kbosho
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 13,073
- 6,639
Inawezekana ikawa ya SIMIYU YETU au IFWEERO
hahahahahahaha!!!
Inawezekana ikawa ya SIMIYU YETU au IFWEERO
mkewe anamfichia siri kubwa labda ana kibamia
he he he, afu namba yangu nimesajili Hamis A. Juma.
ni mke halali wa ndoa na tuna watnto 2Naomba niulize tu, ni mke halali wa ndoa?
Mawazo mengine MH.... Usipomjali anamfuata Ommary wanajinafasi vilivyo; Kipigo unaweza kuua ukafia jela; Kutoibanjua k ni green light ya Ommary kujilia bila matatizo. Machungu yapo ni vyema akazidisha upendo kwa mke wake na kama ni kutafuta viagra aitafute mapema. Mwanamke hapigwi kwa fimbo bali (utajaza mwenyewe).Maamuzi yako binafsi ni muhimu.....ila kama huitaji kuendelea kuishi naye basi astahili adhabu yeyote zaidi ya kuchukua kilicho chake na kusepa!
Kama unahitaji kuendelea kuishi naye ni vema kufanya kitachokupa auheni na kupunguza machungu ama hasira, hivi vyaweza kuwa kutokumjali tena, kipigo cha mbwa koko, kutokushare naye chochote kwa muda utakao...kikubwa ni kupunguza machungu ndo muende sawa! Ila ubabe kwenye hili ni lazima Broo vinginevyo atakufanya bikini!
Hongera kwa kuhalalisha Ommary kujitwalia bila hiana maana atamtumia nauli arejee kiulaini. Usimrudishe tafuta njia ya kumtuliza pepo la ngonoukome kupekua simu ya mwenzio.... kwa hiyo umetoa wapi guvu za kuandika uzi ? nataka kuamini wewe unashida kitandani au mbahili au mchoyo au unakibamia ndiyo maana ujachukua hatua mpaka sasa kwa kuwa anakufichia siri[/QUOTE miss chagga uamifu ktk ndoa ni jambo la muhimu sana/nimemtandika sana mikanda/by tommorrow namrudisha kwao mbeya/ujinga huu hauvumiliki!
Wanawake wanatabia ya kuitana ''dear'' na wanawake wenzao. Huenda huyo Ommy A ni demu mwenzie. Tuliza munkari kijana!
Hongera kwa kuhalalisha Ommary kujitwalia bila hiana maana atamtumia nauli arejee kiulaini. Usimrudishe tafuta njia ya kumtuliza pepo la ngono
Bora useme ukweli tu
ukome kupekua simu ya mwenzio.... kwa hiyo umetoa wapi guvu za kuandika uzi ? nataka kuamini wewe unashida kitandani au mbahili au mchoyo au unakibamia ndiyo maana ujachukua hatua mpaka sasa kwa kuwa anakufichia siri[/QUOTE miss chagga uamifu ktk ndoa ni jambo la muhimu sana/nimemtandika sana mikanda/by tommorrow namrudisha kwao mbeya/ujinga huu hauvumiliki!
Umekosea kumpiga mikanda ungemwacha tu
Mamito kuwa mpole, kwa vile wewe upo mjini jaribu kupiga namba zifuatayo ukianzia na 0 hadi 9 mwishoni utampata huyo omary (0718 178 87(.). Ukimpata mtafazalishe aachane na mke wa huyu jamaa ukimpiga mkwara kuwa ana miwaya. Nitakushukuru kwa msaada huo. Baadaye usisahau kuleta mrejesho hapa jamvini