Simple math's hii hapa,jibu ni ngapi?

Simple math's hii hapa,jibu ni ngapi?

msingi wa hesabu kama hizi ni magazijuto/ bodmas: Shughulikia zenye mabano kwanza, kisha gawanya, tatu zidisha, nne jumlisha kisha toa. Utapata jibu.

Jumlisha kwanza 6+3 kisha toa kwenye 8.

Hesabu hazina mambo ya siasa ni rahisi sana.

Mkuu rudia kurejea hilo swali utatambua kuwa umekosea, unaonekana una idea na hesabu lakin umejichanganya kidogo hapo.

Angalia kosa ulilofanya.

Jibu si D) 6, MFUKUZI yuko sahihi kabisa. uwezi ukabadili uhalisia wa 3 kuwa hasi au chanya sababu iko kwenye kutoa. Kama sign ikiwa silent kwenye namba basi inabaki kuwa positive (+).

MAGAZIJUTO: fungua Mabano kwanza, halafu Gawanya, kisha Zidisha, halafu Jumlisha na mwisho Unatoa

3 + 3 * 3 - 3 + 3 = 3 + 3 * 3 + (-3) + 3

3*3 =9
3+9 =12
3+3 =6
12-6=6

Hesabu zina misingi na kanuni zake na hakuna kubahatisha.

Hapo 3+3 ndipo ulipochemka...hiyo 3 ya mwanzo umeitoa wapi?hatuna 3 hapo bali tuna -3? umeanza vizuri kwa kuweka (-3) alafu baadae ukapotea.

Ulichofanya hapo ni kusema kuwa -3+3=-(3+3)kitu ambacho ni kosa.

Unaanza na kuzidisha=3×3=9

Baada ya hapo unajumlishs zote...3+9+(-3)+3=12.

Nimeonq wengine wanasema ujumlishe kwanza -(3+3), jiulize hiyo 3 ya mwanzo umeitoa wapi?haipo hiyo 3 bali ipo hasi 3 yaan (-3) ambapo kama ukianzia mwisho ungefanya (-3+3=0) ungepenga kutoa basi ungenza ya mwisho 3-3 still jibu ni 0.
 
msingi wa hesabu kama hizi ni magazijuto/ bodmas: Shughulikia zenye mabano kwanza, kisha gawanya, tatu zidisha, nne jumlisha kisha toa. Utapata jibu.

Jumlisha kwanza 6+3 kisha toa kwenye 8.

Hesabu hazina mambo ya siasa ni rahisi sana.

Mkuu tupe jibu 8-6+3=?

Kama nilivyosema hapo juu, kwenye MAGAZIJUTO, kujumlisha na kutoa kuna nguvu sawa, unaanzia popote unapotaka na jibu halitofautiani.

Mfano huo hapo juu: 8-6+3

1.Ukianza na KUJUMLISHA: 8+3=11, kisha UKATOA inakuwa 11-6=5: JIBU = 5

2. Ukianza na KUTOA inakuwa 8-6=2, na kisha UKAJUMLISHA inakuwa 2+3=5; JIBU = 5.

Jibu la kwanza na la pili ni sawa.

So EWGM usikariri, hesabu ni kama vitendawili, jiachie tu bila kukariri ndio utasikia raha yake.
 
Wakuu mi hapa ndio mwenye karatasi ya maswali na majibu na kwa formula iliyopo na jibu lililopo kwenye A/S yangu sio 6 wakuu jibu la hiyo hesabu ni 12, THATS IT.

wewe ndugu yangu naona uko kwenye kejeli sasa.

Pia unaweza ukawa sawa na jibu la ile hesabu pale juu ila uwezo wako mdogo sana wa kuweza kueleza kwanini umepata hilo jibu.

Mjadala umeshafungwa jibu la hesabu ya nduki ni 12.
Sikuona kuwa umeishakubali...ebu niombe msamaha basi kwa kuniita mgonjwa wa hesabu ugonjwa ambao sikuwahi kuugua toka nilipoanza kushika penseli. Ungeichukua hii mapema wala usingesumbuka.
Unaanza na kuzidisha=3×3=9

Baada ya hapo unajumlishs zote...3+9+(-3)+3=12.

Nimeonq wengine wanasema ujumlishe kwanza -(3+3), jiulize hiyo 3 ya mwanzo umeitoa wapi?haipo hiyo 3 bali ipo hasi 3 yaan (-3) ambapo kama ukianzia mwisho ungefanya (-3+3=0) ungepenga kutoa basi ungenza ya mwisho 3-3 still jibu ni 0.
 
Jibu litakuwa 12
Hapo sawa...nilikuwa nataka kusema operator with equal precedence tunazifanya from left to right tofauti na ulivosema awali kuwa tunaanza kugawanya then tunazidisha
 
Hapo sawa...nilikuwa nataka kusema operator with equal precedence tunazifanya from left to right tofauti na ulivosema awali kuwa tunaanza kugawanya then tunazidisha

Hilo neno MAGAZIJUTO lina mislead watu kufikiri gawanya ina precedence over zidisha na Jumlisha ina precedence over toa.

Hilo ndilo linasababisha watu wapate jibu lisilo sawa la 6.
 
Hilo neno MAGAZIJUTO lina mislead watu kufikiri gawanya ina precedence over zidisha na Jumlisha ina precedence over toa.

Hilo ndilo linasababisha watu wapate jibu lisilo sawa la 6.

Tatizo siyo watu kutokujua MAGAZIJUTO tatizo watu kutokujua matumizi na sheria za hasi na chanya
 
Tatizo siyo watu kutokujua MAGAZIJUTO tatizo watu kutokujua matumizi na sheria za hasi na chanya

Ukiipa precedence jumlisha over toa unapata jibu la 6.

Kwa hiyo huwezi kusema hilo si tatizo.
 
UKipata 6 siyo tatizo kivipi? wakati ni kosa.

Sijasema ukipata sita si tatizo.

Nimesema ukiipa jumlisha precedence over toa utapata sita. Sita si jibu sahihi.

Kwa hiyo huwezi kusema kwamba kuipa jumlisha precedence over toa si tatizo.
 
sijasema ukipata sita si tatizo.

Nimesema ukiipa jumlisha precedence over toa utapata sita. Sita si jibu sahihi.

Kwa hiyo huwezi kusema kwamba kuipa jumlisha precedence over toa si tatizo.

(3+5)power ya 2. Nipe jibu ni kuelewe hoja yako.
 
(3+5)power ya 2. Nipe jibu ni kuelewe hoja yako.

Swali lako halijahusisha operations zinazochanganya kujumlisha na kutoa, hivyo haliwezi kuwa na maana kwenye hoja yangu inayoongelea kutokuwepo kwa precedence kati ya jumlisha na toa.

Huhitaji swali jipya kuona hoja yangu. Fanya swali hili hili lililoletwa hapa. Ipe jumlisha precedence over toa. Utapata jibu la 6. Jibu lisilo sahihi.
 
jibu ni sita(6) tatizo wengine wanaenda kwa order badala ya kutumia hiyo bodmas
BODMAS ( Hapa zinaaply:MAS Multiplication, Add, Subtraction. )
3+3x3-3+3
Kwa hiyo unaanza na Multiplication hence: 3x3 kwa hiyo unapata
3+9-3+3
Baada ya Multiplication unakuja 3+9 ni 12 na -3+3 ni 0 hivyo jibu ni 12 AU Ukitaka kuweka kwenye bracket:

3+9-3+ 3 ni: (3+9)+(-3+3) ambayo ni kwa kutumia hiyo hiyo Bodmas tutaanza na bracket ambazo ziko mbili hivyo ni
12+0 = 12.
 
Back
Top Bottom