Simpendi ila nataka kufanya naye maisha

Simpendi ila nataka kufanya naye maisha

Mke huyo Arif...

Hakuna mwanamke m'baya

kwa ajili ya hisia zake tu nakushauri "usimuoe"

ila Utamkumbuka sana sana sana na utajuta maisha yako yote.

Labda upate wa zaidi ake tofauti na hapo,utamkumbuka mpk utakua unamuota,we subiria.
Haina shida atamrudia tu, ngoja ajaribu karata ingine kwanza.
 
Ni mwanamke mcha mungu mcheshi ana akili ananiheshimu na kunipenda pia anawapenda sana ndugu zangu nimemuumiza kihisia Mara kadhaa lkn bado upendo wake kwangu unazid kuchanua.

Hana mwonekano mzuri na Mimi sina hisia nae lkn naona kama nikiamua kuanza nae maisha atakuwa mke bora na mama bora kwa watoto.

Naomba ushauri wenu waungwana.

Acha ujinga wewe...tafuta mwanamke mzuri uoe
 
Mke huyo Arif...

Hakuna mwanamke m'baya

kwa ajili ya hisia zake tu nakushauri "usimuoe"

ila Utamkumbuka sana sana sana na utajuta maisha yako yote.

Labda upate wa zaidi ake tofauti na hapo,utamkumbuka mpk utakua unamuota,we subiria.
Nimekumbuka " mke mwema anatoka kwa bwana"
 
Mke huyo Arif...

Hakuna mwanamke m'baya

kwa ajili ya hisia zake tu nakushauri "usimuoe"

ila Utamkumbuka sana sana sana na utajuta maisha yako yote.

Labda upate wa zaidi ake tofauti na hapo,utamkumbuka mpk utakua unamuota,we subiria.
Si nitajaribu kufake nisimuumize ila shida itakuja pale nitakapokuwa na hasira na nikiwa nimevurugwa
 
Kama humpendi achana nae kwa amani,hizo tabia,sijui anaweza kuwa mama mzuri asikudanganye mtu,baada ya mda mawazo hayo yatayeyuka.Hakuna kitu kigumu kama kulala na kuamka na mwanamke usie na hisia nae,nasema ni ngumu sana sababu nimepitia,na mimi nilikuwa na mawazo hayo hayo.
Baada ya mda utaanza kumchukia huyo mwanamke utaona ni mateso kuwa nae,au utakaa nae sababu unamhurumia tu.
Fikiri una manyege yako alafu kila ukimangalia wa ubavuni mwako kitu inasinyaa yenyewe,kama mbwa kaona kobra.Lakini ukitoka nje tu kila mwanamke unamuona mzuri.Yaani usijaribu,utamtesa tu mtoto wa watu.Wengi wanaosema mke mzuri sio sura wala umbo,hawajakutana na hili.Kweli kuna wakati mwengine inabidi u 'compromise' kidogo lakin lazima kuwe na asilimia flani ya hisia/kuvutiwa na mwanamke,wanaume ni watu wa kutamani sana.
 
Mkuu nimengundua nikikurupuka nitakosa furaha maisha yangu yote
 
Mkuu mbona unanigusa mimi hivi karibuni nimemwacha mwenye sifa kama hizi, nilimtamkia kila mtu ajue maisha yake,, maana hapo katikati kulitokea kama kuto elewana mimi na yeye kwa mambo fulani ya kawaida ambayo niya kukaa tukazungumza lakini mimi nikachukua maamzi magumu .

Lakini yeye japo tumetengana bado upendo upo,

Sasa sijui nirudishe majeshi nyuma.
 
Shida ya kuishi na mtu ambae humpendi hata jambo dogo we unaliona kubwa unajaa sumu
 
Shida ni kwamba nikimuacha nitampata wap kam yeye
Mkuu...kumbe hata wanaume mnajiuliza hili swali..unamtaka Kama yeye wakati huyo uliyenae humpendi Wala Huna hisia nae..Tafuta ambae Sio Kama huyo...ndo utakae mpenDa
 
Ni mwanamke mcha mungu mcheshi ana akili ananiheshimu na kunipenda pia anawapenda sana ndugu zangu nimemuumiza kihisia Mara kadhaa lkn bado upendo wake kwangu unazid kuchanua.

Hana mwonekano mzuri na Mimi sina hisia nae lkn naona kama nikiamua kuanza nae maisha atakuwa mke bora na mama bora kwa watoto.

Naomba ushauri wenu waungwana.
Nakushauri usimuoe!

Wanaume kuna muda hamjui mnataka nini , mnatesa sana wanawake kwa hili, kumuigizia mtu usiyempenda hakudumu kabisa, Muache ampate wa kufanana nae, wanawake tunastahili furaha kama nyie
 
Ni mwanamke mcha mungu mcheshi ana akili ananiheshimu na kunipenda pia anawapenda sana ndugu zangu nimemuumiza kihisia Mara kadhaa lkn bado upendo wake kwangu unazid kuchanua.

Hana mwonekano mzuri na Mimi sina hisia nae lkn naona kama nikiamua kuanza nae maisha atakuwa mke bora na mama bora kwa watoto.

Naomba ushauri wenu waungwana.
Oa huyo acha unaaa kwa mtoto wa watu..

Huyo ndio mtu sahihi kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya kuishi na mtu ambae humpendi hata jambo dogo we unaliona kubwa unajaa sumu
Nikweli mkuu na ukisha ingia ndoani na mtu usiye mpenda cha kwanza unamchoka mapema,

Usishangae hata kitandani dushe likawa halisimami.
 
Back
Top Bottom