Simu za mabinti kuharibika mnapoanza uhusiano

Simu za mabinti kuharibika mnapoanza uhusiano

Hahahahaaha daaah nshukuru nimefunguliwa macho....nilikuwaga nawaza sana kwamba mimi Nina mkosi gani....maana kila msichana niliebadilishana nae namba za simu haipiti wiki naambiwa simu ipo kwa fundi au imeharibika....it has been happening for not less than 5 girls though at a different time...daaah nashukuru mungu na mie nilikuwa sinaga pesa kipindi hichoooo....niliishia kuachwa tu Mara zote

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Unamwambia kaitengeneze
Afu unakaa kimya
 
USINIKUMBUSHE KUNA RAFIKI ANGU ALIKUA AKIPATA MWANAMME MPYA BASI UJUE WIKI IJAYO BIRTHDAY YAKE...HAHAHHHA
 
Ubaya kwa jinsi hali inavyozidi kuwa ngumu ukikutana tu na demu siku ya kwanza ndo matatizo nyumbani au chumbani kwake yanapoanza. utasikia nimepungukiwa kwenye ela ya kodi, mara nataka kwenda saluni niongezee n.k ushenzi mtupu. Hapo kuhudumia kote kisa utamu ambao hata sabuni ya kipande 200 unaupata.
 
bosi hii simu ulotumia kupost ndio unatumiaga kuombea namba hao wadada?

kama ndio basi sawa wasalimie sana huko kasulu teachers college
Dah! Aisee! Sijui jamaa kajisikiaje baada ya kusoma hii comment.
 
Hahahaaa ata mi yngu imearbka aisee cjui nmwambie nan

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Ni jana tu nimepewa hiyo tungo

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28] unampiga chini tu

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Hicho ni.moja kati ya visa vingi walivyonavyo. Anakuomba 10,000 kila siku. Unaweza kuiona ndogo. Mwezi shs ngapi? Anaomba umkopeshe atarudisha. Haombi zaidi ya 50,000. Mkikubaliana kukutana anasubiri zimebaki dak chache afike anasema amepata wageni anahitaji kuwawezesha wabaki nyumbani ili aje muendelee na zenu.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Uki date na watoto wa shule tarajia kusikia vioja kama hivyo. Binafsi hayo mambo nayasikia kwa watu.

Anyway serikali imeshasema mtoto atakayepata ujauzito ndio mwsho wa story

cephalocaudo the greatest
 
Kama hutaki majukumu acha kutongoza mfyusuuu

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
 
Bandugu,

Imekuwa kama fashion siku hizi ukianza uhusiano na binti, ile mmebadilishana namba na kesho ndo first date, tarajia kuambiwa 'simu imeingia maji, imechukuliwa na mwenyewe' na upuuzi kama huo.

Nime experience kwa mabinti kama watatu hasa under 25s! Sasa sijui kwanini hawaambiani kuwa hii trick imegundulika wabadili gia.
Kama anaanza na gia za uongo hata kama nilikuwa nataka kumnunulia gari na nyumba naghairi.

Kuna mwingine ukikutana naye tu birthday yake anataka zawadi.

Sasa nikununulie zawadi ya birthday hata sijakujua unapenda zwadi gani?
 
Back
Top Bottom