Simuelewi huyu bibi

Simuelewi huyu bibi

Nimepigwa na butwaa! Anashindwa vipi kujiheshimu au ni wale mabibi wa mijini(mapashukuna/mashangingi wa kitambo) wasiokuwa na mshipa wa aibu.

Ni majanga kwa kweli

Yani umesema wa bibi wa sikuhizi ata shikamoo hawazitaki .salam zao vp shwari unabaki mdomo wazi
 
navyohisi huyo mbibi ni wa magomeni au kinondoni
 
utani gani kabibi hadi kanarusha rusha miguu huku kanatanua mapaja nakupandisha nguo juu..????? maskini tupaja twenyewe tumejaa makunyanzi tuu na mashavu yametelemka kabisa yan ukute kana pepo sio bure!!!!!!!!!

Eat more bibi.The Slogan says....!
 
Yani umesema wa bibi wa sikuhizi ata shikamoo hawazitaki .salam zao vp shwari unabaki mdomo wazi

mule mule yani ukitaka kumwamkia anakuwahi mamboo vp mjukuu!
 
Ur competin wit ur granny...u lost alrdy utu uzima dawa.

he he hee so hii niite survival for the fittest or struggle for existence? ??? wakati wa bibi ushapita babaa she cant compete wit a very younger girl wit blood boiling ..teh teh kizungu kilikuja na ndege ati
 
Huyo dawa yake ni kumnywea dazani ya viroba halafu Unaenda kumpa makiri kiri....Harudii tena.Chezea wewe...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom