Simu za mabinti kuharibika mnapoanza uhusiano

Simu za mabinti kuharibika mnapoanza uhusiano

Truth Matters

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
2,633
Reaction score
5,606
Bandugu,

Imekuwa kama fashion siku hizi ukianza uhusiano na binti, ile mmebadilishana namba na kesho ndo first date, tarajia kuambiwa 'simu imeingia maji, imechukuliwa na mwenyewe' na upuuzi kama huo.

Nime experience kwa mabinti kama watatu hasa under 25s! Sasa sijui kwanini hawaambiani kuwa hii trick imegundulika wabadili gia.
 
daaah ni kwwl aseee

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Bandugu,
Imekuwa kama fashion siku hizi ukianza uhusiano na binti, ile mmebadlishana namba na kesho ndo first date, tarajia kuambiwa 'simu imeingia maji, imechukuliwa na mwenyewe' na upuuzi kama huo.
Nime experience kwa mabinti kama watatu hasa under 25s! Sasa sijui kwanini hawaambiani kuwa hii trick imegndulika wabadili gia!
Wanakuwa na akili za kitoto mkuu
 
Waambiane akati wanadanga na akili zao bado za kitoto!
 
Siyo simu tu ,nakuiomba hela kila wakati,nahisi walizoea Sikh zanyuma kuhongwa ,hawajajuwa kama posho za hovyo zimezimwa

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Akikwambia simu imeingia maji Mwambie yako imeingia pombe then Acha maisha ya Endelee

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Hiyo inaitwa ukila bati mi nakula misumari.hahahahahaha nimeipenda hiyo
 
Utotoooo

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Back
Top Bottom