Mayila Baba
Member
- May 21, 2016
- 93
- 61
naomba tuwasiliane jamaa angu.. kuna vitu naomba unielekeze
Ok, uliza tu mkuu.naomba tuwasiliane jamaa angu.. kuna vitu naomba unielekeze
Hebu jaribu kucheki hizo mods ni kwa ajili ya version ipi. Kama mods zilitengenezwa kwa ajili ya version nyingine tofauti hazitafanya kazi.Natumia version ambayo nilikopi kwa mtu... Akanipa na product keys but no dlc, modes hazionekan kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongelea 1.28?
Kanunue kwenye website ya steam ni dola 19.9 tu. Utapata updates bureeee kabisa.hello, mwenye fully activated ets2 1.26 anitupie link tafadhali, naangaika kuitafuta bila mafanikio