Simba SC 5-1 Pamba SC | NBC Premier League | KMC Complex | 08.05.2025

Simba SC 5-1 Pamba SC | NBC Premier League | KMC Complex | 08.05.2025

Tupate ushindi Ndio kwakuwa Sheria inakutaka uwaandikie barua siku 21 after game.... Imagine Bodi ya Ligi mech imeaihirishwa machi 8 hawajaizungumzia mpaka mei na hata barua ya Yanga hawajaijibu nadhani ukileta ushabiki hutanielewa
Kwani majibu ya CAS yamerudi June?

Ukizingatia leo ni tarehe 8 Mei

Mlitaka mpewe barua ipi wakati mmepewa barua ya maamuzi ya Bodi kwamba mechi imeahirishwa itapangwa tarehe nyingine.

Hivi ninyi, hakuna mtu wa kuwaambia muanze kupata japo akili ya kisoda.
 
Nipo Zenji azam tv haioneshi kabisaaa
 
Back
Top Bottom