Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,626
- 4,326
Link please nayoweza itazama onlineKila la heri
Link please nayoweza itazama onlineKila la heri
Ni kama una daftari la kuchukua mambo ya kupeleka CASKuna timu utafikiri inacheza rede! Ukiwagusa tu wachezsji wake, tegemea kukutana na faulo au penati!
Halafu mechi zao zote wakicheza huwezi kumkosa mwamuzi wa kike.
Shida iko wapi mkuu? Goli la pili gsm anahusika pia? Kama ndio leteni timu.BODI YA LIGI FC VS PAMBA
1-0
KARIA FC VS PAMBA
1-0
😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣😅😄Mpaka Mkubali kucheza mbwa nyie
Ila GSM kala hasara kubwa sana, viporo vimechacha vyote.Sisi Makolo tunashinda sana hivi viporo, tumetoa pesa nyingi sana
Kwa kuwa zipo!Sisi Makolo tunashinda sana hivi viporo, tumetoa pesa nyingi sana
Ukike unacheza mkuu?Kuna timu utafikiri inacheza rede! Ukiwagusa tu wachezsji wake, tegemea kukutana na faulo au penati!
Halafu mechi zao zote wakicheza huwezi kumkosa mwamuzi wa kike.
Yaani naiona penalty nyingine ukija kwenu pambaaa MJIPANGE tu na safari ya MWANZA
Mnachexa na mhimili WA michezo
Ni bajetiSisi Makolo tunashinda sana hivi viporo, tumetoa pesa nyingi sana