Ukienda kwenye settings then gameplay kama skosei kuna sehem ya ku uncheck automatic speed limit something like that.. Hii huwa inalimit gari automatic kwenye speed limit ya eneo husika.. Yaani kama limit ni 30mph gari automatic linarudi kwenye speed hiyo hata ukanyage vipi sanasana itaongezeka kidogo sana na gari inakuwa nzito.. Ukitoa hiyo gari inakuwa free kutembea speed kulingana na uwezo wa gari lenyewe.. Ila nakushauri pia tumia gari zenye horse power kubwa kama volvo..kuna volvo moja ukiupgrade inaenda mpka hp 700 nadhani.. So linakuwa na nguvu balaa na kwenye tambarare ni control yako tu..