Simuelewi huyu bibi

Simuelewi huyu bibi

Yani mi hapa kilichonimaliza nguvu sio tofauti ya umri....nashangaa kusikia eti bibi ana nye.ge
 
vijana wenzie wameisha???? watakua na laana si bure..

Remember they still live undr same roof.

Busara ni kuhama km jamaa hatohama inakula kwako.

Siamini kuwa mwenye nyumba akutake umkatae halaf asikupige notice
 
Yani mi hapa kilichonimaliza nguvu sio tofauti ya umri....nashangaa kusikia eti bibi ana nye.ge

ndoivo khantwe ITS SERIOUS ..bibi ameomba ashikwe hata kwa mikono tu! !! si bure nahis ni pepo
 
Naona mnamlaumu bibi tu, kwani bibi angeombaje kama hakuwahi "kusaidiwa" siku moja.
 
Kakusimulia mpenzi wako au ulisikia? Unajuaje kama huwa wanataniana? Japo kwa umri wake mkubwa hakutakiwa kufika huko. Bibi yangu (mzaa baba) huniita mimi mume wake na wife huwa anamwita ni mke wa pili. Ila kutamka nye.ge, its too much, mwambie mumeo ahame hapo, hapafai.
 
ukute ndo hicho mana hakina hata simile kinawaelezea watoto wake bila hata aibu na kinaropoka kwa sauti tu y eti kwakwel sikumbuki hata idadi ya wanaume nlotembea nao mana ni wengi sana" kuna siku nlikutana na boo kubwa balaa yani like likikuingia unalisikilizia mpaka tumboni"


Mungu wangu, mwambie mchumba ahame upesi la sivyo hutaiona ndoa na bibi ndiye atakaeolewa, Duh! Dunia duara aibuuuuuuuuuuuuu!!!!!
 
Remember they still live undr same roof.

Busara ni kuhama km jamaa hatohama inakula kwako.

Siamini kuwa mwenye nyumba akutake umkatae halaf asikupige notice

nayeye nitamdharauuuuu vibinti vimeisha mpaka avamie bibiz!!!!!!!? I trust him... na sitaki kumuwazia negativity...
 
nayeye nitamdharauuuuu vibinti vimeisha mpaka avamie bibiz!!!!!!!? I trust him... na sitaki kumuwazia negativity...

Hehehehehe let nature takes its course...maisha yanachangamoto sana
 
[/B][/COLOR]
Mungu wangu, mwambie mchumba ahame upesi la sivyo hutaiona ndoa na bibi ndiye atakaeolewa, Duh! Dunia duara aibuuuuuuuuuuuuu!!!!!

aiseee ntaroga mtuu!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom