Dogo anataka kujaribu sumu kwa kuilamba, itamkata kata utumbo hataamini macho yake.
Unapata mwanamke ambaye kimsingi anakupenda kwa dhati kisha unamletea mchezo? Eti hampend sijui blah blah gani. Siku akija kugundua mapenzi ni sehemu ndogo sana katika uhusiano wa ndoa ila uvumilivu takes a major part.
Mwanamke ambaye anakuvumilia in hard times unampata wapi dunia ya leo? Wengi ni materialistic na serial opportunists. Watu wako kwa zero grazing tu. Mtaftie ale,ila siku mambo yakiwa magumu kwako anasonga mbele bila huruma.