Simu Janja (Smartphone) 19 bora zinazokaa na chaji muda mrefu

Simu Janja (Smartphone) 19 bora zinazokaa na chaji muda mrefu

Niwaombe watu wa tecno,waanzishe uzi wao wa kujua ni tecno gani iko bora kwa kukaa na chaji, maana huu ni uzi wa SIMU sio TECNO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah baelezee mkuu mana kila saa tecno tecno tecnoo ..aahgrh
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Jinga kabisa tunachanganyana tu hapa. Kwahyo ipi inakaa na chaji zaid?
 
Just imagine kwenye orodha ya simu 19 haipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wanang'ang'ania kuitaja[emoji57][emoji57]
Mbavu zangu jamaniiiiii,
leo umejua kuwaandama afu naona wako wengi kweliiiiii. hahaha itabidi wafungue uzi wao wajaribu kutetea simu yao.... lol
 
Kuchagua simu haswa hizi za smartphone ambazo zinakaa na chaji muda mrefu yaweza kua mtihani mkubwa kwa watumiaji wa simu, wengi wamekua wakilalamika sana chaji lakini ujio wa power banks umesaidia kwa kiasi fulani lakini bado usumbufu upo pale pale.

Kwa mwaka huu wa 2017 mwezi huu wa Disemba tunazileta kwenu smartphone bora zilizofanyiwa majaribio tofauti mengi ikiwemo kucheza video ndefu zenye ubora wa hali ya juu na majaribio mengine na matokeo ndio haya simu ambazo zilifaulu majaribio hayo ya kukaa na chaji muda mrefu, kwaio fanya kujipatia yako na usisumbue kichwa tena kujua smartphone ipi haitakusumbua chaji

1. LENOVO P2 ( dakika 1730)
View attachment 656920

2. HUAWEI MATE 10 (dakika 1603)
View attachment 656921

3. MOTOROLA MOTO Z PLAY ( dakika 1425)
View attachment 656924

4. SAMSUNG GALAXY A3 ( dakika 1405)
View attachment 656925

5. SAMSUNG GALAXY A5 ( dakika 1325)
View attachment 656926

6. SAMSUNG GALAXY NOTE 7 ( dakika 1317)
View attachment 656929

7. ONE PLUS 5T ( dakika 1252)

8. ONE PLUS 5 ( dakika 1240)
View attachment 656931

9. SAMSUNG GALAXY S8 PLUS ( dakika 1233)
View attachment 656933

10. MOTOROLA MOTO Z2 PLAY ( dakika 1173)
View attachment 656934

11. NOKIA 8 ( dakika 1126)
View attachment 656938

12. SAMSUNG GALAXY S7 EDGE ( dakika 1122)
View attachment 656939

13. SAMSUNG GALAXY J5 ( dakika 1106)
View attachment 656940

14. MEIZU PRO 6 PLUS ( dakika 1086)
View attachment 656941

15. SAMSUNG GALAXY S7 ( dakika 1068)
View attachment 656942

16. ONE PLUS 3 ( dakika 1016)
View attachment 656943

17. APPLE IPHONE SE ( dakika 1006)
View attachment 656945

18. MOTOROLA MOTO Z2 FORCE ( dakika 1000)
View attachment 656946

19. GOOGLE PIXEL ( dakika 983 )
View attachment 656947
Nani kakudanganya hayo masimu yote wanatembea na power bank au chaja kwenye magari simu Tecno huwezi beba power bank na asikudanganye mtu kwenye maeneo ambayo yanajoto kama Dar hizo simu hazikai kabisa na chaji
 
HTC nazikubali pia..... niliwahi kutumia moja aiseee wako bombaaaa mpaka leo mwaka wa tatu niliyemuuzia bado anatumia na haina shida.
HTC ni simu nzur,ndo smart phone yangu ya kwanza na nilinunua as used frm UK, nimetumiaaaa na nimempa mdogo wangu bado anatumia.
 
Nani kakudanganya hayo masimu yote wanatembea na power bank au chaja kwenye magari simu Tecno huwezi beba power bank na asikudanganye mtu kwenye maeneo ambayo yanajoto kama Dar hizo simu hazikai kabisa na chaji
culture gal [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Ha ha ha haaaa.
Ndugu kapalamsenga tecno ndo haipo hapo ubora wa simu sio chaja pekee
 
Huyo anajifurahisha Samsung sitaki hata kuisikia hazikai na chaji we chunguza watu wengi wanaotembea na chaji au power bank ni wa simu aina zipi
Mkuu ubora wa simu sio chaja peke yake,
Kuna mengi sana,na pia kwanini tecno hazipo China na zinatengenezwa huko?
 
Back
Top Bottom