Simpendi ila nataka kufanya naye maisha

Simpendi ila nataka kufanya naye maisha

Npe experience yako mkuu nijifunze kitu
Niliwahi kuwa na mahusiano dada fulani kwa miaka 4, alinipenda, aliniheshimu sana, alikuwa ananisikiliza kwa kila kitu lkn pia aliwapenda mno ndugu zagu...lkn mm sikuwa interested nae cha kushangaza wala hakua mbaya, alikuwa wa kawaida tu...lkn nilimpiga matukio ya kutosha, nilitamfutia visababu mpk tukaachana. Now ameolewa na daktar mmoja HV...now nahangaika sana kupata mwanamke wa sampuli yake ili nioe...ni takriban 10 yrs now tangu tumeachana.

Ushauri wangu: Wanawake wa hivyo siyo simple kuwapata ukimpoteza huyo itakugharimu sana baadae, maana dizaini kama wanaachaga kalaana fulani hv...watakuja Man'tan'gau hutoamini.
 
Kichwa kimestack ngoja nilale nijipe mda zaid kabla ya kufany maamuzi
 
Najua kinachokupa ugumu unaona sio pisikali[emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa jichabganye! Utajita maisha...yako yote[emoji86][emoji86]
 
Shida ni kumpata ambae atanipenda ni Mimi nimpende wengi watakuja kwa sababu wanazozijua wao ila sio kwa mapenzi ya dhati

Nikimkosa huyu nikampata ambae ana fake love kwang si
Shida ni kwamba nikimuacha nitampata wap kam yeye
Wewe unajielewa kweli?? Kama unajua kabisa hutampata kama yeye si utulie!! Nakushauri kama huna hela bora ubaki nae tu usije kosa kabisa!!
 
Ni pm namba zake!! Nifanye nae maisha mm.
 
Wewe unajielewa kweli?? Kama unajua kabisa hutampata kama yeye si utulie!! Nakushauri kama huna hela bora ubaki nae tu usije kosa kabisa!!
We ndio hujanielewa ,,,,sitaki kufanya maisha na mwanamke ambae ameweka mbele pesa Mali na umaarufu na factor nyingne Tutasumbuana sana
 
Tuliza akili kwanza ujitafakari, usimuoe mtoto wa watu ukaenda kumtesa ndani ya nyumba.
Kama humpendi muache tu aende atapata atakayempenda mbele ya safari akaolewa nae maana hyo kitu unataka kufanya ni hatari kumbuka humuoi kwa ajili ya ndugu zako.
Kuna saa mtakua wenyewe wawili atakuhitaji na wewe utamuona sio wa maana just because huna hisia nae, ndio mwanzo wa kukesha bar na michepukoni ili usiwah kurudi kwako sababu huna furaha napo.
Muhimu Sana hii...atakuwa kaelewa.
 
Kama humpendi achana nae kwa amani,hizo tabia,sijui anaweza kuwa mama mzuri asikudanganye mtu,baada ya mda mawazo hayo yatayeyuka.Hakuna kitu kigumu kama kulala na kuamka na mwanamke usie na hisia nae,nasema ni ngumu sana sababu nimepitia,na mimi nilikuwa na mawazo hayo hayo.
Baada ya mda utaanza kumchukia huyo mwanamke utaona ni mateso kuwa nae,au utakaa nae sababu unamhurumia tu.
Fikiri una manyege yako alafu kila ukimangalia wa ubavuni mwako kitu inasinyaa yenyewe,kama mbwa kaona kobra.Lakini ukitoka nje tu kila mwanamke unamuona mzuri.Yaani usijaribu,utamtesa tu mtoto wa watu.Wengi wanaosema mke mzuri sio sura wala umbo,hawajakutana na hili.Kweli kuna wakati mwengine inabidi u 'compromise' kidogo lakin lazima kuwe na asilimia flani ya hisia/kuvutiwa na mwanamke,wanaume ni watu wa kutamani sana.
Daah nimependa haya maelezo yako
Hebu nipe uzoefu kidogo
inamaana huwezi kuanza kumpenda taratibu
Ilikuwaje mpaka ukaamua kuingia kwenye mahusiano na Mtu usiyempenda
Inawezekana kweli
 
Mwanamke anayekupenda ni tofauti na unayempenda wewe,huyu kakupenda so atakua tayari kukusikiliza na kutekeleza kila utakalo.
Kimsingi mpe nafasi jiweke karibu naye mapenzi huanza na affection.
Mmmh
Usimdanganye
 
Hata maandiko matakatifu yanasema enyi waume wapendeni wake zenu na enyi wanawake watiini waume zenu......jukumu la kupenda ni la mwanaume,mke anawajibika kukutii tu kama humpendi kabisa bora ujitafakari mara mbili maana huko mbele ni kiza kinene
 
Mtoa mada wkt unaopitia ndio na mm napitia huo huo. Kuna pisi ya kawaida imenielewa balaa. Imagine nilikua chuo sina bumu na uwezo maskani ulikua mdogo kifedha alikua ananifanya kama marioo. Atakuja getto na mazaga zaga atapika tutakula na shoo ya kibabe ntapewa, full maheshima. Getto nakumbuka nilikua natandika kigodoro tu chini lkn alikua anakaa hadi wiki anasepa. Kwao laifu taiti na alizalishwa lkn msela akamkimbia kwahyo alikua anapambana tu na biashara ndogo ndogo kumudu maisha.
Nakumbuka nikaja kupata kabinti ka chuo nilikua nasoma nako, nilikapenda balaa, ofcoz alikua ni pisi kali. Kalikua kanaishi hostel nilikua nakitafunia room kwake. Kuna siku akataka kuja getto kwangu, nikamkaribisha fresh kuingia ndani kuona kadoro tu cha 3×6 manzi akashangaa.. Nikamwambia ndio laifu langu, ipo siku tutaishi vizuri tu. Kishingo upande akanipa shoo lkn hakurudi tena.. Dah!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pisi kali unataka uanze nayo maishaa una akili wewe???? Pisi kali inakuja inakuta kila kitu kipoo tayarii ni kutumia tu
 
Mtoa mada wkt unaopitia ndio na mm napitia huo huo. Kuna pisi ya kawaida imenielewa balaa. Imagine nilikua chuo sina bumu na uwezo maskani ulikua mdogo kifedha alikua ananifanya kama marioo. Atakuja getto na mazaga zaga atapika tutakula na shoo ya kibabe ntapewa, full maheshima. Getto nakumbuka nilikua natandika kigodoro tu chini lkn alikua anakaa hadi wiki anasepa. Kwao laifu taiti na alizalishwa lkn msela akamkimbia kwahyo alikua anapambana tu na biashara ndogo ndogo kumudu maisha.
Nakumbuka nikaja kupata kabinti ka chuo nilikua nasoma nako, nilikapenda balaa, ofcoz alikua ni pisi kali. Kalikua kanaishi hostel nilikua nakitafunia room kwake. Kuna siku akataka kuja getto kwangu, nikamkaribisha fresh kuingia ndani kuona kadoro tu cha 3×6 manzi akashangaa.. Nikamwambia ndio laifu langu, ipo siku tutaishi vizuri tu. Kishingo upande akanipa shoo lkn hakurudi tena.. Dah!
Mkuu una mpango gani na huyo anaekupend lakn sio pisi kali
 
Back
Top Bottom