Simuelewi huyu bibi

Simuelewi huyu bibi

Nimtanie nani?…mwanaune akija kusema kuwa kuna mwanamke kamtongoza jua kuna jambo...tatizo nyie wanawake hamchunguzaji hizi vitu vzr halaf inakuja kula kwenu

cc: mahondaw
 
Last edited by a moderator:
Habari hii inawezekana kuwa ya kweli,kuna rafiki yangu alinisimulia kisa cha bibi mmoja ambaye ana wajukuu wanaweza kuolewa na kuzaa kama wasingekuwa wanasoma.Siku moja yule bibi alitoka maeneo ya nyumbani kwake akajisogeza karibu na chumba cha huyo rafiki yangu ila kwa nje nadhani hakujua kama ndani kuna mtu hajalala maana ilikuwa ucku,basi akawa anaongea na simu anasema ''njoo bwana mimi siwezi kulala,njoo...'' eeh yule rafiki yangu baada ya muda akaona anatokea kijana wakaongozana kuingia kwa yule bibi alishangaa maana yule bibi alikuwa anaheshimika.
Kwa hiyo mi naona tabia ya mtu haizeeki au huenda na wazee wanapandisha mizuka ila wanajizuia,
Huyu mpenzi wako alikosea kuendekeza kuitwa baba watoto na mtu ambaye hazijui tabia zake tangu mwanzo,ila nampongeza kwa kumpotezea huyo bibi vinginevyo mngeanza kushare.
 
ITS TRUE.!! sa mpee hakudhania kabisa hata kufikiria yani yeye mwenyew alipatwa na ganzi mwili mzima
 
Eeeeh mungu saidia viumbe vyako hivi, maaaana ni shida tupu.
 
Huyo jamaa anakabutua yako kabibi sasa kamenogewa Karnataka kujenga himaya aweke mambo hadharani, jamaa anaona soo ndio akakueleza ili kujiwekea kiñga mapema
 
Kwan lina ubaya?

utazeeka naww yanaweza kukutokea haya

mmmhhh ndo FIXATION yenyewe hii tulisomaga kwenye saikolog miaka hiyoo nmesahau ni theory gani.. kwamba mtu akiruka stage flani au asipoitumia ipasavyo later on lazima itajirudia ...sasa kibibi hakikuitumia vizur saiv kinasumbua watu mmxxiiouuu pambafu sana bibi
 
Jamaa yako ana guilty consious...
 
Hii Kali Kuliko Ila Na Wewe Una Wivu Hadi Kwa Kibibi?
 
mahondaw
Lakini minasomaga kwenye magazeti pend2wa mkijinadi kwamba mjini hakuna uzee mwisho chelinze:flame::flame:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom