pablojunior
Senior Member
- Apr 15, 2014
- 159
- 38
mkuu pole ila huyo ni tabia yake aisee sasa una muda gani hujawai shika cmu yake ni sina shaka huyo ---- anakuja hapo kwako ukiwa haupo fanya maamuzi magumu ila ya busara piga chini malaya huyo.