Simpendi faizafoxy...sijui kwanini

Simpendi faizafoxy...sijui kwanini

ndio mana mimi hapa JF nimejikalia kimya sifanyi makeke ya kujitafutia ka-umaaruf uchwara.tatizo humU JF jamvin kuna wa2 flan wanalazimisha ID zao ziwe maarufu mno.
 
Bora mtu aamue kuwa wa pumba tujue moja yeye huwa ni pumba. Lakini kuleta pumba katika mambo ya msingi thats amplified insanity, afu wanataka tusifie au tuchekecheke kama tuna hysteria

ndio mana mimi hapa JF nimejikalia kimya sifanyi makeke ya kujitafutia ka-umaaruf uchwara.tatizo humU JF jamvin kuna wa2 flan wanalazimisha ID zao ziwe maarufu mno.
 
kumchukia mtu sio vizuri ila tu anachonikera huwa anajikuta pioneer
 
hadi sekunde hii ff hajasikia harufu ya huu uzi tu?

Hana jipya huyu mwanamke.....namshauri akafanye kazi pale Lumumba makao makuu ya chama..au pale Dodoma makao makuu ya magamba..JF sio mahala pake kabisa!!! ni bora hata akafanye kazi ya kuimba taarabu kwa TOT wakati wa kampeni..ni mropokaji asiyejua kufikiri kabla ya kuongea....
 
Msimchukie sana mpk akapata umaarufu. Ni malezi mabaya ndio yanayomfanya awe alivyo. Kwa ninavyofahamu watu wa aina yake, tatizo ni elimu
 
faizafoxy hapendi anachokifanya'ni kazi na analipwa'nataka ujue ff sio mtu bali kikundi cha watu wengi'ndio maana walijisahau wakaonyesha ile kitu ya kuwa online 24hrs'hakuna haja ya kuwachuukia

A bunch of dirty rats.
 
...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!! Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje...
Utalijua Jiji...
 
Shosti nakusalimia tu! Supu ya maini leo nahisi mateka hajapata, punguza munkari!lol
Bora mtu aamue kuwa wa pumba tujue moja yeye huwa ni pumba. Lakini kuleta pumba katika mambo ya msingi thats amplified insanity, afu wanataka tusifie au tuchekecheke kama tuna hysteria
 
hata mie simpendi unakumbuka alivyohara kwenye ile topic ya kijana aliyegongwa?? ndio nikajua hili lidada linatafuta misifa humu....sijui halipati enough attention kutoka kwa mumewe???

anyway,ni against JF rules kumanzishia member thread ya kumdegrade....soo natumaini na hii itafutwa....ila in mean time wacha tulichambe hilo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wewe unaonekana hata wazazi wako uwapendi kama unavyompenda Mkeo...huwezi kuzuia mvua.

FaizaFoxy, hanakuzidi kila kitu unachomzidi ni kimoja tu Ujinga
 
Nakuelewa unachokisema ndugu!

...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!! Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.
 
mimi nampenda sana huyu mwana-JF.................................ningelikuwa badi zile enzi zangu ningemfuatilia kwa khali na mali...........................bahati mbaya sana sasa nimezeeka sana............................lol endeleza mawimbi yako faizafoxy.......................it is free World with almost zero censorship.............

Safi sana Mkuu. She is my HERO. VIVA FF. VIVA JF.
 
Back
Top Bottom