Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,710
- 8,425
Ahoua goli zote 2Nani kafunga? Nasikia kelele banda umizaa.
๐๐๐๐๐๐
Ahoua goli zote 2Nani kafunga? Nasikia kelele banda umizaa.
๐๐๐๐๐๐
Cotton fcLolote liwakute
Unaelewa maamuzi ya dakika kuisha huamuliwa kupitia mamlaka ya nani kiwanjani?Refa kwani hakujua Dakika 4 alizoongeza zilishaisha?
Yellow kadi katoa ya nini?
Wanajisahau sana hawa jamaa.
Hawawazi kusonga mbele huko.
Tuna hela Yaan club pia,we fikiria,Tumeimgia Makundi,Hela ,Robo Hela,Nusu,hela,final tunasubiri kombe na hela.Sisi Makolo tunashinda sana hivi viporo, tumetoa pesa nyingi sana
Mungu saidia tupate panart nyingine
Issue ni moja tu, leteni timu.
Kama hizo hoja ulizosema ni madai ya kweli, ilikuwaje CAS wakawafurumusha?sasa acheze nini wakati ulikimbia
acheze nn kila mechi unapewa penati
kila mechi ukizidiwa mpinzani anapewa nyekundu
Hivi Ahua ana goli ngapi na anaemfuatia ana ngapi?Unaelewa maamuzi ya dakika kuisha huamuliwa kupitia mamlaka ya nani kiwanjani?
Mayele aliunawa mpira. Refa akafunika penati kwenda kwa wapinzani.
14Hivi Ahua ana goli ngapi na anaemfuatia ana ngapi?
Bora apate goli jingine leo kisha next game na KMC afunge pia14
Mzize na Mpumelelo wana 13
Penati anapewa nyingine mkuu!Bora apate goli jingine leo kisha next game na KMC afunge pia