Simpendi ila nataka kufanya naye maisha

Simpendi ila nataka kufanya naye maisha

Kama humpendi muache..tafuta unaempenda oa..usijeshindwa simamisha mkia bure na ndoa ukaiona jehanamu
 
Mkuu..utamtesa huyu mwanamke, humpendi na ukisha kaa nae ndani utaanza kutamani unaowaona wazuri.

Tafuta wakumpenda Wewe..usiwe kwenye mahusiano kwa kuoneana huruma
Ntamtesa kivipi ye atakuwa anaona kila kitu kiko sawa
 
Nikweli mkuu na ukisha ingia ndoani na mtu usiye mpenda cha kwanza unamchoka mapema,

Usishangae hata kitandani dushe likawa halisimami.
Pia hakuna habari za romance unakuwa mkali hata kwa mamb madogo ila muhimu ni Mimi kutawala
 
Mwenyewe umekiri hapo kua umemuumiza mara kadhaa kihisia so don't be selfish, huyo mwanamke hastahili kuwa na wewe sababu utamtesa, inshort wote mtateseka kwa namna tofauti ila atakayeteseka zaidi ni huyo mwanamke sababu atatumia nguvu nyingi kujaribu kukuridhisha asijue kumbe tatizo ni wewe.

Hapo cha kufanya kama kweli unamuhitaji kwanza muombe msamaha kwa mateso yote uliyomsababishia then learn to love her, ukiona hilo huwezi aisee muache dada wa watu.
Maneno mazuri ayafanyie kazi..wewe ni mshaur mzur mkuu,keep it up

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Mke huyo Arif...

Hakuna mwanamke m'baya

kwa ajili ya hisia zake tu nakushauri "usimuoe"

ila Utamkumbuka sana sana sana na utajuta maisha yako yote.

Labda upate wa zaidi ake tofauti na hapo,utamkumbuka mpk utakua unamuota,we subiria.
Dogo anataka kujaribu sumu kwa kuilamba, itamkata kata utumbo hataamini macho yake.

Unapata mwanamke ambaye kimsingi anakupenda kwa dhati kisha unamletea mchezo? Eti hampend sijui blah blah gani. Siku akija kugundua mapenzi ni sehemu ndogo sana katika uhusiano wa ndoa ila uvumilivu takes a major part.

Mwanamke ambaye anakuvumilia in hard times unampata wapi dunia ya leo? Wengi ni materialistic na serial opportunists. Watu wako kwa zero grazing tu. Mtaftie ale,ila siku mambo yakiwa magumu kwako anasonga mbele bila huruma.
 
Busara nyingi sana nimetake note

"Uvumilivu una sehemu kubwa kuliko mapenz "
 
Hivi vitu vinaumiza kichwa sana, i wish ningeona future yangu ili nifanye uchaguzi sahihi, kwa sasa nakua mzito hata kumpigia simu hadi nijilazimishe but yupo tu, its almost a year now
Ukija kupenda usipopendwa na ukawa expectations kubwa ndipo utaanza kumuelewa

Mimi imenitokea mpk kuamua kujirud kifupi nimepitia mengi mpk kuamua kurud kwake na kuweka kambi
 
Dogo tulia omba Mungu sana sanaa
Mwanamke ni tabia sio sura wala tako
Sasa wewe oa slay queen utajutaaaa maisha yako yooote

Tafuta Mwanamke anaye kuheshimu na kukusikiliza maisha ni yenu moto ukiwaka humo ndani sisi hatupo utapambana na hali yako mzee

Kama vip oa sura na tako
Tako lenyewe limepigwa hadi kwa mpalange
Mkuu nimengundua nikikurupuka nitakosa furaha maisha yangu yote
 
Dogo tulia omba Mungu sana sanaa Mwanamke ni tabia sio sura wala tako Sasa wewe oa slay queen utajutaaaa maisha yako yooote Tafuta Mwanamke anaye kuheshimu na kukusikiliza maisha ni yenu moto ukiwaka humo ndani sisi hatupo utapambana na hali yako mzee Kama vip oa sura na tako Tako lenyewe limepigwa hadi kwa mpalange
Mkuu mbona unanigusa mimi hivi karibuni nimemwacha mwenye sifa kama hizi, nilimtamkia kila mtu ajue maisha yake,, maana hapo katikati kulitokea kama kuto elewana mimi na yeye kwa mambo fulani ya kawaida ambayo niya kukaa tukazungumza lakini mimi nikachukua maamzi magumu .

Lakini yeye japo tumetengana bado upendo upo,

Sasa sijui nirudishe majeshi nyuma.
 
Dogo tulia omba Mungu sana sanaa
Mwanamke ni tabia sio sura wala tako
Sasa wewe oa slay queen utajutaaaa maisha yako yooote

Tafuta Mwanamke anaye kuheshimu na kukusikiliza maisha ni yenu moto ukiwaka humo ndani sisi hatupo utapambana na hali yako mzee

Kama vip oa sura na tako
Tako lenyewe limepigwa hadi kwa mpalange
Nimekuelewa mkuu
 
Hiyo kitu iliwahi nikuta nikapuuza but now najuta
 
Back
Top Bottom