Kweli juu ya Masturbation na Picha za Ngono

Mwl Mwakujonga

JF-Expert Member
Jun 29, 2023
286
582
Yohana 17:17 Uwatakase kwa ile kweli; neno lako ndiyo kweli.

Kweli ni neno la Mungu na hiyo kweli itakuweka kuwa huru

Yohana 8:32 tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.

Kama unatabia ya kuangalia picha za ngono au kujichua ujue wewe na MTU afanyaye uzinzi mko kundi moja wote mnafanya uzinzi

Mathayo 5:28 lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.

Unapofanya masterbution kinachokufanya ufanye hicho unachokifanya Kwanza unakuwa na hisia Kwanza ili uweze kufanya unachokifanya ndio maana wengi ambao wanafanya masterbution pia wanaangalia na picha za ngono na Biblia inasema ukimwangalia mwanamke/mwanaume ukamtamani moyoni mwako umekwisha kuzini ina maana yoyote ambaye anafanya hicho kitendo ni mzinzi

Madhara ya Masterbution na picha za ngono

A. Uharibu hakili

Mithali 6:32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo, litakalomwangamiza nafsi yake.

Kuna MTU mmoja alifukizwa kazi Kwa sababu alikuwa kwenye kikao kikubwa cha ofisi na akashikwa na hamu ya kupiga puyeto akaacha akaondoa kwenye kikao ambacho ni kikao cha muhimu kweli kwenye kazi yake akaenda chooni kupiga nyeto na ukapelekea kufukuzwa Kazi ?

Ebu fikiria Uko kwenye kikao cha ofisi cha muhimu Sana wenzako wako busy wanajadili kazi wewe uko unatazama picha za ngono? Una hakili kweli?

Nenda kwenye uchimi watu WA namna hii hata uchimi wao hauko vizuri , utakuta MTU anafanya kazi nzuri na analipwa pesa nzuri lakini Hana kitu maana yake ile hakili ambayo angeitumia kwa ajili ya kujiletea maendeleo imeharibiwa na picha za ngono hawezi kuzitumia vizuri

B. Unajiungamanisha na majini mahaba

Watu ambao ni watazamaji WA picha za ngono wanajikuta wanasumbuliwa na ndoto za uzinzi na uasherati, Kwa sababu uzinzi unakwenda moyoni na roho yoyote ya Mungu ya Shetani inakuwa moyoni , MTU anayetazama hizo picha anafungwa na majini mahaba ndio maana hawezi kuacha na anafanya Mambo ambayo hayafai

Hivi unaskia MTU anafanya masterbution ofisini au unaskia Mtu anafanya kila siku yaani hawezi kulala bila kufanya masterbution hiyo sio Jambo la kimwili ni la kiroho, kuna roho nyuma yako inakusukuma kufanya unachofanya

Waefeso 3:17 Kristo akae mioyoni mwenu kwa imani mkiwa na shina na msingi katika upendo;

C. Unatengwa na Mungu

2 Timotheo 3:8 Na kama vile Yane na Yambre walivyopingana na Musa, vivyo hivyo na hawa wanapingana na ile kweli; ni watu walioharibika akili zao, wamekataliwa kwa mambo ya imani.

Watu ambao wanafanya vitendo vya kutazama picha za ngono na kufanya masterbution , mioyo Yao inamwondoa Mungu katika nafasi yake na kumwingiza shetani katika mioyo Yao na katika akili Zao na mwishoe hata kama MTU huyo anakwenda kanisani kila siku siku zote anapingana na neno la Mungu

Madhara makubwa Sana kwa Mkristo ni kutengwa na Mungu , anakosa msaada Kwa sababu ni watu ambao ni wabishi wanadharau maandiko sio kwamba ni wao ni roho iliyoko ndani Yao inawafanya mateka na kuwazuia wasijue kweli

Warumi 6:16 Hamjui ya kuwa kwake yeye ambaye mnajitoa nafsi zenu kuwa watumwa wake katika kumtii, mmekuwa watumwa wake yule mnayemtii, kwamba ni utumishi wa dhambi uletao mauti, au kwamba ni utumishi wa utii uletao haki.
 
D.Unaondewa Nguvu za kiume

Tunaposema nguvu za kiume sio kusimamisha uume tunazungumzia uwezo wa kuzalisha watoto? Tatizo ili limekuwa kubwa Sana mahospitali wanaume wengi hawana uwezo wa kuwapa wake zao watoto , Kwa sababu kitendo cha kufanya puyeto unamwaga mbegu zako chini unatengeneza roho ya mauti katika mbegu zako na ukienda hospitality wanapopima uhai WA mbegu zako wanamwambia uwezo WA mbegu zako labda asilimia 20% au 10 % ndio ziko hai inamana asilimia 80% au 90 % ya mbegu zako zimekufa

Ndio maana Leo kwenye ndoa kunasiri kubwa Sana wakina mama wanaficha haibu za waume Zao Kwa kuzaa na waganga au na watu wanje ili Tu kulinda ndoa Zao

Mwanzo 38:9-10 Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao.

[10]Neno hili alilolifanya likawa baya machoni pa BWANA, basi akamwua yeye naye.

Sio kwamba wakina mama wamepona hapa ndio maana Leo unaskia mwanamke kizazi kimeharibika au anapata kansa ya kizazi au kansa ya mlango wa kizazi fanya utafiti juu ya Maisha yako? Au unaskia mwanamke milija ya uzazi imefunga au mayai yanayotolewa hayana uwezo WA kupata mtoto

E. Kufa kiroho

Watu ambao wanatazama hizo picha au kufanya punyeto wanakufa kiroho, ni MTU ambaye anafanya dhambi lakini hajiskia hatia haoni ni shida yeye anaona ni Sawa Tu,

Ukiona unafanya uzinzi au uasherati na haujiskii hatia ujue umeshahamia kambi ya shetani , Ata kama unakwenda kwenye chumba cha ibada Kila siku ujue Kifo kilichobakia kwako ni cha kimwili lakini Roho yako imeshakufa siku nyingi

MTU ambaye roho yake hiko hai ukietenda dhambi lazima Moyo wako ukuhukumu kama hakuna hukumu ndani ya Moyo wako ujue umekufa

Ufunuo wa Yohana 3:1 Na kwa malaika wa kanisa lililoko Sardi andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye na hizo Roho saba za Mungu, na zile nyota saba. Nayajua matendo yako, ya kuwa una jina la kuwa hai, nawe umekufa.

Unaweza kuwa hai kimwili lakini kiroho umekufa na Jina lako limeandikwa kuzimu lakini ukigeuka ukatubu , Jina lako lonaandikwa mbinguni

1 Yohana 3:20-21
[20]ikiwa mioyo yetu inatuhukumu; kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mioyo yetu naye anajua yote.
.
[21]Wapenzi, mioyo yetu isipotuhukumu, tuna ujasiri kwa Mungu;

Moyo ndio taa ya mwandamu kumjulisha mahusiano yake na Mungu kama yako Sawa hau kuna shoti mahali ili uweze kutengeneza na Mungu SASA kama taa haiwako maana yake injini ni mbovu unaitaji kufanyiwa services itakuja kizima ghafla na isitengenezeke

Madhara ya picha za ngono na masterbution ni mengi tutaendelea na namna ya kutoka katika hiki kifungo

D.Unaondewa Nguvu za kiume

Tunaposema nguvu za kiume sio kusimamisha uume tunazungumzia uwezo wa kuzalisha watoto? Tatizo ili limekuwa kubwa Sana mahospitali wanaume wengi hawana uwezo wa kuwapa wake zao watoto , Kwa sababu kitendo cha kufanya puyeto unamwaga mbegu zako chini unatengeneza roho ya mauti katika mbegu zako na ukienda hospitality wanapopima uhai WA mbegu zako wanamwambia uwezo WA mbegu zako labda asilimia 20% au 10 % ndio ziko hai inamana asilimia 80% au 90 % ya mbegu zako zimekufa

Ndio maana Leo kwenye ndoa kunasiri kubwa Sana wakina mama wanaficha haibu za waume Zao Kwa kuzaa na waganga au na watu wanje ili Tu kulinda ndoa Zao

Mwanzo 38:9-10 Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao.

[10]Neno hili alilolifanya likawa baya machoni pa BWANA, basi akamwua yeye naye.

Sio kwamba wakina mama wamepona hapa ndio maana Leo unaskia mwanamke kizazi kimeharibika au anapata kansa ya kizazi au kansa ya mlango wa kizazi fanya utafiti juu ya Maisha yako? Au unaskia mwanamke milija ya uzazi imefunga au mayai yanayotolewa hayana uwezo WA kupata mtoto

E. Kufa kiroho

Watu ambao wanatazama hizo picha au kufanya punyeto wanakufa kiroho, ni MTU ambaye anafanya dhambi lakini hajiskia hatia haoni ni shida yeye anaona ni Sawa Tu,

Ukiona unafanya uzinzi au uasherati na haujiskii hatia ujue umeshahamia kambi ya shetani , Ata kama unakwenda kwenye chumba cha ibada Kila siku ujue Kifo kilichobakia kwako ni cha kimwili lakini Roho yako imeshakufa siku nyingi

MTU ambaye roho yake hiko hai ukietenda dhambi lazima Moyo wako ukuhukumu kama hakuna hukumu ndani ya Moyo wako ujue umekufa

Ufunuo wa Yohana 3:1 Na kwa malaika wa kanisa lililoko Sardi andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye na hizo Roho saba za Mungu, na zile nyota saba. Nayajua matendo yako, ya kuwa una jina la kuwa hai, nawe umekufa.

Unaweza kuwa hai kimwili lakini kiroho umekufa na Jina lako limeandikwa kuzimu lakini ukigeuka ukatubu , Jina lako lonaandikwa mbinguni

1 Yohana 3:20-21
[20]ikiwa mioyo yetu inatuhukumu; kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mioyo yetu naye anajua yote.
.
[21]Wapenzi, mioyo yetu isipotuhukumu, tuna ujasiri kwa Mungu;

Moyo ndio taa ya mwandamu
 
Miaka kadhaa nilikuwa naishi wilaya moja huko Dodoma, wilaya hiyo husifika kwa kuwa na watoto wazuri. Tamaa zangu za kimwili zilinipelekea kumtamani mama na bintie na wote nilifanikiwa kuwatumia kama nilivyokuwa nahitaji, mama mtu alikuwa ananipenda kwelikweli na binti nae kwakuwa ndio kwenye kipindi cha kupevuka alikuwa akipata moto tu anakuja moja kwa moja.

Japo nilikuwa nikifurahia tendo lakini baada ya tendo moyo wangu ulikuwa ukipata huzuni sana yaani naumia mnoo, yaani kuna muda nikiwa peke yangu najihisi uchungu moyoni mpaka nataka kulia

Siku moja nikajua Mungu wangu hapendi na anachukia, niliamua kukata mawasiliano na mama wa binti pamoja na bintie na baada ya kufanya hivyo tu moyo wangu ulipata amani sana, kweli Mungu humuongoza amtakaye na humpoteza amtakae.

Copy :mwizikulu

Nimeichukua mahali tujifunze Moyo wako usipokuhukumu wewe umekufa ingawa uko hai
 
Kujichua ni kufanya ngono na mapepo yanchukua mbegu zako kwenda kuzalisha watoto wa kipepo nusu binadam nusu majini.
Kana shida ni mbegu mbona yanaweza kuzichukua tu hata bila kusubiri watu wapige punyeto, me naona hizo athari mnajitungia tu hakuna uthibitisho wowote
 
Yohana 17:17 Uwatakase kwa ile kweli; neno lako ndiyo kweli.

Kweli ni neno la Mungu na hiyo kweli itakuweka kuwa huru

Yohana 8:32 tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.

Kama unatabia ya kuangalia picha za ngono au kujichua ujue wewe na MTU afanyaye uzinzi mko kundi moja wote mnafanya uzinzi

Mathayo 5:28 lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.

Unapofanya masterbution kinachokufanya ufanye hicho unachokifanya Kwanza unakuwa na hisia Kwanza ili uweze kufanya unachokifanya ndio maana wengi ambao wanafanya masterbution pia wanaangalia na picha za ngono na Biblia inasema ukimwangalia mwanamke/mwanaume ukamtamani moyoni mwako umekwisha kuzini ina maana yoyote ambaye anafanya hicho kitendo ni mzinzi

Madhara ya Masterbution na picha za ngono

A. Uharibu hakili

Mithali 6:32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo, litakalomwangamiza nafsi yake.

Kuna MTU mmoja alifukizwa kazi Kwa sababu alikuwa kwenye kikao kikubwa cha ofisi na akashikwa na hamu ya kupiga puyeto akaacha akaondoa kwenye kikao ambacho ni kikao cha muhimu kweli kwenye kazi yake akaenda chooni kupiga nyeto na ukapelekea kufukuzwa Kazi ?

Ebu fikiria Uko kwenye kikao cha ofisi cha muhimu Sana wenzako wako busy wanajadili kazi wewe uko unatazama picha za ngono? Una hakili kweli?

Nenda kwenye uchimi watu WA namna hii hata uchimi wao hauko vizuri , utakuta MTU anafanya kazi nzuri na analipwa pesa nzuri lakini Hana kitu maana yake ile hakili ambayo angeitumia kwa ajili ya kujiletea maendeleo imeharibiwa na picha za ngono hawezi kuzitumia vizuri

B. Unajiungamanisha na majini mahaba

Watu ambao ni watazamaji WA picha za ngono wanajikuta wanasumbuliwa na ndoto za uzinzi na uasherati, Kwa sababu uzinzi unakwenda moyoni na roho yoyote ya Mungu ya Shetani inakuwa moyoni , MTU anayetazama hizo picha anafungwa na majini mahaba ndio maana hawezi kuacha na anafanya Mambo ambayo hayafai

Hivi unaskia MTU anafanya masterbution ofisini au unaskia Mtu anafanya kila siku yaani hawezi kulala bila kufanya masterbution hiyo sio Jambo la kimwili ni la kiroho, kuna roho nyuma yako inakusukuma kufanya unachofanya

Waefeso 3:17 Kristo akae mioyoni mwenu kwa imani mkiwa na shina na msingi katika upendo;

C. Unatengwa na Mungu

2 Timotheo 3:8 Na kama vile Yane na Yambre walivyopingana na Musa, vivyo hivyo na hawa wanapingana na ile kweli; ni watu walioharibika akili zao, wamekataliwa kwa mambo ya imani.

Watu ambao wanafanya vitendo vya kutazama picha za ngono na kufanya masterbution , mioyo Yao inamwondoa Mungu katika nafasi yake na kumwingiza shetani katika mioyo Yao na katika akili Zao na mwishoe hata kama MTU huyo anakwenda kanisani kila siku siku zote anapingana na neno la Mungu

Madhara makubwa Sana kwa Mkristo ni kutengwa na Mungu , anakosa msaada Kwa sababu ni watu ambao ni wabishi wanadharau maandiko sio kwamba ni wao ni roho iliyoko ndani Yao inawafanya mateka na kuwazuia wasijue kweli

Warumi 6:16 Hamjui ya kuwa kwake yeye ambaye mnajitoa nafsi zenu kuwa watumwa wake katika kumtii, mmekuwa watumwa wake yule mnayemtii, kwamba ni utumishi wa dhambi uletao mauti, au kwamba ni utumishi wa utii uletao haki.
Vip nikitamani simu ya wenyewe kwenye pochi nimezini tayari?
 
yanachukua wakati sperm unaziona ukishafap😀 huu ni uongo
Spiritual thus hakuna mpiga puchu yeyeto ambae yupo strong kiroho.
Inaua nguvu ya ndani ya Imani,maisha bila Imani huwezi.
Mpiga puuchu nguvu yake ya Imani ni sawa na ya shoga tu hawana kitu kinaitwa positivity.
Hawana moto wa ndani yaani wamekufa kiroho ukikosa nguvu ya ndani huwezi kubalance life.
 
Namna ya kutoka kwenye vifungo vya Picha za Ngono na punyeto

Jambo la Kwanza
Omba toba kwa Mungu, mueleze Mungu juu ya kile unachokifanya na kumwomba msamaha

1 Yohana 1:9 Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote.

Jambo la Pili
Omba toba juu ya Ardhi ambayo imepokea mbegu zako ili zisiendelee kutumika upande wa pili Kwa kunyunyiza Damu ya Yesu katika eneo ambalo umekuwa unatumia kama ni maeneo mengi iite Ardhi ambayo imepokea mbegu zako Kisha achilia Damu ya Yesu

Waebrania 12:24 na Yesu mjumbe wa agano jipya, na damu ya kunyunyizwa, inenayo mema kuliko ile ya Habili.

Waebrania 9:20-22
[20]akisema, Hii ni damu ya agano mliloamriwa na Mungu.
.
[21]Na ile hema nayo na vyombo vyote vya ibada alivinyunyizia damu vivyo hivyo.

[22]Na katika Torati karibu vitu vyote husafishwa kwa damu, na pasipo kumwaga damu hakuna ondoleo.

Jambo la Tatu
Ombea uponyaji wa kizazi kwa Damu ya Yesu, omba Damu ya Yesu ikasafishe kizazi Kwa mwanamke na kwa mwanaume ombe uponyaji WA mbegu kwa Damu ya Yesu ikaachilie uhai ndani ya Mbegu zipate kuishi

Warumi 8:11 Lakini, ikiwa Roho yake yeye aliyemfufua Yesu katika wafu anakaa ndani yenu, yeye aliyemfufua Kristo Yesu katika wafu ataihuisha na miili yenu iliyo katika hali ya kufa, kwa Roho wake anayekaa ndani yenu.

Jambo la Nne

Ombea urejesho WA nguvu za kiume pamoja na uponyaji WA misuri ya uume ambayo imeathirika Kwa vitendo vya puyento

Yeremia 30:17 Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema BWANA, kwa sababu wamekuita, mwenye kutupwa, wakisema, Ni Sayuni, ambao hapana mtu autakaye.

Jambo la Tano

Ombea uponyaji wa akili, Mungu aponye akili ambazo Kwa njia ya uzinzi zimeharibika

Yeremia 18:6 Ee nyumba ya Israeli, je! Siwezi mimi kuwatendea ninyi vile vile kama mfinyanzi huyu alivyotenda? Asema BWANA. Angalieni, kama udongo ulivyo katika mkono wa mfinyanzi, ndivyo mlivyo ninyi katika mkono wangu, Ee nyumba ya Israeli

Jambo la Sita

Ombea uponyaji wa fikira zako pamoja na nafsi ambayo ili jeruhiwa kwa njia ya uzinzi upokee uponyaji

Zaburi 103:3 Akusamehe maovu yako yote, Akuponya magonjwa yako yote.

Nb
Tafuta MTU ambaye unamuamini mwambie juu ya changamoto unayokuta nayo hakikisha ni Mtumishi WA Mungu na anajua kutunza Siri na Mungu akusaidie
 
Back
Top Bottom