Simuelewi huyu bibi

Simuelewi huyu bibi

atii nini????!!!!!! nina sime ndani ujueeee

ukute ndo hicho mana hakina hata simile kinawaelezea watoto wake bila hata aibu na kinaropoka kwa sauti tu y eti kwakwel sikumbuki hata idadi ya wanaume nlotembea nao mana ni wengi sana" kuna siku nlikutana na boo kubwa balaa yani like likikuingia unalisikilizia mpaka tumboni"

Sasa kale kabibi akimkamata mpenzio si utamsikilizia kwenye bomba kwa maana atatekenywa sehemu hajawahi ujue....
 
Hahaha nikikumbuka comment zako kwny ishu za wivu na ulichoandika napata picha haswaa.

khakhaaaa mi simchungi chungu mtu mzima ujue but akinichokonoa na kuniona boya naeza mlipua yani nina hasiraaaaaaaa mnoooooo ila mpaka ishu iwe sensitive sana
 
Sasa kale kabibi akimkamata mpenzio si utamsikilizia kwenye bomba kwa maana atatekenywa sehemu hajawahi ujue....

uwiiii na nilivo mbali ndio ntazimia na kufa hapohapo nina wivu but si wa kumfatilia fatilia mtu as if mpelelezi anatafuta data...
 
Jamaa yako kishanasa...hapa sasa hivi ww upo jf bb yupo kifuani

Rafiki nina wivu wa ndani ndani ujue but I just take things simpo nikicompliketi naeza kufa siku si zangu nahivi yee yupo east mi north nkiwaza sitafanya kazi...FAITHFULNESS N TRUST IS EVERYTHING
 
Rafiki nina wivu wa ndani ndani ujue but I just take things simpo nikicompliketi naeza kufa siku si zangu nahivi yee yupo east mi north nkiwaza sitafanya kazi...FAITHFULNESS N TRUST IS EVERYTHING

Wanakwambia Sharing is Caring.
 
Ulikacheki hako kabibi hakajanywa gongo kweli???

hapo tu kalikua hakajanywa na macho makavuuuu kakinywa sipati picha mbona angebakwa mtu.. teh kijana abakwa na mbibi
 
Kabibi ka watu kalikuwa kanatania tu jamani...

utani gani kabibi hadi kanarusha rusha miguu huku kanatanua mapaja nakupandisha nguo juu..????? maskini tupaja twenyewe tumejaa makunyanzi tuu na mashavu yametelemka kabisa yan ukute kana pepo sio bure!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom