Simu ya wife

Simu ya wife

Labda ndio jina la huyo ndugu la utani bwana. Relax ufurahie maisha. Na weww ficha simu yako ili ufurahu
King'astu hii court yangu inaonyesha ni level ya juu sana ya usaliti,ana mume then kuna mwingine anaitwa mume?just imagine hata wewe mume wako ukute jina la My wife?Ni bora ange save hata fundi magari,dalali au hata uncle Ally
 
Last edited by a moderator:
Watu tukiamua kuacha kuoa na tukawa mabazazi watu wanatulaumu.

Matukio kama haya na mengine mengi nayoyajua yanazidi kuipa nguvu hoja yangu ya kutokuoa.

Huyo mwanamke muache,haina maana kuishi na mwanamke mjinga namna hiyo.
Red===Una uhakika? Kwani mapenzi ni ujinga? Amependa na amekuwa mkweli na inawezekana sisi tunaoona kuwa amefanya kosa ndiyo wajinga. Usisahau chumba kina kuta nne ndo zinajuwa matatizo ya wanandoa ikijumuishwa na panya wanaolala katika mtambala panya hasa katika nyumba zetu huku kusini zisizo na silingibodi. Usisahau sie wanaume ambao siriojali tunavyojua kusingizia matendegu ya vitanda kuwa yanakata sitimu
 
ukome kupekua simu ya mwenzio.... kwa hiyo umetoa wapi guvu za kuandika uzi ? nataka kuamini wewe unashida kitandani au mbahili au mchoyo au unakibamia ndiyo maana ujachukua hatua mpaka sasa kwa kuwa anakufichia siri

nawaza kwa sauti tu, vipi ww ndio ungekuwa mke wa jamaa alafu ndo ukajua amekupekua simu nadhani na vibao ungemtwanga maana ulivoandika kwa hasira!!
 
Saingine bwana Ommy ni mbishi wake anamkwangua vizuri na kodi ya meza unayomwachia anamwonga mshkaji.
 
Taasisi ya ndoa ni mtihani mkubwa sana. Muite bila woga akupe majibu ya kutosha, otherwise mpeleke kwao kabla hajakuunganisha kwenye grid ya taifa.
 
Mtu alikuwa anaficha simu yake Akijua ina majanga,umeimendea ukakutana na uloepushwa nayo!!!
Kama kweli hujafanya chochote zaidi ya kufungua thread basi kumegewa ni stahili yako!
 
Taasisi ya ndoa ni mtihani mkubwa sana. Muite bila woga akupe majibu ya kutosha, otherwise mpeleke kwao kabla hajakuunganisha kwenye grid ya taifa.
Ni mtihani hakika.
Usije shangaa kukuta huyo mume alishawaunganisha kitambo kwenye hiyo gridi,mke anamalizia tu.
 
Labda ni mmoja kati ya mia...otherwise ni mtenda akitendwa ...

Kwanza jiulize kwa nini waliwekeana masharti ya kutoshika simu...

Nani alianzisha hiyo sheria kwenye ndoa yao?

Ukute mke kaamua kufanya kusudi ili kumpa somo...(maana haiingii akilini)

Ni mtihani hakika.
Usije shangaa kukuta huyo mume alishawaunganisha kitambo kwenye hiyo gridi,mke anamalizia tu.
 
nawaza kwa sauti tu, vipi ww ndio ungekuwa mke wa jamaa alafu ndo ukajua amekupekua simu nadhani na vibao ungemtwanga maana ulivoandika kwa hasira!!

Kosa lingegeukia kwake yeye ndiyo sababu ya haya yote
 
Watu tukiamua kuacha kuoa na tukawa mabazazi watu wanatulaumu.

Matukio kama haya na mengine mengi nayoyajua yanazidi kuipa nguvu hoja yangu ya kutokuoa.

Huyo mwanamke muache,haina maana kuishi na mwanamke mjinga namna hiyo.

Koma kutukana watu

Bazazi
 
Red===Una uhakika? Kwani mapenzi ni ujinga? Amependa na amekuwa mkweli na inawezekana sisi tunaoona kuwa amefanya kosa ndiyo wajinga. Usisahau chumba kina kuta nne ndo zinajuwa matatizo ya wanandoa ikijumuishwa na panya wanaolala katika mtambala panya hasa katika nyumba zetu huku kusini zisizo na silingibodi. Usisahau sie wanaume ambao siriojali tunavyojua kusingizia matendegu ya vitanda kuwa yanakata sitimu

Afadhali samaki nchanga useme mbaazi bei ikoje..?
 
Atakuwa Miss Chagga huyooo, anavyokushupalia labda msagaji mwenzie hahahahaaaa

Hii kesi tukaimalizie kisuma bar ya pale temeke haki ya nani nitakupa adhabu amabayo hutakaa husahau Nitahakikisha nakukoboa tu
 
Back
Top Bottom