Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Upo na volvohili game ni zuri sana,siku haipiti bila kucheza.![]()

Volvo ndio gari kweny euro truck ,mengine yote majanga tuUpo na volvo![]()
Mr ktk gari ninayoipenda ni SCANIAVolvo ndio gari kweny euro truck ,mengine yote majanga tu
Mkuu volvo ni shidaa....Mr ktk gari ninayoipenda ni SCANIA
mm huwa napenda niipe mpaka speed ya mwisho lkn naona km huwa hazikimbii kabisa. Huwa nafika D12 55MPH Lkn naona speed ni ndogo sana.
Napenda sana ku overtake magari hasa route ndefu huwa nafurahia sana.
Barabara ambazo huwa zisipend ni za ufaransa vizuizi vingi sana mpaka kero
Mkuu nipe maelezo maana nilipo bado nipo njia panda jins ya kudownloadhili game ni zuri sana,siku haipiti bila kucheza.![]()
kingine jaribuni kudownload game save profile ambazo zime unlock all features inaweza saidia kuongeza utam wa gameme natumia v1.25.2.5 ambayo ni latest. Mod nyingi zinagoma kwasababu hiyo V1.5.2.1 ni ya zamani. Nakushauri tafuta latest version. Steering iko safi tu sema inategememea unatumia gamepad,mouse,joystick au wheel.
Nalitaman sana hili game ila sijajua baada ya kudownload modsAnapaswa kupewa tuzo
Mkuu mbona mnaniruka tu. Maelezo plzkingine jaribuni kudownload game save profile ambazo zime unlock all features inaweza saidia kuongeza utam wa game
Extract mod kisha copy file zenye extension ya .scs kweny folder la mod,kupata folder la mod..fungua my documents kisha euro truck kisha mod af paste hapo .Mkuu mbona mnaniruka tu. Maelezo plz
Baada ya kudownload moda what next?
Volvo ndio gari kweny euro truck ,mengine yote majanga tu
Sh ngapi unauza?
Hehe hiyo hack nimeipenda, especially part ya kutumia mouse kama right and left motion.
Inapunguza sana latency game linakua smooth. Hata wanaotengeneza hizi wheels kama industry standard hawatumii hiyo technique, wao wanajaribu kulazimisha direction kua kama ume-press button ambayo ni inaccurate, hiyo technique yako ni very smart.
Kuna mod moja ya map ya africa huko north africa kuna njia za porini hizo kama kitonga.. Nilikuwa natumia DAF mbona kuna sehem ilinigomea kupanda.. Ikabidi nikachukue volvo mzeekweli me natumia F16 750hp
Kuna mod moja ya map ya africa huko north africa kuna njia za porini hizo kama kitonga.. Nilikuwa natumia DAF mbona kuna sehem ilinigomea kupanda.. Ikabidi nikachukue volvo mzee