Simu za mabinti kuharibika mnapoanza uhusiano

Simu za mabinti kuharibika mnapoanza uhusiano

Pole sana ndg, kama una Nokia tochi muazime

anything you lose from being honest, you never really had to begin with.
 
bosi hii simu ulotumia kupost ndio unatumiaga kuombea namba hao wadada?

kama ndio basi sawa wasalimie sana huko kasulu teachers college
duuuuuhhh...sina hakika kama mtoa thread atafurahishwa na hiyo comment yako

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Hao wengi wao wanakuwa bikra zao zimetoka muda mfupi kwa hiyo wana kiherehere! wao ni kutoa na kuingiza tu hawana akili ya maisha hata nusu.
 
Malizia story ...
🙂🙂 Wewe ni mchochezi! Ni kamuambia mimi natumia ki TECNO cha laki 3 ! Hicho kioo kilichovunjika chaweza nunua simu kama yangu 2! Nikampa hela akanunue kitochi tuwasiliane!
 
Hao ni watoto.

Wataalamu hawafanyi huo upuuzi. Tena anaweza hata akakupa vijigift vya hapa na pale, vya maana. Haombi nauli au vihela vya kitoto. Ila siku akidondosha bomu, wallahi kishindo chake kitasikika mpaka Ikulu. Na mara nyingi utampa tu kwani hakunaga namna nyingine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bandugu,

Imekuwa kama fashion siku hizi ukianza uhusiano na binti, ile mmebadilishana namba na kesho ndo first date, tarajia kuambiwa 'simu imeingia maji, imechukuliwa na mwenyewe' na upuuzi kama huo.

Nime experience kwa mabinti kama watatu hasa under 25s! Sasa sijui kwanini hawaambiani kuwa hii trick imegundulika wabadili gia.
Jana tu nimetoka kuambiwa hivi hapa nawaza niepuke vipi hichi kizinga

Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
 
Kama mwanamke anategemea kuhongwa na mimi basi ameula wa chuya, mimi nazithamini sana pesa zangu

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Tunaweza kufahamina kwa Simu.Huawei p8 lite

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]simu imechanika baby, ninunulie Samsung s8+

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Samsung s8+ wakati natumia tecno m3

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Mtu kama huyo ni kwamba hakuhitaji hataki mawasiliano nawewe achana nae tatizo lenu hamuelewagi lugha ya matendo.
Lubi.neno baby nikuambie kitu.Ah nazima simu na line natoa kama tumekaa sehemu nainuka na sirudi

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Hao ni watoto.

Wataalamu hawafanyi huo upuuzi. Tena anaweza hata akakupa vijigift vya hapa na pale, vya maana. Haombi nauli au vihela vya kitoto. Ila siku akidondosha bomu, wallahi kishindo chake kitasikika mpaka Ikulu. Na mara nyingi utampa tu kwani hakunaga namna nyingine
Atakua mapanki anataka kumuangamiza usa.[emoji24] [emoji12]

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom