Orodha kamili ya majina ya wafanyabiashara wenye sifa na vigezo vya kurejeshwa sokoni Kariakoo yatolewa

OR TAMISEMI

Ministry
Jul 3, 2024
20
90
Shirika la Masoko ya Kariakoo linautangazia umma orodha kamili ya majina ya wafanyabiashara wenye sifa na vigezo vya kurejeshwa sokoni Kariakoo baada ya ujenzi wa soko jipya na ukarabati wa soko kuu kukamilika. Taarifa hii inapatikana katika tovuti ya Ofisi ya Rais –TAMISEMI www.tamisemi.go.tz na Shirika la Masoko ya Kariakoo www.kariakoomarket.co.tz, pia unaweza kuipata moja kwa moja hapa - bofya kupakua orodha kamili.pdf pamoja na kwenye kiambatisho hapo chini.

Orodha hii pia imebandikwa kwenye mbao za matangazo zilizopo kwenye Soko la Machinga Complex na Soko la Kisutu.

Wafanyabiashara wanaodaiwa na Shirika ambao wapo kwenye orodha hii wanajulishwa kuwa hawatarejeshwa sokoni hadi watakapolipa madeni ya kodi waliyolimbikiza kwa muda mrefu.

Shirika linatoa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia leo tarehe 10 Julai 2024 hadi tarehe 09 Agosti 2024 kwa wadaiwa wote kukamilisha malipo ya madeni yao.

Kwa wafanyabiashara wenye hoja au maoni kuhusu majina yao kutoonekana kwenye Orodha ya uhakiki, Shirika linatoa muda wa siku tatu kuanzia tarehe 11 hadi 13 Julai 2024 kuwasilisha madai yao.

Maafisa wa Shirika watakuwepo katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam kuanzia saa 3.00 asubuhi hadi saa 9.00 alasiri kusikiliza na kutoa ufafanuzi kwa wafanyabiashara.

Taarifa zaidi zitatolewa kupitia mitandao ya kijamii ya Shirika: Instagram/Facebook na X kwa anwani kariakoo_market_corporation au simu - 069830230.

Imetolewa na;
MENEJIMENTI
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO
10 Julai, 2024


ORODHA YA WAFANYABIASHARA 891 WALIOKIDHI VIGEZO KWA AJILI YA KUREJESHWA SOKONI KARIAKOO

1: SOKO KUU NA JINA LA MMILIKI
1 JOHN FRANCIS SHAYO
2 JOHN SHAO/YOSEPH KILIMO SHOP LTD
3 EVAUD KOMBE
4 HUSSEIN JUMA CHOGOGWE
5 JOHN ALPHONCE MWERI
6 SHAFII WAZIRI NYELLO
7 AMINA SUZO MICHAEL
8 MEDADI DAUDI
9 BLANDINA JOHN BARIBUTSA
10 BOBU INCOPARATE LIMITED
11 ANASTAZIA JOSEPH YONGO
12 BIASHARA CONSUMER SERVICE
13 JOHN JOSEPH KIMARIO
14 DAMAS UWILA
15 LYDIA WILLNES SANDY
16 GODFREY THOBIAS MABOBA
17 RIVASTON F. MFURUKI
18 TUKUZA ELIGIUS BAGENYI
19 GETCA INTERNATIONAL LTD
20 IMAMU IDDI
21 FLORA IGNAS MBILINYI
22 MWALUSAGI AGROSEUS
23 AMEDEUS AGROVET
24 AMATECH TRADING CO.
25 BENADETHA MARTIN KAMSAKILA
26 MWAJUMA RASHID ABDALLAH
27 AG.AGROCHEMICAL
28 KHALIFA RASHID YUSUPH
29 JOHN ANJONGILE/ATHUMANI OMARY SALUM
30 FRANK DINDE (PASTORY LAURIN)
31 SIMON SAMANYA
32 SUBIRA RAMADHANI ALLY
33 SALMA SECHONGE
34 EDGAR GASPER ISHENGOMA
35 KIBA AGENT
36 DEVOTHA DAUD LAZARO
37 MAULIDI SAIDI MDOME
38 NEW SAMBA ENTERPRISES (SALEHE M..
39 ANIGRAIN VET SERVICE (EMMANUEL CH
40 KARIAKOO RAFIKI SHOP
41 ASHERINA MWANYIKA
42 D.I AGROVET (IPYANA ROBERT CHRIST…
43 EDINA DAVID LYIMO
44 DELYIMO ENTERPRISES
45 HENRY THOMPOSON CHAMBI
46 SELEMANI JUMA MSOFE
47 ALBERT PHILIP TURUKA
48 GRACE ALEX LYANZILE
49 GATI LUCAS BIRAS
50 JOYCE KAMBUGA BYEBALILO
51 ESTER BALOZI DAUDI
52 VEILA ALFRED MINJA
53 DOREEN CLEMENT MAGANGA/TEL JOJI
54 ISSA KASSU HASSANAL
55 ADRIANO EZEKIEL NDALE
56 BASHIRU SALANGE
57 MOHAMED S. MAGRAM
58 DISMAS DAUD MASSAWE
59 JOHN AUGUSTINE NANGU
60 SONGAMBELE CONS
61 JAMAL EDWARD MAHANDE
62 EMMANUEL GODFREY MAKATA
63 ERICA AGRO
64 LUSHOTO GREEN GROCERY
65 ELIONA URIO
66 MICHAEL GLADSTONE MAKATA
67 IRENE GODFREY MAKATA
68 ABEL SIMON MAKATA
69 EDWIN AUGUSTINE KATOTO
70 FILBERT DAMAS MASAWE
71 BEAUTY SHOP
72 JUMA SAIDI LUSUNGA
73 MILLEGO SUPPLIES HOUSE
74 NICKSON S. MAKATA
75 JAPHET SILAYO
76 AMAN LAMOSAI
77 ESTER MICHAEL MSUYA
78 BENJAMIN PAUL MGITU
79 KIBAJA MJATA PARTNERSHIP
80 HAMIDA AMIN BARUTH
81 HARTH AHMAD SAID
82 INNOCENT DICKSON MUNUO
83 ANNA JOHNSON MCHOME
84 MBEZI FRESH MARKET
85 WACHUUZI LTD
86 ASHA MUSSA HAJI
87 WAZEE FISH STORE
88 VERDIANA KAKIBOJU
89 GENERAL FOOD SUPPY
90 ISSA ANANGISYE MWAKITALIMA
91 EMMANUEL PHINAS KAAYA
92 ALLEN PASCAL CHAKY
93 KARIAKOO RAFIKI SHOP (ZUHURA ABDALLA)
94 HAMDANI AMIRI MAHANYU
95 MUHUDHARI OMARI KILUWASHA
96 ISMAIL JUMA ALLY (KARIAKOO GROCERY)
97 BARAKA ALIYASA BARUTI
98 SAIDI BASHIR MBWANA (WAGROVESU)
99 MUHSIN OMARI KIRUWASHA
100 JOSEPHINE GODFREY MOSI
101 SALIM ISMAIL MALLYA
102 ABDALLAH BASHIRU SELEMANI
103 RASHID BAKARI
104 SALUM MATHIAS MAGANGA
105 NESTORY AMANDI KOBELO
106 LUPAKISYO MLAGA SONGA
107 MARIAM SAID SALUM
108 JUMA HASSAN MATOPE
109 HEMEDI PARTNERS /SAUMU
110 REY K. BUBERWA
111 FLIX MKOMO
112 VERONICA IGNUSS
113 OMARY ALLY SINGANO
114 GRACE MLAGA /SOJU
115 OMARY K. ALLY
116 SONS OF AFRICA
117 ASHA MUSSA HAJI
118 MAGNETH J. NDIBALEMA
119 OMARY ALLY SINGANO
120 SKETCH CONCEPT ARCHITECT
121 YAKUBU AMADI SHUMBUSHO
122 BERTHA RONALD MARIKI
123 RICHARD R. MFULUKI
124 DUMMAH OMAR ABDALLAH
125 SARA AGRO
126 VICTORIA MTOI TILIA
127 AMEDEUS ADELARD MTENGA
128 TUSE TRADERS
129 ALLY KHAMIS ISSA
130 JUMBE H. SHAHA
131 HEMEDI SHEMNGOMBE
132 HAWA KACHARE
133 TANLIGHT INTERTRADE INVESTMENT
134 SARA DAVID LYIMO
135 ROXANA STELLA KAIRA
136 FADHIL RASHIDI KADUGA
137 GIFT GOODLUCK USIO
138 CELINA SAIDI MGONDA
139 SALOME MVUNGI
140 ANNA MCHOME
141 ADAM SAID ULIZA
142 AMETECH TRADING CO.( MR AMEDEUS)
143 GIDEON H. MROSSO
144 JULIANA ATANAS MADAI
145 ABDALLAH MOHAMED ALLY
146 KASSIM SAID SELEMANI
147 SALIM KHALID MKONO
148 ROSE NYAMWIZA RWEJUNA
149 SALVATORY JOSEPH TARIMO
150 ABDUL ADAM ULIZA
151 DAUDI STEPHANI MATHEI
152 GILBART ATANASIO MABATI
153 ESTADORAH AMAN
154 BIMUR HUSSENI SAID
155 ABILLAH SAID DELIMA
156 SALIM AMIR
157 RASHID MOHAMED SHABANI
158 STEVEN RAPHAEL SIWO
159 RAMADHANI S. KAMBI
160 ABBAS RAMADHAN KAMBIY
161 FATIMA RAMADHANI ABBAS (MRS KAMBI)
162 DAR FARM (ABBAS KAMBIY)
163 RASHID MAKUKA
164 FATUMA SELEMANI KAMBIY


2: VIGOLI NA JINA LA MMILIKI
1 KAJENJERE TRADING CO. LTD (MATHEW JOHN ANDREW
2 ARUBU HARUNA RAJABU
3 GRACE LUKAS KABUDI
4 MWAJUMA JUMA KAHELA
5 JOYCE FELIX NGOWI
6 HONEST THADEI MSELE
7 RAMADHANI ZAIDI KABEZA
8 UPENDO BRYSON KILALE
9 TUPONE SYOGE MWALYOLO
10 AGNESS PATRICK MASSWE
11 LEILA SIDI URASSA
12 CLARA SYLVESTER MHINA
13 AWADH MAULID MWITA
14 ZAHIRINA DAUDI MUSHI
15 NEDRA VEREHIM KYANDO
16 LINNA GOTHALFEN MALLYA
17 JAMES TARAMEL MUSHI
18 SWALEHE AMRI LONKA
19 BARAKA EDOM KITWIKA
20 RAMLA KHALFAN MURO
21 GOODLUCK CHRISTOPHER MANTIRI
22 ASIA SELEMANI KIBERENGE
23 RESTITUTA ALOIS JOHN
24 LYDIA SIMON MUSHI
25 HALIMA YAHYA BURHANI
26 PAUL ABDIHAMANI SIMBIA
27 RAMADHANI AMRI LONKA
28 GIVEN AIFEO SANGA
29 FREDICK FIDEL HABONA
30 MAGRETH CHERLES MSENGA
31 JAMES SPIRIAN MUSHI
32 HASSAN SALUM NAMKELEJA
33 RHOBI GOTORA MORONI
34 SHILA ASTURA KASITA
35 SARAH JIMMY KIMARIO
36 RAFAEL AMOS TILIA
37 JUMBE H. SHAHA
38 AHMAD ATHUMANI RUHANGA
39 JOHNSON JOSEPHAT MKINI
40 AMIDA MTAMIKE
41 NEEMA MFAUME JOSEPH
42 FEDINANDI MP. MUSHI
43 JEROME MTHEKI KILAKILA
44 MIHERI JONAS MWALINGO
45 FARIDA MBWANA SELEMANI
46 AMRY YANGA BHISHANZA
47 JOHN BEDDA MMASY
48 ELIASI MATEI MUSHI
49 GOODLUCK JOACHIM OROTHA
50 JOSEPHINE MICHAEL MWAKYUSA
51 INNOCENT WESTON MSIGWA
52 SEBASTIAN JOHN MASSAWE
53 LEONI BONIFAC KIMARO
54 IKRAM HUSSEIN
55 LEONS L. KIMARIO
56 FRED BONIFACE SHIYO
57 NEEMA JOHN MNGANYA
58 BEATRICE LASCO SIMON
59 ELVIN SALIA KWEKA
60 TECLA RICHARD MAKATA
61 HAPPYNESS P CHAMBE
62 DAUDI J DAUDI
63 JESCA IZIDORY
64 SAADA J. MANDWANGA
65 CHARLES WILFRED URIO
66 CHEVAWE C. MBERESERO
67 WINFRIDA CASMIRI KULAYA
68 HAFIDHI RAJABU LULANGA
69 REMIGIUS LAURENT KILAPILO
70 SALUM KHALID MKONO
71 HARUNA ISSA KUHIGWA
72 NEEMA M. JOSEPH
73 MOHAMED ALI HAMAD
74 HASSAN MOHAMED CHONCHIMA
75 AHMED KHAMIS HAMAD
76 NASSIR ALLY OMARY
77 ABDUL KARIM MALIK MOHD
78 OTHAMAN RASHID OTHMAN
79 JUMA KHAMIS JUMA
80 NASRI ABDALLAH MOHAMED
81 SAID ALLY SAID
82 MARIAM SAID HAMAD
83 OMARY HAMAD MOHAMED
84 ISIHAKA MAHMOUD SAID
85 HILMI ALLY SAID
86 RAJABU SAID ALLY


3: SOKO DOGO- NDANI NA JINA LA MMILIKI
1 NZOBORA NEGAGA MBARUKI
2 RUSMA HASSANI MOHAMED
3 ISSA OMARI / TWAHA ISSA
4 SHABANI BAKARI HAMIS
5 ALFRED AMANI
6 ALI KHAMIS SHEIKH
7 RAJABU SHABANI RUBAMBO
8 UWESU HUSSEN MADABARI
9 SELEMANI MFUCHU
10 JOHN JOSEPH KARUMUNA
11 SULTANI OMARY
12 SLIM MOHAMED SEIF
13 YASINI SHABANI ALLY
14 ZAITUNI /SALMA MUSA SAID
15 HAMISI SELEMANI GEDE(SAID ABDALAH MAREHEMU
16 VEGETABLE AND SPICE COOP-VESCO
17 TWAHA JUMA MASSUDI
18 SALUM AMRI
19 YAHAYA IDDI SELEMANI
20 ALAWI MOHAMED
21 HASSAN MOHAMED CHONCHIMA
22 HAMISI SHABANI MNYAMPU
23 MIKADADI RAJABU TUMBO
24 MBARAK ABDULRAHMAN BASALAA
25 HAMISI BETAMAID MGENI
26 RASHID SHABANI HATIBU
27 MWINYISHEHE FUNDI DIZERU
28 ONEA PATRICK MWITUNZA
29 SAID RAMADHANI KILUWA
30 RAPHAEL THOMAS LUANDA
31 MAULID HUSSEIN MADEBARY
32 KHALID MOHAMED BOMU
33 SAIDI RAJABU TUMBO
34 WAZIRI ZAHORO ALLY NA ABEDI HAMZA LAINI
35 SALUM SHARIFU
36 KHAMISI ZUBERI MSWAKI
37 JACKSON ELIAS ULIMWENGU
38 HUSSEIN SALUM MAKANYAGA
39 MWINYI DUDU
40 CHRISTOPHER TENTO MSAGATA
41 MWINYIMKUU BOZI ULIZA
42 KAMILI HAMISI
43 SELEMANI JUMA
44 REHEMA MRISHO KASUNZU
45 VEGETABLE AND SPICE COOP-VESCO
46 VEGETABLE AND SPICE COOP-VESCO
47 ISSA ANANGISYE MWAKITALIMA
48 SAID ALMAS RUFILI
49 SIMBO JUSTO URASSA
50 HUSSEIN OMARY MAGAE
51 SHABAN ATHUMANI NKUMBI
52 SAIDI MUSSA LUBUVA
53 ATHUMANI MOHAMEDI
54 KASSIM MUSSA
55 SAID SHABANI MASOUD
56 YAHAYA ALLY MASHAKA
57 HADADI RAMADHAN MWILLAH
58 MUSSA SAID
59 NURU HAMIS
60 FABIAN PASTORY
61 PEMBE SELEMANI
62 ALEXANDER A. MASSAWE
63 NASIBU BAKARI KISIMBI
64 ALLY MANSOOR OMARY
65 HUSNA JUMANNE MEMBA
66 HERI ATHUMANI NCHASI
67 HAJI SLAEHE MRISHIO
68 GETRUDA JACKSON ELIAS
69 LILIAN REVELIAN LAKAURI
70 HASSAN ALLY KONDO
71 WILLIAM ATANAS LUWELA
72 NAZALETI JOSEPH MOKOLA
73 AZIZA JUMA RAMADHANI
74 FATIMA RAMADHANI
75 MOHAMEDI RAMADHANI HONGO
76 RAMADHAN SALUM
77 MUNDE IBRAHIM LULANGA
78 HAJI SALIM SHEMMELA AMRI
79 OMARI HUSSEIN MADEBARY
80 JUMA RAMADHANI
81 MWINSHEHE MOHAMED
82 OMARY TUWANO TUWA
83 HAMIS BELLA
84 STEFENE ANDREW BAKENA
85 ABDALLAHMAN ABDALLAH MODU
86 AISHA JUMANNE MEMBA
87 SHAMMU JUMA MLULA
88 KHATIBU JUMA MWINYIGOGO
89 MOHAMED MBAVU
90 KOMBO ALI KOMBO
91 HAMUDI ABDALLAH MOHAMED
92 ANTONY PHILIPO KAMUGISHA
93 BAKARI SALUMU SELEMANI
94 ALLY ABDALLAH MNYANDA
95 AISHA GACHA SHABANI
96 HILALI SHABANI GACHA
97 SHOMALI KIZIWA
98 NURDIN MOHENDA
99 AMANI KAMBI
100 ANZUANI R. TUMBO
101 AMANI KAMBI
102 RASHID KIBITO
103 SELEMANI KAMBI
104 ALLY ATHUMAN CHUMA
105 MAULIDI KAWAMBWA
106 HABIBU MRISHO MKAMBA
107 MOHAMED HASSAN SHAHA
108 CHANDE JUMA MOHAMED
109 RAJABU SAIDI ALI
110 CHUMA ATHUMANI MOHAMEDI
111 KASSIMU MOHAMED MANDWANGA
112 SELEMANI RASHID DIBIBI
113 SHABAN OMARY
114 D SAID
115 SALUMU RAMADHANI
116 ZAINA FEREJI MOHAMED
117 MOHAMED HAJI AHMED
118 SHAHA HASSAN
119 KADO M. SHARIF
120 SAMIRA S. MUSSA
121 SALUM RASHID
122 HAMIS ABDALLAH SIMBA
123 MAULIDI RASHID
124 MWISHAHA MOHAMED HUSSEIN
125 TOMAS PHILLIPO
126 ALLY RAJABU MBENA
127 SELEMANI NASORO
128 BINUR HUSSEIN SAID
129 WAZIRI RAMADHAN NKUSA
130 HUSENI RAMADHA MVULLI
131 A. AHMAD
132 MALICK RAMADHANI MVULLA
133 SELEMAN ALLY
134 ADAM MOHAMED
135 IBRAHIMU SALUMU
136 YUSUPH OMARI OMARI
137 HAIDAR JUMA CHAUGAMBO
138 BABY JUMA RAMADHANI
139 SHAFII MADARAKA MABUGA
140 KIBWANA JUMA RAMADHAN
141 JUMA RAMADHANI NGUNGU
142 SALUM MOHAMED KHALFAN MAULID
143 MBARAKA MZEE
144 SULTAN OMARY CHANZI
145 RAMADHANI JUMA
146 SHABANI RAMADHANI
147 HASSAN OMARY DIMANGWE
148 VENASI ANTONIO HINTE
149 AMINA K. CHUMU
150 JAMES RAPHAEL MKUDE
151 SHABANI SELEMANI
152 MOHAMED ATHUMANI HUSEN
153 A. MOHAMED(HAMISI ABDALLAH MOHAMED
154 RASHID SAID ALLY
155 ABDALLAH ALI NASSOR
156 RAMADHANI MALICK RAMADHANI
157 MUSSA IDDI SELEMANI
158 JEREMIA ZABRON AYUB
159 ALI SELEMANI MAULID KAWAMBWA
160 LAZARO AMON NKOMO


4: SOKO DOGO-MZUNGUKO NA JINA LA MMILIKI
1 AMIRY RAMADHANI MBAROUK
2 EMME WILLIAM MSIGINA
3 DIMOSO FESTO PAULO
4 HASSAN MAULIDI MTEML
5 SAIDI RAMADHANI YUSUF
6 NG'ANJI MFAUME NG'ANJI
7 ALPHONCE LAURENTI ALPHONCE
8 HUSSEIN IDDI MKANGATA
9 WILLIAM STEPHANO GWOMA
10 SAIDI ALLY MSHAHARA
11 ABDALLAH OMARY NDEKAE
12 JUMA BAKARI MALELA
13 KARIM SAIDI RUFILI
14 MIRAJI YAHAYA KAMOTE
15 SHABANI JUMA MAKATA
16 MAURISI ERIKI DANGWA
17 SALEHE SAID MAPALA
18 IDD MUSA MHINA
19 OMARY HAMISI MRENGWA
20 TAUSI ALLY MTELEBWA
21 OMARY YUSUFU SALEHE
22 EMMANUEL MWAKITA ENGA JOHN
23 JUMA HABIBU MUHAMEDI
24 MIRAJI A SHUNDA
25 KASSIM ABDALLAH ISSAH
26 LEONS ALFONS LUANDA
27 JANUARI MAKARI LUANDA
28 SUNDAY CHRISTOPHER SUNDAY
29 ABBAS HAMADI SALUM
30 TOLO SHABANI IDDI
31 MONIKA DANIEL SAKAYA
32 JOHN THOBIAS KANUTI
33 MINHAJI ABDALLAH MAHONGE
34 HAMIS HARUNA MBARAKA
35 RASHIODI SALUMU MBONDE
36 HATIBU MASSIKU
37 HASSAN ABDALA MAULIDI
38 HAJ MOHAMMEDI CHINOA
39 JUMA SHABANI PAZI
40 AMDANI MTEMA KIUMBO
41 SELEMAN NDAMBWE
42 ZUBERI HAMZA KUPAZA
43 ALPHONCE VITARISI MSIMBE
44 AISHA HUSEIN FARANDA
45 JAFARI NDALE MOHAMED
46 WILLIAM GEORGE KULUNGE
47 MAIMUNA MBUGULO MBA TA
48 PILLY ALY MITAMBO
49 SADIKI ALLY MURUMBI
50 YAHAYA ABDU LIBANDA
51 KARIM MUSA LIBABU
52 TURABI JUMA SHUNDA
53 ABDALLAH SALUM MAVUMBA
54 IBRAHIM PETER KIJOKA
55 HASHIM ADAM MANYONI
56 AZIZI MOHAMEDI CHIMPELIE
57 MOHAMED ABDALLAH UNDONDE
58 RUKIA ABDALLA MILAMBO
59 RAMADHANI MIRAJI YUSUPH
60 IDDY YUSUPH RASHIDI
61 RAMADHAN RASHID MUHEGA
62 ANGELA MAGOHA SWAI
63 AISHA OTHUMAN MPANDA
64 KASSIM BAKARI TINDWA
65 SAIDI RAMAOHANI KILUWA
66 CON PROSPER MSAKI
67 RASHIDI YUSUFU KABWARI
68 HAMADI ALLY MDOE
69 MASUDI ZUBERI RAMADHANI
70 PASCAL KALOLI MENGO
71 KHASAN ALLY KITOVE
72 TADEI VITALES MSIMBE
73 VICTORIA MWAKAMISA
74 JUMA RAMADHANI NZALINGE
75 BIRALI SALEHE OTHUMANI
76 HALFAN SELEMAN REGE
77 KHATIBU MUSTAPHA BAGAYA
78 SHABANI SELEMAN HUSENI
79 SEREMANI HARIDI OMARI
80 ISUMAILI KOMBO MSHANDAMA
81 ZUBERI MAHAMO MPEPAYEMA
82 MAULID IMAMU AMIRY
83 TATU ADAM CHOGOGWE
84 GERADY LEONCE JOHN
85 RAMADHANI IDI NZARINDE
86 HAMZA HAMAD MUHAMEDY
87 KASIMU SELEMANI HUSEN
88 ZITA NOMBO MKWIZU
89 RASHID HALFAN HASANI
90 MAJID RAJAB SHEBUTU
91 DAUDI HASSANI RAJABU
92 SHABAN ALLY OMARY
93 RAMADHANI ABDALA MDUNDWA
94 HAMIDU OMARY HASANI
95 KIHULO HAMISI KIHUILO
96 SWAIBATI S. MBAZE
97 LEVOCATUS VITUS SALEHE
98 DEO IBRAHIMU NDELUMO
99 DOMINIKI YOHANA KIPENDA
100 HAMIDU ABDULAHAMANI LINGWELE
101 ABOU SADICK LUBALE
102 SAID AMIS KILIEMANGINI
103 ABDALLAH OMAR SURUTANI
104 HASANI AMIRI BAINA
105 SAMIRI SALUM IBRAHIM
106 RICHARD ALBERT LEO
107 HASSAN MOHAMED LUYAYA
108 KHALFA SULEIMAN SULUTANI
109 RAHIMU ALLY IDDI
110 SALEHE WAZIRI JUMA
111 SAIDI SHABANI MAGALO
112 SAUKO HASAN RAMADHAN
113 BAKARI RAJABU MKINGA
114 CLEMENTINA EVALIST GIDO
115 TWAHA YAHAYA KAMOTE
116 TAUSI ATHUMANI MNEKA
117 HEMEDI HAMZA KUPAZA
118 ABDALLAH KASSIM MADEBARI
119 GALUS VICTOR MORIS
120 WILLIAM ANTONY JARIBU
121 ATONI PETER LUDENGE
122 ANTONIETIA REMY PAULO
123 ZAWAD SAID MKUMBA
124 MELANIA SILAUNGE MBARUKU
125 HUSENI RASHIDI MAPILA
126 BAKARI ABEDI MBIU
127 SELEMANI RASHID BORA
128 KISUMA RAMADHANI MWANYO
129 SEIFU ATHUMANI KIBUKI
130 HAMIS RAMADHANI MAURIDI
131 SELEMAN MUHIBU LUKOPE
132 PROCHES CONDARAD MTENGA
133 MOHAMED SAIDI HASANI
134 SAIDI OMARY ZAME
135 SALEHE HAMIS SELEMANI
136 ALLY HASSANI ULENJE
137 JUMBE SINANI JUMBE
138 EVA AMON MLUKOMBESO
139 GRACE REMY PAULO
140 SAIDI JUMA MILONGWE
141 AMINA JUMA HA.JI
142 REHEMA FAUSTINI MARANDO
143 IBRAHIM SUPHIAN SALEHE
144 ISSA HUSSEIN IDDI
145 SALEHE ATHUMANI CHOMELA
146 MAGRETH LYIMO MDAWA


5: SOKO LA WAZI NA JINA LA MMILIKI
1 AHMAD JAPHARY RAMADHANI
2 SAUMU HASSAN KAONEKA
3 REHEMA MOHAMEDI SEFU
4 JAMILA CHUNGA
5 EUGENIA STEPHANO BAGENYI
6 JAFARI FADHILI MFINANGA
7 SALMA ALLY MUSSA
8 TULI ANDREW MWAKOROBO
9 VAILETH BENEDICTOR JOHO
10 ANDREA ERICK SWAKII
11 ATILANO OBED MMEHWA
12 HAZRA SHABANI IBRAHIM
13 ZAKIA SAID MOHAMED
14 MUSSA FRANSI KIKOTI
15 JULIETA MICHAEL JACKSON
16 ZABIBU MNUKWA ALLY
17 MWAJUMA ABDALLAH
18 ISMAIL ALLY TILLA
19 RASHIDI SALUM MUSSA
20 HASSANI KHAMIS MNATENDE
21 DAUDI JUMA SAIDI
22 KHAMIS MUONEWA ABDALLAH
23 ORIVER CLEMENT MHANDO
24 HUSSEIN RAJABU SAIDI
25 SELEMANI H. SHIKALAKO
26 FATIHU ALLY SAIDI
27 HALFANI HAMIDU ATHUMANI
28 RAHMA PASCAL MTELEKESYA
29 ATHUMANI ABDU FAHAMU
30 REHEMA ABDALLH KWANDAMU
31 ALLY ISSA HOT
32 MUSA KHAMIS MIKANDE
33 ASHURA DAUDI MHALA
34 MARIAM HASSANI MWANDIKE
35 SAID KASIMU SAID
36 MUSTAPHA HASHIMU MSANGI
37 BERNARD DOMINIC MAGANGA
38 SELEMANI SHAIBU SELEMANI
39 ZAINA SELEMANI SHEMAHUNGE
40 NINAHR FADHILI ATHUMANI
41 MOHAMED ISSA KAMBONA
42 ALIASA OMARY HABIBU
43 MWAJUMA ABDALLAH MUSSA
44 FATUMA HASSAN KINYWELO
45 SOSPETER JONADHAN ATANAS
46 DELFINA MATERINI TEMU
47 MADOUDI HASSANI RAJABU
48 RAMADHANI GASPAY NASSORO
49 SUDY ISSA TAIMU
50 PILLY SEIF MOHAMED
51 FATUMA SALUMU
52 HASANI SAIDI NAMWANGWA
53 DOTO PAZI KIBULA
54 ZAKIA MOHAMED MGAYA
55 MUSSA RASHID SHEMNGOMA
56 SELEMANI HASSANI NAMONJI
57 MWANAIDI ATHUMANI MKUU
58 SHABANI SHABANI JAMES
59 SELEMANI ISSA KANTAMWA
60 JUMA HAMISI MASANJA
61 CHIKU MAULID HUSENI
62 JUMA OMARY KITOGO
63 DATIVA LUCAS SENYA
64 MUDY KALUMUNA RASHID
65 ALI AWAZI SHEKIVULI
66 MOHAMED HAJI MBONDE
67 MAWAZO MUHUSINI ALLY
68 MWAMVITA JUMA MUHAMED
69 ALEX OMARY MROPE
70 ALLY RAMADHANI CHAPA
71 HARUNA ISSA KUHINGWA
72 SARA KIJANGWA MDOE
73 SHEMDOE KAJIRU KISAKA
74 JAMES EDWARD KAREY
75 TONYOEY MBWAMBO
76 MECK WANDAO TWANGA
77 ASHA MGASA MASULULI
78 JAMALI MOHAMEDI NANGUWILI
79 ZAITUNI ABDALAH ISSA
80 HURUNA ISMAIL
81 BENATUS JAMES MORINGE
82 AUGUSTINO ERASTO YARED
83 CASSIAN GUSTAFU MZONGO
84 AMINA AMILI RAMADHANI
85 SIHABA ALLY TINDIKALI
86 RASHIDI BAKARI MTENJE
87 JOYCE ABRAHAM KAMOGILE
88 JAMES ERNEST MBINJIKA
89 RAMADHANI ABDALLAH
90 RAJAS HAMZA CHONYA
91 VICTORIA MATHAYO MSENGI
92 HAMIDA RASHIDI ZAYUMBA
93 AGINES PAULO MACHANYA
94 SUDI HASSAN JONGO
95 RAJAS PAZJ KIGULA
96 HASHIMU MUSTAFA MSANGI
97 RAMADHANI MOHAMEDI KIMWAGA
98 SABITINA MOHAMED CHAMCHAMA
99 FATUMA SALUM MBONDE
100 JUSTINE FREDRIC DOTTO
101 BEATRICE MARTIN MALYA
102 FAUSTA S. KOMBA
103 ELIAARUSHA DICKSON KAAYA
104 RAMADHANI LABAN KAKANDILO
105 LILIAN LAZALO
106 FUJO DANIEL MWAMKULIMA
107 ABDUL HAMIS ISMAIL
108 GODFREY GASPER PANGU
109 ANTHONY FABIAN LUANDA
110 ASMA MOHAMED MUSSA
111 DORAH JONES RINGO
112 MOHAMED MUSA MKULUNG'UNDE
113 SALUM JIRANI NAMBAIZA
114 MARIAM IDI KAMBI
115 MIRAJI IDD KAMBI
116 TWALIBU HASSANI SINGANO
117 ECONOMY SHIDA ABDALLAH
118 ISMAIL TWALIB
119 ONYESHA MAULIDI MGENI
120 RAJABU SAIDI MMBEA
121 MPUNGANO MASOUD MELLARY
122 ESTHER SAIMON MSELEMU
123 TASIANA VALERIAN SELESTINI


6: SHIMONI NA JINA LA MMILIKI
1 FIKIRI SAIDI KIBWANA
2 AMOS ASHERI SANGA
3 FATUMA HASSAN FlTINA
4 MOHAMED JUMA LUGOMA
5 JAMAL RAJAB MACHA
6 GEORGE FAUSTINE TAFUNA
7 ABDALAAH SAID
8 SALUM ALLY
9 RICHARD DAMIAN MTWANGO
10 AMEDEUS DEOGRATIUS MTENGA
11 ZIADA IDDI OMARY
12 SWALEHE HASHIM SHABANI
13 HASHIMU SHABANI HASHIMU
14 IBRAHIM SALUM CHAGILA
15 SELEMANI MPANDA MUAMEDI
16 ADAM VITARIS MLANZI
17 SAIDI SELEMANI KIBASAME
18 OMARI S SANZE
19 MOHAMED ATHUMANI MGOMI
20 KHALID KASIM LUGOME
21 ROBERT JOSEPH MONGO
22 MWASHANI ABDALAH MSHALE
23 RAMADHANI ATIKI ABDALLAH
24 SELEMANI ABDALLA SELEMANI
25 RIADI KHALIFA MWANGA
26 NASSIBU HALIFA MWANGA
27 JUMA SAIDI MALLONJI
28 ZUHURA HASSANI MNG'GI
29 ABDALLAH ATIKI CHAMBEGA
30 SAID SELEMANI KAMKUNJE
31 SONGORO MAGEZI MASOUD
32 ABDULRAHMAN IDDI MOHAMED
33 MOHAMED BAKARI KIMIMBI
34 SALLA LAMEKI MAPUNDA
35 SHABANI ATHUMANI SENG'ONGO
36 NEEMA MATHEW AKYOO
37 LILIANI LAZARO NANYARO
38 JESCA HUMPHREY URONU
39 ADELA BARNABA NGOLOY
40 DEOGRATIUS DONASIAN MROSSO
41 MAULIDI ABDALLAH GONGOLO
42 CHARLES JOSEPH NGINGITE
43 STANLEY CHARLES BANZI CASSIAN JAKA
44 CHRISTINA GALLU MWINJA
45 EDMUNDI JOHN DIMOSO
46 SAID HENRY MWAKITETE
47 ALHAJI SHARIFU DUNIA
48 ALHAJI SHARIFU DUNIA
49 JACKLINE SIMON MASSAWE
50 JUMA ALLY BAKARI
51 RAMADHAN KHAMIS KISUGURU
52 UPENDO LWITIKO MWASOMOLA
53 ROSE LAZARO YOHANA
54 ABDUL OMARY ABDI
55 ELISI ELNESTO KIUNGO
56 NUHU HASANI SALIMU
57 HASSAN I ABDALLAH MTOLELA
58 AMIRY ANGETILE MWASAGA
59 EKlLI MAIKO NDAGA
60 NESORY NAEGE ISACK
61 JUMA SAIDI LUSUNGA
62 AUGENIA LUKAS MURO
63 MANENO MOHAMED NGOZI
64 RAHELI MATHAYO AKYOO
65 SHABANI HABIBU ZENGWA
66 ALFRED KAMIILI MHANGE
67 HADIJA RAMADHANI CHAMBUSO
68 RAMADHANI JABIL MALONJI
69 OLIPA YAREDI HAMASI
70 ABDUL KADIGA SHIMANYI
71 MOHAMED JUMANNE TOZI
72 SAUMU ATHMANI JUMA
73 HIYASINTI JANUARY KAVISHE
74 DAVID HEROMIN KIMOSO
75 MWANAHAMISI MOHAMED MAGEMBE
76 ABBAS SAID FUND
77 SAIDI ALFANI ATHUMANI
78 MODEST MAIKO MASSAWE
79 JUMA SHABANI MALEWA
80 EDGAR JOSEPH LUVANGA
81 JUMA DUNIA MWALIMU
82 PHOEBE GASPER MALYA
83 ATHUMAN RASHIDI
84 SHOMARY JUMA RIPU
85 OMARI RASHIDI HIGIRO
86 OBEDI MIKA MBILINYI
87 ZIADA LAMADHANI MWAMEDI
88 AMINI SAIDI MANDIA
89 SEIF MUSSA MAYONGA
90 ALMASI HEMEO RIANDIRO
91 SALA ENOSI NKOSYA
92 MAGIRETl ANATORO NJON
93 JENI PASRY MTUNGI
94 KAIZAR ELISHA MYENDA
95 EDINA PASTORI MTUNGI
96 MUSSA MUSTAFA NONGO
97 SHABANI ZUBERI SINGANO
98 DUNIA MWALIMU UNYAGUUNYAGU
99 MARIKl ABIMU AMIRI
100 SALUM KINDAMBA ATHUMANI
101 BIBIANA PATER
102 OMARY MUSTAFA NONGO
103 ROSE PAULO KOMU
104 JACOBO JULIUS KIMARO
105 KASIMU RASHIDI MLANGWA
106 AZIZI MHAMED WAZIRI
107 LADISLAUS GASPER KAVISHE
108 JOVlN STEVEN ASEY
109 SITELA MKONYI JOSEFU
110 CLEMENT STEVEN MROSSO
111 FREDY ADAM NYAMOGA
112 RASHID MOHAMED MSHINDO
113 RASHIDI YASINI MLALA
114 RAMLA OMARI SHEKILINGE
115 ALLY ALLY GUZO
116 JAFALI RAMIDHAN MNYAMAKI
117 SHABAN MOHAMED SHABAN
118 ATHUMAN MOHAMED KAMOTE
119 SELEMANI HOSENI MZIRAY
120 SHAFII SALUMU ALFANI
121 RASHIDI SAIDI LIKANJAU
122 METRONA FRANCIS
123 RAJABU MUHAMED ABRAHAN
124 AMIRI ABDALLAH MBANGO
125 MRISHO SAID RUFILI
126 NASIBU MOHAMED NASIBU
127 MWAJABU HAMAD MKONDO
128 HAMISI ABUBAKARI ALLY
129 ABED JUMA OMAR
130 HAMISI SALUM GWABI
131 CLAUDY HELMANI NYUDULA
132 EVARISTI DAUD MKUDE
133 ASHA IDDI MSUYA
134 SALUM ALLY KlBONGE
135 SELEMAN MOHAMEDI MLAPONI
136 UWEZO MASUDI KASHINDI
137 NEEMA OMARY MURO
138 JOHN ORIGENES MTUI
139 RASHID MOHAMED SHABANI
140 MARWA JOSEPH WANGWE
141 ZULFA SAID SELEMANI
142 JAFETI ROGATI BONIFACE
143 KUYETO MOHAMED UWESU
144 PETER PROTAS MKENDA
145 JUMANNE SALUMU JUMA
146 SIJARI HAMISI KISELELA
147 TITUS CASIAN MKONGELEZA
148 YAHAYA SALUM SANZE
149 HENDRY SINDE MPETTA
150 RAMADHANI ABDALLAH RAMADHAN
151 SIMDA ARON VAYINGA
152 FURAIYA HAMILI MSAGATI
153 CHARLES ELIAS CHUNGUKE
154 JUMA RAMAZAN CHAMBUSO
155 ANISIYE BOAZ MWAKYENJA
156 JAFARI ABDALLAH MSUYA
157 NOELI FREDERICK MILANZI
158 GODFREY MASIRORI KIROBI
159 JAFARI RAMADHANI HEMEDI
160 HABIBU RASHID MPILI
161 SADICK SWALEHE ILUNGA
162 ROSE JOSEPH MASWI
163 HAJI HEMEDI HAMISI
164 SHADHIR KHALIFA SELEMANI
165 VICTOR MICHAEL MASSAWE
166 ALI MOHAMED DIGOSI
167 SAIDI KONDO MFAUME
168 RAMADHANI SHOMARY KIBWANA
169 MOHAMEDI MOHAMEDI NGOZI
170 SHABANI AMANI MKANGAIDA
171 SHARIFU ASHIRAFU KIHIYO
172 ATUMANI MUSTAFA NONGO
173 MBARAKA HEMEDI MSHELA
174 GODFREY JOSEPH KIMARIO
175 ATUMANI JUMANNE MSHANA
176 JANETH PHARES NDEGE
177 WAZILI SULEMANI IMAMU
178 MUMGUATOSHA EFRAHIM MTUI
179 MOHAMED HUSSEIN NYOKO
180 AWADHI HUSSEIN SHEMDOE
181 ALLY MOHAMEDI NDALUKE
182 SADICK YAHAYA MUHULO
183 MALIKI DAUDI OMARI
184 ALFRED ZAKARI MUSHI
185 DAMAS STEPHEN MBELEWELE
186 HAPPY JIMI MAKAPALILYA
187 FESTO PATRIC JOSEPH
188 GODFREY CLEMENT MROSSO
189 THERESIA DAUDI MLIMAKIPHI
190 ABDUL OMARI KIMWAGA
191 GODERI MALTINI LUWANDA
192 JAMIRA OSWARD MLULWE
193 ANNA MOSESI MUNISI
194 MUKSINI AHMAD ABEID
195 RITA VICTORIA LWIJA
196 JOHANES BARTAZARY NTEBOYA
197 SHAIBU SALEHE
198 LEHA MWASONGO NDETELE
199 BERARI MARTINI JURIANI
200 ILIASI MARTINI LIHANI
201 LIGHTNESS HENDRY TEMU
202 ISSA JUMA MISEMBE
203 ELIA NIMROD SANGA
204 SAKINA RAMADHANI KANIKI
205 THOMAS PHILIPO NGONA
206 HUSNA LANIWELO MKONONGO
207 CAROLINA ANATORY WAINGU
208 SIMON JOSEPH MSANJA
209 RABIA SAID HASANI
210 HAMISI SAIDI MATIMBWA
211 KHAMISI NASSORO KAMBI
212 AHMAS ATHUMANI RUHANGA

Pia soma
- Soko la Kariakoo kuchukua Wafanyabiashara 2500 na litatoa ajira 4000 ukarabati wafikia 71%
 

Attachments

  • ORODHA YA WAFANYABIASHARA 891 WALIOKIDHI VIGEZO KWA AJILI YA KUREJESHWA SOKONI KARIAKOO.pdf
    354 KB · Views: 7
Hawo wasiokudhi vigezo kwani vikezo vyao vimeenda wapi mkuu? Mbona kama mnawafanyia hujuma?
Inawezekana walikuwa wanadaiwa....
Na kusisitizwa kulipa Kodi kwa muda mrefu hawalipi...

Hilo tu linaweza kuwakosesha vigezo vya kurudishwa..
 
Hawo wasiokudhi vigezo kwani vikezo vyao vimeenda wapi mkuu? Mbona kama mnawafanyia hujuma?
Hata hao waliorudi usije ukafikiri wamerudi kiwepesi kwamba kwa sababu mlikuwepo nyie rudini tu,hao lazima wametolewa upepo.

Na kuna ambao hawakuwepo au walikuwepo kwa kujishikiza shikiza kwa waliokuwa na uanachama ila unawaona hapo kwa sababu wamekuwa wepesi wa kuulewa mchezo.
 
Back
Top Bottom