Simulation gaming videos from Iringa Tanzania

Kutengeneza sio ishu.. Shida ni inakula mda balaa afu inabidi uwe na data za kutosha za eneo husika.. Kwa one man job inaweza kuchukua hata mwaka..
 
Mr ktk gari ninayoipenda ni SCANIA
mm huwa napenda niipe mpaka speed ya mwisho lkn naona km huwa hazikimbii kabisa. Huwa nafika D12 55MPH Lkn naona speed ni ndogo sana.

Napenda sana ku overtake magari hasa route ndefu huwa nafurahia sana.
Barabara ambazo huwa zisipend ni za ufaransa vizuizi vingi sana mpaka kero
Duh mkuu mm huwa na overtake had napata ajali yan na nahis ningekua dereva kbsa ningeuwa sana yan
 
Euro truck ni sheeedah inakufanya uwe bize dah!.
 
Jamani nime download american truck simulator nimeshindwa ku activate kuna mtu anaweza nisaidia? ?
 
Dah mkuu nielekeze hyo sehem sabb mm gar yang inaenda yan speed ya mwisho ni 90km/hr
Ukienda kwenye settings then gameplay kama skosei kuna sehem ya ku uncheck automatic speed limit something like that.. Hii huwa inalimit gari automatic kwenye speed limit ya eneo husika.. Yaani kama limit ni 30mph gari automatic linarudi kwenye speed hiyo hata ukanyage vipi sanasana itaongezeka kidogo sana na gari inakuwa nzito.. Ukitoa hiyo gari inakuwa free kutembea speed kulingana na uwezo wa gari lenyewe.. Ila nakushauri pia tumia gari zenye horse power kubwa kama volvo..kuna volvo moja ukiupgrade inaenda mpka hp 700 nadhani.. So linakuwa na nguvu balaa na kwenye tambarare ni control yako tu..
 
Daah nashkr sana ase
 
Dah mkuu mbn hyo sehem nimeitafuta sana sjaipata ase
 
Umatuma version gani mkuu.. Mbona ipo.. Ukienda kwenye settings then chagua gameplay scrow hadi kwenye truck settings kuna sehem imeandikwa truck speed limiter uncheck hiyo..
 
Back
Top Bottom