Siyo rahisi kiivyoUkifilisika tuletee mrejesho
Sent from my Nokia katochi using Jamii Forums Mobile App.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nimeipenda hii aki nimecheka mno eti bomu mpka kwa[emoji357] [emoji357]Hao ni watoto.
Wataalamu hawafanyi huo upuuzi. Tena anaweza hata akakupa vijigift vya hapa na pale, vya maana. Haombi nauli au vihela vya kitoto. Ila siku akidondosha bomu, wallahi kishindo chake kitasikika mpaka Ikulu. Na mara nyingi utampa tu kwani hakunaga namna nyingine
Bandugu,
Imekuwa kama fashion siku hizi ukianza uhusiano na binti, ile mmebadilishana namba na kesho ndo first date, tarajia kuambiwa 'simu imeingia maji, imechukuliwa na mwenyewe' na upuuzi kama huo.
Nime experience kwa mabinti kama watatu hasa under 25s! Sasa sijui kwanini hawaambiani kuwa hii trick imegundulika wabadili gia.
HaaaaaaaaaahaaaaaaaaaHao wengi wao wanakuwa bikra zao zimetoka muda mfupi kwa hiyo wana kiherehere! wao ni kutoa na kuingiza tu hawana akili ya maisha hata nusu.