Zorrander
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 438
- 233
Kiranga komooooooo.........................
Ndo ujue kwa nini wife anaificha ficha simu yake na hataki uione. Nawe ilibidi uiogope kama ukoma kuepusha ajali kama hizo ona sasa utapungua kilo bila kupenda.
Ushauri: Nenda nae na umuulize taratibu na kiustaarabu kama unakunywa mipombe hakikisha haugusii hili suala ukiwa umelewa mana utakuwa unauliza huku unaogopa ogopa
BT: KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI.
Umesema amuulize taratibu na kiustaarabu???!!!!! Khaaaa...... Aiseee