kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,489
- 18,379
Yes.Ni bajeti
Tunahonga refa yoyote
Yes.Ni bajeti
Si amedhaminiwa na GSM lakini? Za udhamini hazimtoshi?Kipa wa Pamba amebet
Kumbe sio chura, ni mbwaMpaka Mkubali kucheza mbwa nyie
Na wakikubali wamejichanganya maana huu ubaya ubwela wanaodai wanafanyiwa dagaa hata papa atafanyiwa hivyo hivyo.Mpaka Mkubali kucheza mbwa nyie
Ahoua aondoke na hatrick azidi kusogelea kiatu.Mungu saidia tupate panart nyingine
Ila uje bila mwiko nyumaMm yanga damu ila nahamia simba jamani
Refa kwani hakujua Dakika 4 alizoongeza zilishaisha?Huyu kipa wa Pamba dakika ya 10 tu ya mchezo eti alikuwa anapoteza muda.
Hapa wanaongozwa goli 2 anaacha kuanzisha mashambulizi haraka ili wapate bao la kusawazisha lakini yeye anachagua kupoteza muda.
Hii yote ni kumtengenezea rrfa mazingira magumu ya kuamua dakika za nyongeza ziwe chache ili asiende sawa na ule upepo wa Simba anabebwa.
Mkuu aliyepoteza muda amevaa logo ya GSM. Ndo kusema mnasalitiana au?Huyu kipa wa Pamba dakika ya 10 tu ya mchezo eti alikuwa anapoteza muda.
Hapa wanaongozwa goli 2 anaacha kuanzisha mashambulizi haraka ili wapate bao la kusawazisha lakini yeye anachagua kupoteza muda.
Hii yote ni kumtengenezea rrfa mazingira magumu ya kuamua dakika za nyongeza ziwe chache ili asiende sawa na ule upepo wa Simba anabebwa.
sasa acheze nini wakati ulikimbiaWewe ndio unasema hivyo
Wanaosema hatuchezi ndio wanaojua umaana wetu.