Gamaha
JF-Expert Member
- Jul 17, 2008
- 3,945
- 5,082
Kwa nini unapekuwa vitu visivyo kuhusu, maisha ya ndoa ni ya kuaminiana, hayo mengine mnatafuta matatizo tu hapa duniani. Wengi tumekuta wake zetu sio bikra watu wameisha pita kinachokuaminisha kuwa ukioa basi ile njia inakuwa yako peke yako kitu gani.