Kweli inawezekana ukaanza mahusiano na mtu unampenda kidogo na taratibu ukazidi kumpenda,lakini mwandishi kasema hana hisia kabisa na huyu mwanamke na anataka amuoe kisa ana tabia nzuri.Daah nimependa haya maelezo yako
Hebu nipe uzoefu kidogo
inamaana huwezi kuanza kumpenda taratibu
Ilikuwaje mpaka ukaamua kuingia kwenye mahusiano na Mtu usiyempenda
Inawezekana kweli
Kama Unaanza mahusiano,kweli penzi linaweza kuzidi siku zinapoendelea,lakin sioni vizuri kujiingiza kwenye ndoa wakati huna uhakika na hisia zako kwa mwenza.
Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app