwenzio, unadhani itakuwaje lazima uweke wazi ili usaidiwe.
Na akili yangu inacheza vibaya, kwanini mgombane mama yako mdogo, halafu ukimbilie huku,
Kuna Nini umefanya ambacho hutaki kuongea. Halafuuuuu naomba ujue kuwa kama Tausi ni mama yako mdogo, na Mimi ni mke wangu.

Tabia za Tausi, nazijua ni muongeaji sana ukimuudhi huwa hawezi kuficha hisia zake lazima atakuambia hapohapo, na pia tofauti na mdomo wake hajui kumpiga mtu hata kofi, Sasa ukiniambia maneno, ndiyo yamekutoa kule uje huku ukijiliza si kweli, Sasa kabla sijabadilika uso wangu naomba uniambie ni nini kimetokea huko? Mzee Mgaya aliongea akiwa hatanii

Mimi sijamkosea kitu, ila amekuwa ananiambia kuwa Mimi nimekuwa na kiburi na jeuri, hata nikikosea jambo dogo tu, ananisema kiasi Cha kutishia kunifukuza, na hivi leo kaamka asubuhi, akaja chumbani kwangu akanipa nauli akidai niondoke nirudi nyumbani Tanga.
Ikabidi nimuulize kwani Nini kimetokea akadai kuwa yeye anataka kusafiri na huko aendako atakaa takribani miezi miwili, hivyo akadai si vizuri Mimi kukaa pale nikiwa peke yangu akirudi ataniita.

Lakini Sasa nauli aliyonipa haitoshi kufika kule, hii itaishia Tanga mjini, na Mimi naelekea handeni vijijini, nilipomwambia hivyo ndipo alipoanza kuniporomoshea matusi na kunitoa nje kilazima. alifafanua Rahma.

Mzee Mgaya na mkewe waliangaliana huku Kila mmoja akionesha kushangaa, wakati huo Samson akiwa kwenye Kona yake mithili ya mtu asiyejua nini kinaendelea, lakini moyoni mwake aliomba MUNGU mambo yasijekuwa kama anavyowaza, maana alihisi ugomvi wa Tausi na Rahma yeye ni muhusika.

Kumekucha, Tena kumekucha vyema, enheee wenzetu wapi tena mnataka kwenda, maana naisikia safari ya kwenda kukaa huko zaidi ya miezi miwili,unataka kuniambia huijui? (Huku akicheka)jamani Tausi anajua kula bata yule mtoto sijawahi kuona, kumbe ndiyo maana umeamua kuservice na gari kabisa ili kurahisisha mizunguko yenuuuuuh.
aliongea kwa jazba mama Kulwa kama vile ana uhakika na anachoongea.

Mke wangu, Mimi na wewe ni watu wazima, Hawa walioko mbele yetu
(Samson & Rahma)ni kama wajukuu zetu tu, hivyo si vyema kuonesha hisia tofauti ambazo zitazidi kutushushia heshima,
Hata Mimi nashtushwa na ninachokisikia kuwa eti Tausi anasafiri, maana Sina taarifa hiyo, lakini pia ni lazima Kila mmoja achekeche ubongo wake,
Hebu mke wangu jaribu kuvaa viatu fulani hivi vya kisaikolojia, huoni Kuna jambo hapa. Mzee Mgaya alimalizia huku wakiangaliana na mkewe kwa sekunde kadhaa huku , mama Kulwa akibinua midomo kuashiria anachozungumza mumewe kinamwingia.

Wewe Binti naomba uweke wazi chanzo cha ugomvi wenu, hili litasaidia sisi tujue tunamaliza vipi haya mambo, au kama una hisi ni mambo mazito, ongea na mama yako ili tujue tunakusaidiaje.
Ongea naye Wala usimuogope huyo ni mtu mzima, ni mwanamke mwenzio na pia ni Daktari, atakupa ukarimu wa rohoni maana namjua mwenyewe huyo.
aliweka kituo mzee Mgaya.

Kiukweli baba Mimi Sina nilichomkosea mama mdogo, na sijui kwanini hanitaki, hivyo nilijitahidi kukaa naye vizuri nisimuudhi chochote lakini nimeshindwa, maana sijui nimemkosea nini. aliweka kituo Rahma.

Sawa nimekuelewa Sasa mke wangu naomba funguo za gari lako niende Temeke nikamuone mke wangu, na hakikisheni huyu binti hatoki ndani hadi nitakaporudi,
Samson wewe ni kamanda humu ndani, huyu asitoke hadi nitakapojiridhisha kuhusu usalama wa Tausi. mzee Mgaya alimpenda sana Tausi

Mama Kulwa aliingia chumbani akatoka na daftari fulani, huku akiwa kashikilia Miwani mkononi,
Shoga kama hujanywa chai nenda pale mezani kajiandalie mwenzangu na uzuri mwanamke huwa hana ugeni, Mimi nipo hapa nje Kuna kitu najikumbusha, Samson niletee kiti hapa nje barazani.

***************************************

Ile ilikuwa ni fursa kwa Samson, akarudi kwa Rahma na kumkuta akiwa kwenye mkeka anafungua kinywa.

Mwenzangu nilikuwa na njaa sana, hata hivyo nashukuru sana mmenipokea sikuwa na uhakika kama nitaingia humu ndani, aliongea Rahma kiunyonge.

Kwanza niambie kwani ugomvi wako na mamdogo ni nini? aliuliza kimtego Samson.

Mwenzangu yule kajua kama mimi na wewe ni wapenzi, Sasa tokea siku ile nikugongee mlango usiku, na sijui alijuaje masikini Mimi, toka hapo kaninunia na natukanwa na kugombezwa Kila mara yaani, alijibu Rahma.

Sikia usije ukabanwa na Hawa wazee Kisha ukaropoka kama Mimi na wewe ni wapenzi italeta utata. aliongea kwa sauti ya chini sana Samson.

Wewe Samuuuu, unanionaje mimi, nimefundwa Mimi, Mimi siyo msungo najua wazi kuwa hata yeye anakutaka tena sana, sina uhakika kama umemuacha hivi hivi, maana ule wivu mmmmh, bora nipo hapa angalau nipumue maana kule ni mateso.
Na hata waniulize vipi chanzo cha ugomvi sitasema Mimi Sina utoto huo, na hata yeye mamdogo hawezi kusema chochote.

Hapa Samson alishusha pumzi ndefu maana alihisi Rahma akibanwa sana anaweza tapika mbivu na mbichi zote.

Samson, nakupenda sana najua umeondoka kule umeniacha ila tambua siku ambazo haupo kule mimi napata shida sana ndugu yangu. aliongea Rahma.

Halafu wewe Rahma usitafute matatizo, yaani mambo bado ya moto hivi , na wewe bado unawaza vitu vya kijinga kwanini?
hebu acha habari zako, mtu hujui faza atarudi na jibu gani, na wewe unarudia hayohayo.

Samson,
Najua unajua,
Unajua fika kuwa nakupenda, siwezi kuzuia hisia zangu, najua unasoma Ukiwa bado upo hatua za awali kabisa lakini haizuii Mimi na wewe kuwa wapenzi, nipo tayari uniwekee chochote mikononi mwangu, unachohisi kinanistahili, hata kama ni Kaa la moto ikiwa litaakisi upendo wetu basi nitapokea.
aliongea kwa hisia Rahma.

Samson alibaki kukodoa macho tu asijibu chochote, huku hisia na joto la mapenzi vikipanda kutokana na sauti nzuri yenye lafudhi ya kiswahili cha mwambao.

Rahma alikusanya vyombo vyooote, akavitoa nje na kuanza kuviosha,

Eh, nani, eti ni nani mnamwita?
Weee Rahma pumzika tu nitaosha mwenyewe mama yangu, aliongea mama Kulwa.

Hapana mama, ngoja nimalize tu hizi ndo kazi zangu Wala usijali mamangu, alijibu Rahma.

Baada ya masaa fulani Mzee Mgaya aliingia akashuka,kwenye gari na kuja usawa walipo mama Kulwa na kina Samson.

Mke wangu hawa watu inakuwa ngumu kujua ugomvi wao, nimemkuta Tausi yupo salama tu, maana nilikuwa na mawazo tofauti sana, na nimejaribu kumuuliza Nini kinasababisha wanagombana na mtoto mdogo kama huyu, nashindwa kujua maana yeye anadai huyu Binti ni jeuri na kiburi ,na huyu naye anadai hajui sababu kwanini mama mdogo Tausi anamgombeza. Ila namshukuru hakuna baya lolote, lakini nikwambie tu wewe Binti kuwa sisi siyo ndugu zako, wewe umekuja hapa kwasababu yangu Mimi hivyo nasubiri hasira zenu zipungue tu Kisha kesho unarudi kule Temeke, sawa? aliweka kituo mzee Mgaya

Rahma akatingisha kichwa kukubaliana.

Hata ukikaa mwezi shoga yangu sawa tu, kwakuwa tunaambiwa ni salama, wewe Kaa tu na anavyochapa kazi huyu binti, yaani dakika chache alizokaa hapa nishagundua wepesi wake, halafu anapenda sana usafi. aliongea Mama Kulwa akionesha kufurahia uchapakazi wa Rahma

Wewe tena mke wangu ukipata watu wa dizaini hii, mbona atakoma Binti wa watu, aliongea Mzee Mgaya huku wakigonga mikono na mkewe kiutani.

Kwa upande wa Samson yeye alifurahi kuona mambo hayajakaa hadharani, alifurahi sana.
Akasahau yote ambayo yalikuwa yakimpa Presha, akapanga kufanya Kila mbinu, ili mradi wafanye mapenzi na Rahma kabla hajarudi kwa Tausi.

Je, mapenzi ni kama kikohozi, itawezekana kujificha siku zote?

Mama Kulwa ni mwanamke ambaye ana saikolojia kubwa sana, anajua kuishi na Kila mtu, anaweza kukugombeza makusudi ili apime uvumilivu wako, je Nini kitatokea ikiwa watagundua Samson anachanganya madawa, ikiwa wao ndiyo wanaolipa ada kiuchungu?

Itaendelea.................................
 
Hii story inaendelea... Bora nisubirie ifike mwisho ndo nianze kusoma... Naacha alama kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom