Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,525
- 185,663
Habarini wakuu na poleni na majonzi ya kumuenzi muasisi wa Taifa letu.
Hivi hii ni ishara gani mana nikifikiria hata simuelewi huyu bibi. Kuna bibi mmoja ambaye ni ndugu yake mwenye nyumba hapo alipopanga mchumba wamie huwa amezoea kumwita mchumba wangu BABA WATOTO kiutani utani tu mana huyo bibi ni aged sana na ana vijukuu vingi tu.
Sasa jana mpenzi katoka majukumuni kurudi nyumbani mida ya saa 4 usiku. Alipofika alimkuta huyo bibi kakaa kibarazani wakati wengine wote walikua ndani akamsalimia bibi nakutaka kuingia ndani kabla ya kuingia yule bibi akamuita Baba watoto eeee,,, naam bibi... leo mpaka muda huu nimekaa nje nakusubiri wewe, yaani nina NYEEGE nyingi sana.
kabibi kanatamka laivu bila hata aibu.
"Naomba hata unishikeshike kwa mikono tu mi ntaridhika." Kabibi kakawa kanarusha rusha miguu huku kanapanua panua mapaja kakisisitiza "yaani nina muda mrefu kweli hata uniguseguse kwa juu juu tu."
Mpenzi hata hakutarajia kama bibi angethubutu kumtamkia huo uduanzi akaingia zake ndani bila kujibu lolote.
Sasa mimi najiuliza sipati majibu kabisaaa yaani inamaana bibi kashindwa kwenda kujiuza au hajaona vibabu saizi yake mpaka aende kwa kijana ambaye ni kama mjukuu wake?
Anyway GOD FORBID! !!!!!!