Simulation gaming videos from Iringa Tanzania

Hongera sana ila lugha uliyotumia kuelezea video yako imekufanya ikutoe katika reli, ungetumia native language ungetoka bomba sana, okey! hiyo meza na vikorokoro vyake vyote unauzaje?

Swala ambalo lilijitokeza ni kwamba video zangu za nyuma watu walitoa maoni kwamba nitengeze kwa kingereza ili wengi waelewe. Ila haina shida kuna nyingine naitenegeneza nitaedit kwa lugha ya kiswahili pia. Video hiyo itakuwa deep zaidi. asante kwa ushauri itazungumzia jinsi ya kuhack gamepad na kutumia arduino Uno kwa ajili ya projects mbalimbali.
 
Hongera sana ila lugha uliyotumia kuelezea video yako imekufanya ikutoe katika reli, ungetumia native language ungetoka bomba sana, okey! hiyo meza na vikorokoro vyake vyote unauzaje?

Habari ya kuuza vifaa, Kwa kweli siuzi kifaa chochote hapo na hata kama ningekuwa nauza gharama ni kubwa sana ila nipo kwenye mchakato wa kufanya cheap system ambayo itakuwa na ubora mzuri na gamers wataweza kununua. Kwa hiyo vuta subira kidogo.
 
mwenye flight simulator wakuu. Mimi nipo dar

Flight simulator (10GB) mimi ninayo isipokuwa ni ya zamani (Microsoft Flight simulator X), nakushauri vuta subira kido kuna simulator mpya inakaribia kutolewa na kampuni ya Dovetail games.
 
Ukienda kwenye settings then gameplay kama skosei kuna sehem ya ku uncheck automatic speed limit something like that.. Hii huwa inalimit gari automatic kwenye speed limit ya eneo husika.. Yaani kama limit ni 30mph gari automatic linarudi kwenye speed hiyo hata ukanyage vipi sanasana itaongezeka kidogo sana na gari inakuwa nzito.. Ukitoa hiyo gari inakuwa free kutembea speed kulingana na uwezo wa gari lenyewe.. Ila nakushauri pia tumia gari zenye horse power kubwa kama volvo..kuna volvo moja ukiupgrade inaenda mpka hp 700 nadhani.. So linakuwa na nguvu balaa na kwenye tambarare ni control yako tu..
volvo mwisho ni 750hp, scania ni 730hp
 
Flight simulator (10GB) mimi ninayo isipokuwa ni ya zamani (Microsoft Flight simulator X), nakushauri vuta subira kido kuna simulator mpya inakaribia kutolewa na kampuni ya Dovetail games.
Naipataje hiyo flight simulator
 
Flight simulator (10GB) mimi ninayo isipokuwa ni ya zamani (Microsoft Flight simulator X), nakushauri vuta subira kido kuna simulator mpya inakaribia kutolewa na kampuni ya Dovetail games.

Hyo microsoft flight simulator naweza kucheza ktk macbook pro? Naomba ulipata hilo gemu nijulishe tufanye biashara
 
Hyo microsoft flight simulator naweza kucheza ktk macbook pro? Naomba ulipata hilo gemu nijulishe tufanye biashara

ok, Naomba nitajie hizo specification za hiyo compyuta. Kuhusu kukuuzia hapana nitakupa bure tu mkuu me ninaishi Iringa, mafinga.
 
ok, Naomba nitajie hizo specification za hiyo compyuta. Kuhusu kukuuzia hapana nitakupa bure tu mkuu me ninaishi Iringa, mafinga.

Specification: processor 2.5 intel core i5, memory 4GB 1600Mhz DDR3, graphics Intel HD Graphics 4000 1024MB.
Hizo Mkuu. Ntashukuru kama nitaipata hyo kitu
 
IMG_20161109_201938.jpg
 
Specification: processor 2.5 intel core i5, memory 4GB 1600Mhz DDR3, graphics Intel HD Graphics 4000 1024MB.
Hizo Mkuu. Ntashukuru kama nitaipata hyo kitu

Ok,sawa game itakubalikucheza sema settings za graphics zitakuwa Low-Medium na advantage itakuwa ni hiyo processor kwasababu FSX inatumia zaidi processor kuliko graphics card. Ok sasa unataka nikutumie kwa njia gani kutoka huku?
 
me natumia v1.25.2.5 ambayo ni latest. Mod nyingi zinagoma kwasababu hiyo V1.5.2.1 ni ya zamani. Nakushauri tafuta latest version. Steering iko safi tu sema inategememea unatumia gamepad,mouse,joystick au wheel.
mkuu ntapataje hii latest version ya ETS2
 
Kuna map mod ya promods v 2.11 ina africa map najaribu kuishusha hapa ila inanigomea kabisa..
 
Ok,sawa game itakubalikucheza sema settings za graphics zitakuwa Low-Medium na advantage itakuwa ni hiyo processor kwasababu FSX inatumia zaidi processor kuliko graphics card. Ok sasa unataka nikutumie kwa njia gani kutoka huku?

NimekuPM Mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom