Umepata mkuu congratulations...!.
Jibu si D) 6, MFUKUZI yuko sahihi kabisa. uwezi ukabadili uhalisia wa 3 kuwa hasi au chanya sababu iko kwenye kutoa. Kama sign ikiwa silent kwenye namba basi inabaki kuwa positive (+).
MAGAZIJUTO: fungua Mabano kwanza, halafu Gawanya, kisha Zidisha, halafu Jumlisha na mwisho Unatoa
3 + 3 * 3 - 3 + 3 = 3 + 3 * 3 + (-3) + 3
3*3 =9
3+9 =12
3+3 =6
12-6=6
Hesabu zina misingi na kanuni zake na hakuna kubahatisha.
Swali la jana linipita kuja kuamuka asubuhi wajaja wamepata jibu nikasema nikusubiri! naona nimekunyaka! ha ha ha ha ha darasa la saba kashida wanachuo, kweli nimeani chuoni ni sehemu ya mkusanyiko wa kambi ya kujifariji na kusoma hadithi za kina newton bila hata kuzifanyia kazi ha ha ha ha Mwanamayu upo?
wakuu mi hapa ndio mwenye karatasi ya maswali na majibu na kwa formula iliyopo na jibu lililopo kwenye a/s yangu sio 6 wakuu jibu la hiyo hesabu ni 12, thats it.
Hahahaaa,watu waliwahi kujibu mkuu halaf mara nyingi hesabu zinawekwa USIKU si unajua mchana kichwa kina moto sana ila jana nilichelewa sana lakini leo itakuwa mapema tu usilale mapema sasa,BRAVO.
oooh!!! Sasa nimekuelewa kumbe wewe umepewa swali na jibu hata kama haviko sahihi wewe huo ndiyo muongozo wako, sawasawa kabisa.
Nimebaini kumbe JF hata ukileta swala la
8-6+3 watu wanakosa!
mkuu tupe jibu 8-6+3=?
oooh!!! Sasa nimekuelewa kumbe wewe umepewa swali na jibu HIVYO hata kama haviko sahihi wewe huo ndiyo muongozo wako, sawasawa kabisa.
msingi wa hesabu kama hizi ni magazijuto/ bodmas: Shughulikia zenye mabano kwanza, kisha gawanya, tatu zidisha, nne jumlisha kisha toa. Utapata jibu.
Jumlisha kwanza 6+3 kisha toa kwenye 8.
Hesabu hazina mambo ya siasa ni rahisi sana.
unaanza na kuzidisha=3×3=9
baada ya hapo unajumlishs zote...3+9+(-3)+3=12.
Nimeonq wengine wanasema ujumlishe kwanza -(3+3), jiulize hiyo 3 ya mwanzo umeitoa wapi?haipo hiyo 3 bali ipo hasi 3 yaan (-3) ambapo kama ukianzia mwisho ungefanya (-3+3=0) ungepenga kutoa basi ungenza ya mwisho 3-3 still jibu ni 0.
big result now ni wabishi mwehhh
hapo jibu ni 12