Simpendi ila nataka kufanya naye maisha

Simpendi ila nataka kufanya naye maisha

Naunga mkono hoja🤝
Kweli kbs hakufai huyo
Ila nakuomba Sana nipu namba zake please mkuu
 
Hautakua na furaha na utaichukia nyumba yako.
Love is all about feelings, sasa imagine unashare kitanda na mtu ambaye huna hisia nae na humpendi.
Shida ni kumpata ambae atanipenda ni Mimi nimpende wengi watakuja kwa sababu wanazozijua wao ila sio kwa mapenzi ya dhati

Nikimkosa huyu nikampata ambae ana fake love kwang si ndio nitakosa fraha × 2
 
Shida ni kumpata ambae atanipenda ni Mimi nimpende wengi watakuja kwa sababu wanazozijua wao ila sio kwa mapenzi ya dhati

Nikimkosa huyu nikampata ambae ana fake love kwang si ndio nitakosa fraha × 2
Mwenyewe umekiri hapo kua umemuumiza mara kadhaa kihisia so don't be selfish, huyo mwanamke hastahili kuwa na wewe sababu utamtesa, inshort wote mtateseka kwa namna tofauti ila atakayeteseka zaidi ni huyo mwanamke sababu atatumia nguvu nyingi kujaribu kukuridhisha asijue kumbe tatizo ni wewe.

Hapo cha kufanya kama kweli unamuhitaji kwanza muombe msamaha kwa mateso yote uliyomsababishia then learn to love her, ukiona hilo huwezi aisee muache dada wa watu.
 
Hiyo shida kubwa sana utamsumbua sana huyo mwanamke, hautokua na furaha na ndoa nae ila sasa ukimuacha Kuna uwezekano ukampata unayempenda ila hana sifa za ziada utajikuta una maisha ya majuto na kukosa furaha

[emoji1787]Maisha mvurugano tu Husione watu wanadumu kwenye ndoa ukazani 50/50
 
Hata uoe mwanamke gani lazima baadae utachepuka tu!
Muoe huyo ukihitaji sura, shape, rangi utazipata tu wapo kibao japo hawafai kuoa wanaofa kuoa ndio kama huyo wako
Hili ndio jibu.
Mke hata awe mzuri vipi lazima badae utamchoka tu na kutafuta mchepuko.
 
Mwenyewe umekiri hapo kua umemuumiza mara kadhaa kihisia so don't be selfish, huyo mwanamke hastahili kuwa na wewe sababu utamtesa, inshort wote mtateseka kwa namna tofauti ila atakayeteseka zaidi ni huyo mwanamke sababu atatumia nguvu nyingi kujaribu kukuridhisha asijue kumbe tatizo ni wewe.

Hapo cha kufanya kama kweli unamuhitaji kwanza muombe msamaha kwa mateso yote uliyomsababishia then learn to love her, ukiona hilo huwezi aisee muache dada wa watu.
Umenishauri vyema sana naamin nitaamua vyema pia kupitia ushauri wako[emoji120][emoji120]
 
Mke huyo Arif...

Hakuna mwanamke m'baya

kwa ajili ya hisia zake tu nakushauri "usimuoe"

ila Utamkumbuka sana sana sana na utajuta maisha yako yote.

Labda upate wa zaidi ake tofauti na hapo,utamkumbuka mpk utakua unamuota,we subiria.
 
Mkuu ,
Huyo ndo mwanamke wakuoa .
Kwanza umesema ni mtu wa dini,Bila Shaka atakuwa na hofu ya Mungu a Upendo wa dhati
Shepu na Sure ni juduhudi zako apa ndani tu Mkuu , unampisha akafanye makeup daily,
kuoa mke mzuri ni sawa na kulima miwa kwenye shamba la shule😂
 
Back
Top Bottom