Simba SC 5-1 Pamba SC | NBC Premier League | KMC Complex | 08.05.2025

Simba SC 5-1 Pamba SC | NBC Premier League | KMC Complex | 08.05.2025

Na sisi leo tunadai goli la ngumi kama la yule sajenti wa utoplolo. Na kipa wa pamba ampasie Aoua afunge kama kipa wa Singida FG alivyompasia Azizi Kii siku ile akafunga.

Tunadai pia tupangiwe kikosi dhaifu cha pili kama wanavyopangiwa uto na wacheaji wasijitume.
 
Mimi nataka tu kufahamu kwenye hii mechi ya leo atachezesha nani kati ya wale waamuzi wetu maalum? Maana Kepha Kayombo tayari amechezesha dhidi ya Mashujaa na matokeo tumeyaona! Japhet Smart amechezesha dhidi ya JKT!

Bado amebakia Tatu Malogo tu ili mzunguko utimie! Au atarudishwa tena Kepha Kayombo?
 
Sasa hivi Simba ushindi sio wa kuuliza. Lazima ishinde.
Iwe refa
Iwe penati
Iwe red card
Iwe dakika 140

Lazima tushinde tu. Ninyi jitahidi kuvichachisha viporo, lakini vitaliwa tu.

Kila la heri
 
Back
Top Bottom