Simulation gaming videos from Iringa Tanzania

Simulation gaming videos from Iringa Tanzania

Ingia kwenye search engine ya google then andika ETS2 mods halafu utafungua website ambazo zitatokea na kudownload mod unayotaka. Ukishaipata utakopy na kupaste kwenye mydocuments>eurotrucksimulator2> mods. then fungua ETS2 nenda kwenye mod manager fungua activate mod uliyoweka then confirm. mod yako itakuwa inafanya kazi.
Mi nina euro truck v 1.23.1.1 kila nikifanya ivyo mod inagoma cjui nakosea wap?
 
Hahaha
Safi sana.... Sema mkuu huo uendeshaji unaua gear box siku mbili tu.
One more thing... Fungua YouTube channel na uionyeshe dunia uwezo wako. Big companies may come knocking!

Hahaha asante mkuu.
 
Mi nina euro truck v 1.23.1.1 kila nikifanya ivyo mod inagoma cjui nakosea wap?

Cheki kama hiyo mod inaendana na version ya gemu. mtengenezajia atakuwa amesema inaendana na version ipi.
 
Hehe hiyo hack nimeipenda, especially part ya kutumia mouse kama right and left motion.
Inapunguza sana latency game linakua smooth. Hata wanaotengeneza hizi wheels kama industry standard hawatumii hiyo technique, wao wanajaribu kulazimisha direction kua kama ume-press button ambayo ni inaccurate, hiyo technique yako ni very smart.
 
Back
Top Bottom