Simpendi faizafoxy...sijui kwanini

Simpendi faizafoxy...sijui kwanini

...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!! Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.

Si ungevunja tu. Na ungelikuwa karibu yangu halafu ukasema maneno hayo, ningekuchapa kibao.
 
Mtafute MTM, mie niko kwenye parole hata moshi wake ukinipitia tu smoke detector inaitikia kwa parole officer! Damn, hela zinanipita manake when u ar desperate ndo napiga dili.
Aisee naomba msuba
akili itakaa mahali pake
washanchakachua akili hawa
 
Wewe unaonekana hata wazazi wako uwapendi kama unavyompenda Mkeo...huwezi kuzuia mvua.

FaizaFoxy, hanakuzidi kila kitu unachomzidi ni kimoja tu Ujinga

Ritz una mawazo mkojo...elimu niliyo nayo na uwezo wangu wa kufikiri uwezi kunifananisha na huyu mwanamke...
 
strange, is it a crime to think differently, to shy away from commoners, to stand tall on your argument no matter how trivial they are!!!!...spread love not hate, a brave man will criticise by arguments to those he doesn't agree on their way of thinking and he'll never let himself be so weak to be won by his emotion and anger.
 
Nimetoka Ikulu, nilialikwa chakula cha mchana. Unajuwa leo kulikuwa kuna lunch ya watoto wa mujini, mara naambiwa FF umefunguliwa nyuzi JF, Wallahi nikashindwa hata kuitazama, si unajuwa tena ma"jokes" ya Jakaya.

Haya, nipo kwenye gari narudi, nkifika nyumbani ntasoma kwa makini.

Hongera JF kwa miaka 50 ya Uhuru, nilimuona mtu kama MAX kwenye lunch.
 
Hahahahahaha lol!....Haya bana mutoto wa mujini!!!!....Kulikuwa na pilau, wali mweupe, chapati na mahanjumati? Je kulikuwa na rhumba pia? Mmekula na vingine kubeba?....Mimi nampenda huyu mutoto wa mujini FF na penye majaliwa nitamtafuta ili tupige soga la nguvu ila anachonikera ni kufagilia magamba, chama ambacho KMY ndio kikwazo kikubwa cha maendeleo nchini.

Last edited by a moderator:
Nimetoka Ikulu, nilialikwa chakula cha mchana. Unajuwa leo kulikuwa kuna lunch ya watoto wa mujini, mara naambiwa FF umefunguliwa nyuzi JF, Wallahi nikashindwa hata kuitazama, si unajuwa tena ma"jokes" ya Jakaya.

Haya, nipo kwenye gari narudi, nkifika nyumbani ntasoma kwa makini.

Hongera JF kwa miaka 50 ya Uhuru, nilimuona mtu kama MAX kwenye lunch.

kumbe ndio maana huwa umamtetea kwa sana! Kumbe ndo maana huoni hali halisi... Sasa utajulia wapi mambo ya mtaani kama ndio hivyo, ukionanae tena... Mwambie huku mtaani watu tunahustle sana! Life tough
 
MTM anayo
tena leo nataka pure
nichanganye na pilipili kichaa
labda ntarudi level yangu
mateka hakosi kitu
akipotea huyo mnanikuta napaa kabisa

Mtafute MTM, mie niko kwenye parole hata moshi wake ukinipitia tu smoke detector inaitikia kwa parole officer! Damn, hela zinanipita manake when u ar desperate ndo napiga dili.
 
Hata akikuchanulia bado utamchukia tu?

Mchaka mchaka chinja, na mama yake chinja, na baba yake chinja.

Duh, umenikumbusha Yanga 1972 wakishinda wanapita mitaani na hiyo nyimbo.

We Mchakamchaka ulikuwepo?
 
Nimetoka Ikulu, nilialikwa chakula cha mchana. Unajuwa leo kulikuwa kuna lunch ya watoto wa mujini, mara naambiwa FF umefunguliwa nyuzi JF, Wallahi nikashindwa hata kuitazama, si unajuwa tena ma"jokes" ya Jakaya.

Haya, nipo kwenye gari narudi, nkifika nyumbani ntasoma kwa makini.

Hongera JF kwa miaka 50 ya Uhuru, nilimuona mtu kama MAX kwenye lunch.

Ikulu ni mahali patakatifu!
 
YES,mutoto wa mujini,nakukubali,ndio maana ulivyopigwa life ban humu JF,mimi nilijitolea kuchukua ban yako ili wewe uendeleze libeneke humu JF
 
...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!! Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.

Hiyo "natamani kuvunja PC yangu" inanikumbusha mambo mawili:

1) "natamani na kujaribu siwezi".

2) Mtoto wa juzi '83 unatumia PC? Hata mie nna ki laptop na ki Tablet. Unanchekesha.

Ndio kwanza nafika nyumbani, natazama clouds, ngoja nimsikie Bi Kidude na Mohamed Elias, wanawahoji. Ntakuja ikiisha, usiondoke.
 
Back
Top Bottom