Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,896
- 1,698
Jack Daniel ndugu yetu umetutelekeza
Heri kwako ram iliyojaa baraka za Aliyetuumba kwako pia. Uwe na afya njema pia ufanikishe kwa unalowazaHeri ya Mwaka mpya keisangora, nakutakia mwaka uliojaa heri na baraka tele za Mwenyezi Mungu
Mkuu Hua unatutupa sana@Jack DanielSEHEMU YA AROBAINI NA MBILI
Sikia Samson usiniogope mimi, mbona nipo kawaida tu kama watu wengine eeenhee, tena nikwambie mimi ni mwanamke tu, hata litokee tatizo la namna gani humu ndani, siwezi simama bila uwepo wako,
Wewe ndiye dume humu ndani.
Hebu fikiria aingie nyoka humu ndani na Mimi nilivyomuoga weeeee mbona nitalala nje, siwezi tu kupambana na wadudu wale. aliweka kituo Tausi.
Mamdogooo ulale nje kisa nyoka, huyo ni lazima auawe tu, kikubwa kuchukua tahadhari, sisi kijijini nyoka kuja maeneo karibu na nyumbani ni jambo la kawaida kabisa. alisema Samson akionesha hashitushwi na habari za nyoka.
Weeeeeh hadi mwili wangu umesisimka mwenzangu, Sasa mliwezaje kuishi hivyo na kwani wawe wana kuja Kila mara, wanafuata nini?aliuliza Tausi.
Kwanza kijijini nyumba zimetawanyika sana, unakuta nyumba ipo ikitazama karibu ekari zaidi ya tano mbele, lakini pia huku nyuma kukuta pori limefugwa, halilimwi Wala kuendelezwa kwa namna yeyote ni jambo la kawaida.
Hivyo hayo huwa ni makazi ya wadudu mbalimbali wakiwemo vicheche na hata nyoka.
Na kwa kawaida nyoka hupenda mwanga, hivyo nyakati za usiku hujisogeza sehemu yenye mwanga kwaajili ya kula wadudu wadogo wadogo, lakini sababu nyingine ni kuja kula vifaranga vya kuku, ni Mara nyingi sana, kusikia kuku wakipiga kelele bandani nyakati za usiku basi ukisikia hivyo jua ni nyoka kwasababu wezi kijijini kwetu si wengi ni nadra kuwasikia. alifafanua Samson.
Mwenzangu hapa ushanitisha na sijui kama nitalala usingizi, yaani ninavyowaogopa Hawa viumbe weee acha tu mwenzangu. aliongea Tausi kwa sauti ya kudeka huku akimkumbatia kwa nguvu Samson, akijifanya ana uoga na wanachokizungumza pale.
Wakati wakipiga stori zile huku Samson akishangaa kwanini mama mdogo ambaye walikuwa wanaheshimiana siku za mwanzo, iweje leo amkumbatie mithili ya wapenzi?
Rahma alitoka, macho yakagongana na Samson, alijikuta anachukia sana Rahma kwa kile anachokiona , akasonya kwa sauti huku akirudi ndani, na kufunga mlango kwa kubamiza.
Hivi hiki kitoto kinanitafuta nini mimi, kwanza hapa kamsonya nani, halafu kwanini abamize mlango wangu hivi?
Tausi aliinuka kwa hasira na kwenda kumgongea Rahma afungue ili ajue Kuna nini mbona siku hiyo kabadilika? Lakini Rahma hakufungua licha ya Tausi kubisha hodi Mara nyingi.
Sikia wewe mtoto, hata usipofungua huo mlango lakini nakwambia, itafika muda utaniambia Nini kinakusumbua shoga yangu, huwezi kununa tuuuu, Mara usonye, Mara ufanye vituko hivi, kama labda unahitaji kuondoka, unasema tu mamangu, hayo mambo ya kufanya vituko ni ya kizamani sana, unadhani nani atakukatalia ukitaka kuondoka?
Unadhani nani anahitaji kusumbuliwa na mtoto wa mtu asiyekuwa wake kwenye ulimwengu wa leo, Mimi hapa Sina mtoto na sijui nitapata lini na si tu kupata maana umri wenyewe nao unanitupa mkono, kwanini nianze kuteseka na mtoto asiyekuwa wa kwangu?, aliendelea kulalamika Tausi akiwa hajui Rahma analeta kiburi kwasababu gani.
Samson akiwa anajua fika kuwa ni wivu tu ndiyo unamsumbua Rahma ndiyo maana anafanya yote yale, aliinuka na kuingia chumbani kwake, akaanza kupanga vitu vyake vyote kwenye begi lake, ili ifikapo asubuhi na mapema aondoke navyo kwaajili ya kwenda kuanza maisha mapya kwa Mara nyingine kwa mama Kulwa.
aliwaza mambo mengi sana, alikumbuka namna walivyokuwa wakipishana kauli Mara kwa mara na mama Kulwa, akajikuta Kuna hofu inaingia moyoni mwake.
Alijaribu kumfikiria Mzee Mgaya kama baba na mlezi wake kwa kipindi hicho ila akashindwa kuelewa kwanini Mzee Mgaya anashindwa kumsimamia jambo lake , ili ajue makazi yake ni wapi, kitendo cha yeye kuwa mtu wa kuhamahama kilimfanya ajione kama yatima fulani anayekataliwa na ndugu na asiye na makazi maalum.
Aliwaza kuhusu wazazi wake, furaha yao, ucheshi wao na hata namna walivyoishi tu, ingawaje walikuwa na maisha magumu lakini bado aliona kwa wazazi wake ndiko kwenye amani na utulivu kuliko huku ambako unakula vizuri lakini bado chuki na visa haviishi. aliwaza sana.
Weee kidume ushalala Mara hii, unalalaje kama demu na wewe, aliongea Tausi huku akisukuma mlango wa chumba alipo Samson, huku akijichekesha, akapitiliza moja kwa moja na kukaa kitandani huku akiwa kajifunga kanga tu akificha maziwa yake.
Naona mwenzangu unapanga nguo mwenyewe tayari kwa uhamisho, lakini Samuuuu kwanini, usimwambie Mzee Mgaya kuwa hupendi kuishi kwa mama Kulwa eeenhee unataka kuniambia umeshasahau vituko vyake, Mimi nakushauri acha nguo nenda shule kaonane na mzee Mgaya, kamwambie wewe utakaa huku sawa wee mwanaume. aliongea kwa sauti ya chini sana Tausi.
Samson, akiwa kachuchumaa pale chini, mapigo ya moyo yaliongezeka, aliingiwa na hofu Mara mbili ya mwanzo, akiwa kaganda tu hajui aendelee kukunja nguo zake au amsikilize Tausi, akawa hajui achague lipi, akageuza shingo akakutana na mapaja manene meupe yaliyokaa kihasara, kijasho chembamba kikaanza kutoka huku akihema Kwa uoga , alimfikiria Mzee Mgaya kama ndiyo ataingia muda huo akamkuta Tausi kule chumbani akapata picha nini kitatokea.Lakini alishangaa juu ya uoga wote bado, Samson mdogo asiyekuwa na macho mwenye mdomo ambao hauingizii Chakula chochote Bali upo tu kutoa visivyotakiwa na vinavyotakiwa kwa wakati fulani. Suruali yake ilivimba na kuzidi kutuna.
Sam njoo nikwambie kitu, Samson hakutaka kuinuka ikabidi aulize,
Kwani mamdogo unataka nini maana sikuelewi, Mimi nataka nilale maana muda umeenda, eeeeeh unataka nini. Ujue baba huwa ana tabia ya kurudi bila taarifa Sasa akikuona wewe....... Kabla hajamalizia sentensi yake
Wewe mjinga Nini hebu njoo kwanza, Tausi alimvutia Samson kitandani, akaanza kumvua nguo zake, Kisha akamlaza chali na yeye kukaa kwa juu yake, mambo Yale yalifanyika huku Samson, akijikuta kama kapigwa shot maana mwili kama haukuwa wake.
Mtoto tumekulea wenyewe halafu wakakufaidi wengine kisa, hebu tulia kwanza, Samson alitulizwa haswa huku Tausi akiwa juu yake aliendelea kujilidhisha mwenyewe, huku akishindwa kujua kama mwenzake anaenjoy au la,
Baada ya muda fulani Samson alishangaa alikamatwa kwa nguvu huku Tausi akiongea lugha isiyoekeweka Kisha baadaye akajitupa pembeni huku akiwa kajifunga kanga vile vile japo asilimia tisini na tano alikuwa uchi, Samson akaona hapa usinitanie kama ni dhambi ishafanyika akaanza kumgeuza Tausi ili naye akidhi haja zake.
Mlango wa chumba chake uligongwa taratibu, akatega sikio akidhani labda ni maruweruwe yake tu, Mara ya pili ukagongwa tena safari kwa nguvu, Tausi na Samson wakaangaliana kwa hofu huku Tausi akionesha anataka kulia, Samson naye akawa ana hofu kubwa kuliko maelezo, bado mlango uligongwa mfululizo, huku mgongaji akiwa Haiti jina la mtu maana pengine wangejua nani anagonga.
Sasa itakuwaje, nimeaabika Mimi Leo,sijui surab yangu nitaifichawapi. alianza kulalamika Tausi kwa sauti ya chini sana.
Samson akazidi kupagawa akiona kabisa siku za kuishi Duniani zimeisha.bado mgongaji hakuonesha kukata tamaa. Je, ni nani , na anataka nini?
Itaendelea............................
Hapo Samson na mamdogo wakeMkuu kichwa kinachemka kivipi
![]()
Huyu tausi jamani, nini kumtafutia mwenzake majanga, sijapenda kabisaSEHEMU YA AROBAINI NA MBILI

Poa Jack, niambie mtunziMkuu ram, mambo
Niko poaPoa Jack, niambie mtunzi
Kesho next episode kama kawaidaBarikiwa mkuu. Uwe unatubless mara kwa mara
Lile jambo letu usisahau, mwaka mpya huuNiko poa
Hebu ni PM nikumbukeLile jambo letu usisahau, mwaka mpya huu