FT: Simba 2-0 Mtibwa | NBC Premier League | Chamazi Stadium 03.05.2024

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
2,754
2,077
Match Day.
NBC Premier League.
Simba vs Mtibwa
Azam Complex
04.00 PM

Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Simba itawakaribisha wageni wao timu ya Mtibwa katika mechi ya NBC premier league ikiwa ni mchezo wao wa 23 kwa msimu huu.

Ungana nami kwa updates mbali mbali.
Screenshot_2024-05-03-08-52-03-315_com.instagram.android-edit.jpg

View attachment 2979505


Vikosi vinavyoanza leo.View attachment 2979814View attachment 2979816

Dk 20' Bado ubao unasoma 0:0

Dk 32' Simba 0: Mtibwa 0

Dk 33' Saido anapata kadi ya njano.

Dk 35' Goaal Simba wanapata goli kupitia Fredy Michael

HT: Simba 1:0 Mtibwa.

2nd Half imeanza.

Saido, Onana Out. Chasambi, Karabaka In.

65' Goal! Simba anapata bao la pili kupitia Karabaka.
 
Leo simba hasira watamalizia kwa mtibwa.

Leo makolo mtafunga zaifi ya goli tatu

Leo mgunda anataka arejeshe heshima yake msimbazi

Nawaonea huruma mtibwa
 
Mtibwa wana ratiba ngumu sana halafu ndio wanaburuza mkia. Wakitoka kucheza na Simba wanakutana na Azam, akitoka kwa Azam anacheza na Yanga.
simba ndio uchochoro tu Mtibwa wapambane wachukue point tatu leo maana hizo mechi nyingine ni maji ya shingo.
 
Please chama langu pendwa la simba kwa kuwa hatuna cha kupoteza na hata nafasi ya pili hatutaipata safari, naomba tumwokoe mtibwa aokote point tatu walau zimwongezee acheze hata play off ili abaki ligi kuu, pleeeeeeaaaaassssee
 
Mtibwa wakazieni hao Makolo.. japo mnashuka daraja Ila itanoga zaidi mkimfanya Simba ashike nafasi ya 3 mwaka huu
 
Kila la heri Simba. Upate ushindi mnono wanaSimba tufurahi. Mengine tukutane nayo msimu unaofata.
 
Back
Top Bottom