Ndo maana tunamsaidia mkuu,sijui yuko kwenye uwanja gani huyu jamaa,yani haendi na matukio.ila kwa sababu JF imesheheni wataalam kila kitu kipo sawa,au kuna sehemu umepungukiwa Mkuu?!!
There are currently 83 users browsing this thread. (25 members and 58 guests)-Akiwemo Makoye Matale,Mkuu mbona kimya,umekuwaje siku hizi??!!!
Hivi hawa ndo yanga waliwafunga au macho yangu jamani. Mpira gani nusu uwanja.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mkuu, Simba hawajawatendea haki waTz, watu walitarajia full kikosi kicheze ili kuona ubora wa mafunzo ya Oman, sasa hawa Yosso sijui wameingiaje uwanjani.
Samahani Mkuu naomba ufafanue vizuri hapo kwenye RED,NAONA KIZUNGUZUNGU MACHONI.
Mkuu, Simba hawajawatendea haki waTz, watu walitarajia full kikosi kicheze ili kuona ubora wa mafunzo ya Oman, sasa hawa Yosso sijui wameingiaje uwanjani.
mkuu sio mimi. Ni picha walizopiga arabuni zinajieleza zenyewe.
Mkuu, Simba hawajawatendea haki waTz, watu walitarajia full kikosi kicheze ili kuona ubora wa mafunzo ya Oman, sasa hawa Yosso sijui wameingiaje uwanjani.
Hahahahah....hao wanaocheza ni watoto, na tutawafunga simba ina timu tatu ukiwafunga hawa madogo usishangilie sana maana kuka kikosi kingine....Mkuu simba ni Crashwise naona kajificha kwa Rage naona Julio alienda Oman kufanya mazoezi ya kula tende
eti kajifunga simba...
There are currently 108 users browsing this thread. (29 members and 79 guests)
Vp wamesawazisha?
Tuna mechi mhimu sana kesho kutwa ache madogo wakuze vipaji maana ndiyo timu yetu ya mwakani...ukiona anae kufaa tuna wauza USD 300,000 kwa mchezaji simba haina mchezaji wa mil 20 za kibongo...Kesho watasema safari ya Oman ni mbali wachezaji walichoka wapinzani walitoka karibu Mwanza tu hapo
Haki gani mkuu?si wameshafungwa au?Mkuu, Simba hawajawatendea haki waTz, watu walitarajia full kikosi kicheze ili kuona ubora wa mafunzo ya Oman, sasa hawa Yosso sijui wameingiaje uwanjani.
"Umichakachua" bana! Mie sikuwepo!
Kupitia kwa nani sasa wakati Okwi hayupo??!!
Tuna mechi mhimu sana kesho kutwa ache madogo wakuze vipaji maana ndiyo timu yetu ya mwakani...ukiona anae kufaa tuna wauza USD 300,000 kwa mchezaji simba haina mchezaji wa mil 20 za kibongo...