News Alert: FT: Simba SC 1 - 0 KMC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Kaluta Stadium -Arusha | 25.05.2024

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,500
29,230
Leo Timu bora kuliko zote Africa Mashariki na Kati kwa mujibu wa CAF, Mnyama Simba Sport Club anakutana na KMC katika mchezo wa NBC Premier League.

Simba inaingia uwanjani ikiwa inawania nafasi ya pili ambayo inaishikilia timu ya Azam hivyo ushindi pekee ndio utakaoiweka katika nafasi nzuri ya kuwa wa pili.

Mchezo huu utafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Kaluta, mkoani Arusha ambapo Simba wameamua uwe Uwanja wao wa Nyumbani.

Karibuni

1716646732376.png

Kikosi cha Simba kilichoanza
1716646803821.png

Kikosi cha KMC kinachoanza
 
Sio ushindi pekee ndio itakayoipa Simba nafasi ya pili bali ni ushindi wa magoli matano au ushindi wa magoli machache huku ikimuombea Azam afungwe au atoe sare.
 
Unamjua simba?...... Mnyamaaaa
Mnyama nguvu moja mnyama
Anaupiga mwingi mnyama
Anatupepelusha mnyanaaaaaaa
Nauliza Unamjua simba?....🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁

#nguvumoya💪
 
Leo Timu bora kuliko zote Africa Mashariki na Kati kwa mujibu wa CAF, Mnyama Simba Sport Club anakutana na KMC katika mchezo wa NBC Premier League.

Simba inaingia uwanjani ikiwa inawania nafasi ya pili ambayo inaishikilia timu ya Azam hivyo ushindi pekee ndio utakaoiweka katika nafasi nzuri ya kuwa wa pili.

Mchezo huu utafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Kaluta, mkoani Arusha ambapo Simba wameamua uwe Uwanja wao wa Nyumbani.

Karibuni
Muda gani
 
Simba inaandaliwa ushindi, aibu sana
 
KMC wasije wakajaa, huku Kolo akijitokeza Isamuyo.
 
Hatimaye KMC wamekula matapishi yao baada ya kususa kwenye media kwenda kuchezea uwanja wa Amri Kaluta, sasa wako Arusha kukipiga na timu bora Africa mashariki na kati kwa mujibu wa CAF
 
Back
Top Bottom