Simba SC 5-1 Pamba SC | NBC Premier League | KMC Complex | 08.05.2025

Simba SC 5-1 Pamba SC | NBC Premier League | KMC Complex | 08.05.2025

Yanga sijui walikuwa na haraka gani ya kuandika page 170 za malalamiko kwa muda ule?

Mechi ya leo huwenda ingeweza kuwa ni page ya 171 na pengine kuongeza uzito wa hayo malalamiko sasa hapa ni eidha waje na part two au wakubali kuwasilisha kukiwa na malalamiko mepesi.
 
Yanga chezeni derby hawa ni wepesi sanaaaa
Wakati wewe unasema hivyo wenzako wanaona huo ni mtego.

Na sio tu mtego kwa Yanga hata kwa hao maafisa wa Rs Berkane wanaosemekana kutua nchini kuifanyia uchunguzi Simba.

Tunawapa info ambazo mnahitaji kuzisikia.
 
Na leo ni Birthday ya MO unategemea zawadi ni nini?

Kumbuka yule ni bilionea hivyo pesa sio moja ya zawadi unayoweza kuifikiria kuwa atapewa.

We are very sorry kwa Pamba mmekuja kipindi kibaya.
 
Anafungwa Pamba, anaumia Utopolo
 
Back
Top Bottom