zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,421
- 27,309
mbona huna mpira wa maanaNa leo ni Birthday ya MO unategemea zawadi ni nini?
Kumbuka yule ni bilionea hivyo pesa sio moja ya zawadi unayoweza kuifikiria kuwa atapewa.
We are very sorry kwa Pamba mmekuja kipindi kibaya.