Simple math's hii hapa,jibu ni ngapi?

Simple math's hii hapa,jibu ni ngapi?

The standard approach is BODMAS so the right answer is 6.

The standard approach is BODMAS.

There is no question about that.

The question is, what is BODMAS?

Up to to today my understanding was, addition takes precedence over subtraction. So my answer was 6.

Then I did some searches, there is a link that says if one has addition and subtraction, then one can just proceed left to right, doing subtraction before addition. Basically addition and subtraction have the same precedence.This is what gives the answer 12.

So, what is BODMAS?

The mnemonic suggests the answe is 6, the link tells me division and multiplication have the same rank, addition and subtraction have the same rank.

http://www.mathsisfun.com/operation-order-bodmas.html
 
MAGAZIJUTO.

Mabano
Gawanya
Zidisha
Jumlisha
Toa

Order of Operations - BODMAS

Apparently MAGAZIJUTO may be misleading.

Hapa ndipo unapoona kuwa Kiswahili sio kizuri kwa kufundishia kwani direct translation ya BODMAS sio MAGAZIJUTO kwa sababu BODMAS ile O ni 'order' yaani insema fuata order ya DMAS wakati MAGAZIJUTO haimkumbushi mwanafunzi kufuata order kwa kuweka neno order. Nafikiri kwa kiswahili ilitakiwa kuwa MAMGAZIJUTO yaani mabano mpangilio gawanya zidisha jumlisha toa. Pia hiyo 'O' ina maanisha square root na squared numbers.
 
Maths-Picture-Riddle.jpg

3+3x3-3+3=?
3+(3x3)-3+3
(3+9)-3+3
12-3+3
(12+3)-3
15-3
=12 vipi mkuu nimepata! darasa la saba nimejaribu.
 
Hapa ndipo unapoona kuwa Kiswahili sio kizuri kwa kufundishia kwani direct translation ya BODMAS sio MAGAZIJUTO kwa sababu BODMAS ile O ni 'order' yaani insema fuata order ya DMAS wakati MAGAZIJUTO haimkumbushi mwanafunzi kufuata order kwa kuweka neno order. Nafikiri kwa kiswahili ilitakiwa kuwa MAMGAZIJUTO yaani mabano mpangilio gawanya zidisha jumlisha toa

Halafu kitu kingine, gawanya na zidisha zina nguvu sawa, ukisoma MAGAZIJUTO unaweza kufikiri gawanya inatakiwa kuanza kabla ya zidisha.

Same thing for jumlisha na toa.

Hii ndiyo inasababisha majibu tofauti ya 6 na 12.
 
3+3x3-3+3=?
3+(3x3)-3+3
(3+9)-3+3
12-3+3
(12+3)-3
15-3
=12 vipi mkuu nimepata! darasa la saba nimejaribu.

Umekosa kwani wakati unafungia 9 na 3 ilitakiwa pia 3 na 3 zifungiwe pamoja kwani zina operation ya namna moja!
 
hapo ngumu sababu huwezi kuiwekea braket hizo na kuiacha -ve nje, na pia huwezi kuiacha braket kwenye times....

Mkuu hapo cjakuelewa kabisa na jibu lako NGUMU...

Ngumu hesabu kama hiyo haiwezi kuwepo au ngumu umeshindwa kupata jibu?
 
Halafu kitu kingine, gawanya na zidisha zina nguvu sawa, ukisoma MAGAZIJUTO unaweza kufikiri gawanya inatakiwa kuanza kabla ya zidisha.

Same thing for jumlisha na toa.

Hii ndiyo inasababisha majibu tofauti ya 6 na 12.

Kwa hiyo njia ni muhimu kuwa stated. Kama ni hivyo yaani lazima kuonyesha njia basi hesabu haitakiwi kuwa na multiple choice.
 
Kwa hiyo njia ni muhimu kuwa stated. Kama ni hivyo yaani lazima kuonyesha njia basi hesabu haitakiwi kuwa na multiple choice.

Kabla ya njia, ni lazima tukubaliane formula.

MAGAZIJUTO ni nini?

Tukiwa na gawanya na zidisha, gawanya inachukua precedence over zidisha au zote sawa na precedence yazo ni juu ya jumlisha na toa?

Jumlisha inachukua precedence over toa au kama tuna jumlisha na toa tunaenda left to right tu?
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha Mwanamayu acha uongo.

3+3x3(-3+3) nakuomba hizo namba kwenye mabano ziweke ziaze pale mwazoni kwa hiyo
itakuwa -3+3+3+3x3
kwa hiyo itakuwa
-3+6+9
-3+15
=12.

Rule gani ya hesabu umetumia kuzipangua hizo namba kwenye hiyo equation?!
 
Ulichokosea ni pale ulipo chukua
-3+3 = -6badala ya
-3+3=0. rudia tena

Jibu si D) 6, MFUKUZI yuko sahihi kabisa. uwezi ukabadili uhalisia wa 3 kuwa hasi au chanya sababu iko kwenye kutoa. Kama sign ikiwa silent kwenye namba basi inabaki kuwa positive (+).

MAGAZIJUTO: fungua Mabano kwanza, halafu Gawanya, kisha Zidisha, halafu Jumlisha na mwisho Unatoa

3 + 3 * 3 - 3 + 3 = 3 + 3 * 3 + (-3) + 3

3*3 =9
3+9 =12
3+3 =6
12-6=6

Hesabu zina misingi na kanuni zake na hakuna kubahatisha.
 
Rule gani ya hesabu umetumia kuzipangua hizo namba kwenye hiyo equation?!

Kwani ukipewa 1+2+3 ukiziweka 3+1+2, jibu linakuja tofauti hiyo sheria ipo cha muhimu utakiwa kuzingatia hasi na chanya.
mfano 5-2+3, ukichukua 2+3 ukaiweka kwenye mabano kwa sheria ya magizijuto utakuwa umekosa kwa sababu namba mbili ni hasi.
 
haki ya Mungu hesabu ni ugonjwa, watu wanakosea hafu wanakua wabishi, labda tuanze kwa kuulizana taaluma zet, kuna watu waliacha hesabu kidato cha pili lakini wanatusumbua kwa majibu yao ya uongo

me taaluma yangu ni hesabu hivyo jibu langu naungana na Shy land na wengine walopata 12, jibu ni B, 12.., ukibisha we hujui hesabu na ni mbishi

au ukiona vipi chukua kikotoo weka kama ilivyo usiongeze mabano maake utabadili swali, wengi wamekosea kwa kujiwekea mabano sehemu ambayo siyo sahini
 
Last edited by a moderator:

Unajua ndugu yangu hapa kinachowasubua ni siasa maana jibu liko wazi kabsa mfano 5-2+3 huwezi ukachuku 2+3 ukaiweka kwenye mabano na ukapata jibu ni tano kwa sababu ukiweka hivyo lazima ukumbuka
-(2+3) namba yoyote ikiwa njia ya mabao maana yake kunazidisha mfano 2(2+3) ni sawa sawa na 2x(2+3) ukijua hilo hautafanya huo upuuzi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom