Simu Janja (Smartphone) 19 bora zinazokaa na chaji muda mrefu

Simu Janja (Smartphone) 19 bora zinazokaa na chaji muda mrefu

Mi nnacho jua uwezo WA kukaa na chaji smart phone inategemeana na mah...mfano kuna mah 4000 hadi mah 5000 hizi zina kaa sana na chaji... Kiukweli kabisa tecno ndio smart phone inayokaa na chaji mda mwingi.... Kulingana na mah
 
Kamatecno haipo hapo Basi report ya kinafki Hii mbaya zaid mnaweka Samsung ambazo ukiwasha data tu nikama umefungulia chumachaji
 
Mm hii misimu ya Samsung ina ni boa chaji tu.

Yangu Samsung J7..ina zima ikiwa bado na 15%. Kwa siku naweza chaji mara 3-5. Daah
 
Sasa jamani kwani tecno nayo ni SIMU?
Haingii akilini inatengenezwa china halafu haiuzwi ndani ya china kisha useme ni simu
 
hup sio utafiti tafuta tekno l9 ngoma 6050mah ngoma inakaa na chaji km nokia obama uwashe data usiwashe ni hatari unaweka samsung maana ukiwasha data mara paaaaa kinasema battery low
 
Back
Top Bottom