Simpendi faizafoxy...sijui kwanini

Hapana, kuna kila dalili za upendo kati yenu! tena upendo wa kufa mtu! fanyeni mpango muonane uso kwa uso.
 
Mimi na wengine wachache tunaingia tunapokosa kazi, Lakini wengine wako kazini humu ndani ya JF, Jifunze kutofautisha.
 
Go go go faizer foxy, Hapa kuna watu wanapigia debe Chadema bila msishiko wowte sembuse, sisi tunaolipwa cho chote na Nape? Mkono mtupu haulambwi, mkono wenye asali ya Nape ndo tunaulamba. Kazi kwake.
 
 
There is a thin line between Love and Hate.....:A S-heart-2:
 
Faiza Foxy mwenyewe hajipendi utampenda vipi? Sana sana umponde badala ya kumpenda kwa vile anakataa jinsia yake na kuishi kwenye ulimwengu chakavu wa miaka 2000 iliyopita kule jangwa arabu.
 
Unahuakika kama yeye anakupenda??
 

Ndio maana NAKUPENDA DA.
 
Memo, mbona misimamo yangu yote iko wazi, mimi naegemea kwenye kweli tupu!. Mimi sio mwanachama wa chama chochote na sio mshabiki wa chama chochote bali naikubali CCM kuwa ndicho chama tawala na pia naikubali Chadema kuwa ndicho chama pekee chenye mwelekeo. Wengi wa members humu ni ama mashabiki wa CCM, ili usimame imara kwenye sisi lazima uwe muongo. Yaani CCM inaendelea kushinda based on lies, hivyo kama mimi ni mkweli wa dhati, siwezi kuishabikia CCM. Members wengi zaidi humu ni washabiki wa Chadema, tatizo la Chadema ni building false hopes bila strategies, hivyo watu kujenga matumaini mema kwa ndoto. Ukishaujua ukweli unasimama wapi, wewe simama kwenye kweli, utachukiwa, utabezwa, ila ukweli ule unaposimama na kutimia, waliokubeza, japo hawatakiri hadharani, kimoyo moyo watakuheshimu!.

Sio kweli kuwa sielewani na FF, tofauti yangu na FF sio wazee wetu wale, bali ni chuki zake binafsi dhidi ya kiongozi wetu mmoja Mtukufu. Basis ya chuki hizo za FF dhidi ya kiongozi huyo ziko based kwenye tofauti ya dini!. Yaani viongozi wa dini fulani kwake ni malaika!.
 
FaizaFoxy achana na huyo amekosa neno la kusemaa mabinadamu ndivyo tulivyo we songa mbele bana...siku ikipita sijaona threads yako huwa sina raha go baby..gooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…