Jaman hizi mods mm siwez kuziweka nisaidieni natumia version 1.25.2.6sunaweza kuchange to rhd kwenye settings mzee
download mod unayoitaka , iextract kama ipo kwenye mfumo wa rar , zip au 7Z , then copy mod yako kaipaste kwenye my documents/euro truck sim/modsJaman hizi mods mm siwez kuziweka nisaidieni natumia version 1.25.2.6s
Hongera kwa ubunifu kakaHabari wakuu humu ndani...mpo safi wazee wa ETS2.
Ukisearch angalia zile zenye seeders wengi na pia pitia comments za wenzako utapata mwanga wa quality ya unachotaka kudownload..Wakuu naomba msaada jinsi ya ku download game kwa kutumia kik kass torrent, mfano nataka kudownload battlefield bad company, nikiingia sehemu ya ku search pale zinakuja nyingi nashindwa kuelewa ni ipi ya kudownload
Sidhani kama ets ina option ya ku upgrade directly.. Ni lazima udownload version mpya yote kisha uinstall upya.. Ila profile zako za nyuma huwa inavuta kama zilivyo kwa level uliyopo..habari naomba maelekezo ya jinsi ya ku upgrade version ya euro simulator. mimi ninayotumia ni v. 1.3
Asante mkuuUkisearch angalia zile zenye seeders wengi na pia pitia comments za wenzako utapata mwanga wa quality ya unachotaka kudownload..
Je naweza kupata wapi mods za version Yangu mkuu.. afu pia hii niliyo nayo aiwezi kuinstall naecheza kupitia file lake la bindownload mod unayoitaka , iextract kama ipo kwenye mfumo wa rar , zip au 7Z , then copy mod yako kaipaste kwenye my documents/euro truck sim/mods
Hiyo map unatumia kweny version ipi ya ets?American truck simulator sjaitumia sana ila kwenye euro truck simulator kuna map nyingi sana.. Mi naipenda moja tu yenye part of african countries (north africa) humo kuna barabara kama za bongo tu.. Kuna sehem nyingine ukiwa na gari haina nguvu hupandishi na mzigo wako..
Njoo uchukue kigambonNatafuta pes17 wakuuu
mwanza sehemu gani?Kama ungekuwa mwanza ningekupa.
sio kesi bado folder la mods utalikuta palepale kwenye documentsJe naweza kupata wapi mods za version Yangu mkuu.. afu pia hii niliyo nayo aiwezi kuinstall naecheza kupitia file lake la bin
Map zipo za version unayotaka mkuu.. Mi nimeanza kutumia mod maps tangu naanza kuijua ets enzi hizo..Hiyo map unatumia kweny version ipi ya ets?
Nipm namba yako nitakutafuta.mwanza sehemu gani?
Nipo nyegezi