Inagoma kufanyajeKuna map mod ya promods v 2.11 ina africa map najaribu kuishusha hapa ila inanigomea kabisa..
Shida ya hizi link zenye parts nyingi.. Part 1 kila nikidownload ikifika sehem inakata.. Part nyingine zote tayari... Hii map nimeipenda sana..Inagoma kufanyaje
Polee mkuu...Shida ya hizi link zenye parts nyingi.. Part 1 kila nikidownload ikifika sehem inakata.. Part nyingine zote tayari... Hii map nimeipenda sana..
Hiyo ina africa map? Manake mi shida yangu ni hiyo... Kuna moja ya mega map ina africa map na sehem nyingine ila bado ina bugs manake ina crash ovyo afu kuload game unaweza chukua hata nusu saa..Polee mkuu...
Mimi natumia rutas map...ndio nazuga zuga nayo
Hii sio ya africa sema ina mikato yote ya africa...makonakona kama kitonga,barabara vumbi na kokoto,milima ya kutoshaHiyo ina africa map? Manake mi shida yangu ni hiyo... Kuna moja ya mega map ina africa map na sehem nyingine ila bado ina bugs manake ina crash ovyo afu kuload game unaweza chukua hata nusu saa..
mimi ni adict wa games lakini mkuu kwa usawa huu kitoa $20 kununua game kwa kweli siwezi!
Hii sio ya africa sema ina mikato yote ya africa...makonakona kama kitonga,barabara vumbi na kokoto,milima ya kutosha
Mkuu hiyo project inataka mdaHivi humu ndani hakuna wataalamu wa kutengeneza software, ile map ya ETS2 ni rahisi sana kuiedit ila cha msingi inahitaji muda na uvumilivu kwasababu inachukua muda sana kuiedit na kuweka kufanana na mazingira halisi ya sehemu husika(kwetu namaanisha Tanzania) Kama wataalam mpo humu ndani basi tufanyeni hiyo kazi.
hiyo gane ipo kwa free poa.. mimi nina version 1.24 ETS.mimi ni adict wa games lakini mkuu kwa usawa huu kitoa $20 kununua game kwa kweli siwezi!
hiyo gane ipo kwa free poa.. mimi nina version 1.24 ETS.
isitoshe pia kuna America Truck Simulator kwa free
ili kuzipata kwa urahisi zaid download kwa kutumia cm ya android then file ulilo download hamu
ishua jwenye pc ili ku install..
Chakufanya ili kudiwnliad
step 1. Install app inayoitwa torrent search kwenye playstore
step 2. instal utorrent au bit torrent kwenye cm yako
step 3. kwenye app ya torrent search type Euro Truck Simulator 2 v 1.24 au v 1.24 au v. 1.19
step 4. Click mija ya results walizo ldta na kila moja ina ukubwa wa Gm fla inaweza kufikia moaka gb 1.5
step 5. ikisha maliza kudiwnload hanisha file hilo kwenye pc ili ku install na game yako itakua tagari kwa natumizi tena kwa free
kumbuka ili kuongeza msisisimko aa gem hili unaweza kudiwnload the game mods mbalimbali ndani ya EURO TRUCK SIMULATOR na kuweza kuenddsba mabus, kuoata kazi za kusafirisha abilia, kuuendesha katika nchi mbali mbali hadi za afrika kupitia maps mod na ku add skin nzuri nzuri kama za snow katika game